Kumbe ni Karatasi ya jana imechomwa leo

KABISA KABISA KABISA...
Akikaa nayo yaweza kumpa KIUNGULIA!
 
Nakuelewa sana nyuzi zako maana zinanipa kutafakari kwa kina ama kutumia akili.
Ila sinajua na pia sitaki kujua wewe mleta mada upo ndani ya mfumo?
Kama ndio kwani upo kinyume nao?
AU upo nje ya mfumo?
Kama ndio wapi unapata za ndani kiasi kikubwa hivi?

Hata hivyo uishi miaka mingi, maana unatufungua macho sana.

Be care wewe na sisi na pia jf na mkuu wake.
 
Duuuh
 
Kwahyo wanetu wa teeth hawajui kimombo? Daaah ni fedheha…😂
 
Mkuu uko na nongwa majnuni nongwa ya hivi huwa ni kama ulemavu nothing can save you ni janga kwa jamii
 
Kidgo
 
Ni kichekesho watu wanaopojaribu kutudanganya mtu aliyeonekana mara ya mwisho August 22 Tanzania watu wamemuulizia siku zote eti ghafla anaibukia nchi nyingine na mapicha juu kwani hawakutoa picha akiwa hapo Tanzania airport.
 
Mkuu uko na nongwa majnuni nongwa ya hivi huwa ni kama ulemavu nothing can save you ni janga kwa jamii
Hii "nongwa majinuni" inayokuendesha wewe ndiyo iliyokufanya wewe mwenyewe kuiona kwangu au siyo?
Hizi tamaduni za kinafiki ndizo mnazotaka sasa ziwe kawaida ya taifa hili?
 
Karatasi ya jana kuchanwa Leo ni code, fungua
 
C++
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…