Kumbe ni Uongo, Uzushi, Fitna, Majungu, Wivu na Kijicho dhidi ya mafanikio yake! Makonda wapuuze

Nakubaliana nawe kwamba uchunguzi ufanyike, lakini kwa lengo gani? Yaani mtu aliyechukua jina la mtu sekondari au primari kwa kiu ya kujiendeleza? Wa aina hii wakifuatiliwa serikalini na hata mashirika ya umma yatabaki tupu bila wafanyakazi maana wale wa umri wa Makonda au juu kidogo walisoma kwa mtindo huu. Nani atapona?
 
Wanabodi.
Declaration of interest, mimi ni mwandishi wa habari wa kujitegemea mwenye uwezo na uzoefu wa muda mrefu kwenye newsroom hivyo kuweza Kufanya habari yoyote ya kiuchunguzi, ila kwa vile najitegemea nimeamua kujikita katika habari za kimaendeleo, developmental news zenye impact kwa maendeleo ya taifa. Hivyo siwezi kufutilia habari yoyote ambayo haina maslahi chanya kwa taifa.

Tangu kuibuka kwa Tuhuma za Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam kughushi vyeti, savers za JF zimezidi kujazwa kwa ma thread na mathread kuhusu sakata hili.

Hata mimi niliwahi kumshinikiza Makonda ajitokeze kukanusha kwa hoja kuwa Uongo ulisemwa sana, bila kukanushwa haweza kugeuka ni ukweli.

Kiukweli uongo siku zote utabaki kuwa ni uongo tuu hata ukisemwa vipi au mara ngapi, hauwezi kugeuka ukweli.

Na ukweli siku zote utabaki kuwa ni ukweli hata usiposemwa. Ukituhumiwa kwa tuhuma zozote za uongo au kuzushiwa jambo baya lolote, as long as unajua ni uongo, huna haja ya kukanusha, wewe jinyamazie tuu kimya, ule msemo wa "tell the truth and the truth will set you free" ni msemo wa uongo, just keep the truth and the truth will remain the truth.

Sasa Tangu kuibuliwa kwa tuhuma hizi za Makonda kughushi vyeti na kutumia majina bandia, nimekuja kugundua kuwa kumbe tuhuma hizi na shutuma zote ni uongo mtupu, ni za uzushi tuu kutaka kumfanyia fitna kwa kumpiga majungu, zinazazushwa na watu wenye wivu na kumuonea kijicho dhidi ya mafanikio yake lima Isha na jinsi alivyoshinda vita hii ya madawa ya kulevya kwa muda mfupi.

Wito wangu kwa Makonda mwenyewe ni kuendelea kunyamaza na kutulia tulii hivyo hivyo kama ulivyo nyamaza, usijali chochote, usijibu chochote, hawakulishi, hawakuvishi, just ignore them, and keep calm, endelea kuchapa kazi kwa sababu hawa watu watakusema mchana na usiku watalala, kesho yake wateandelea kusema, watasema wee, watasema wee mwisho watachoka. Huu ni upepo tuu na utapita.

Kanuni ya tuhuma zozote kwa kawaida ni "he who alleges must prove" waache waendelee kujifurahisha kwa kujaza severs za JF.

Yote yanayosemwa kuhusu Makonda Kumbe ni Uongo, Uzushi, Fitna, Majungu, Wivu na Kijicho Dhidi ya Mafanikio Yake!. Tuwapuuze! .

Na huu ni wito wangu kwa wazushi hawa, msiendelee kutujazia severs zetu. Kama tuhuma zenu zinaukweli wowote, kwanini mpaka leo mmeshindwa kuzithibitisha?!.

Ningeamua kufanya investigative piece ya hii story lakini...
1. Hakuna hata mtu mmoja aliyekwenda kijiji cha Kolomije kuuliza majina ya wazazi wa Paul Cristian Makonda kama hayo yao na kuuliza jina la mtoto wao wa pekee kama kweli ni Paul Christian Makonda?. Pia watawauliza wazazi wao Paul alizaliwa lini alipewa majina gani, alikulia wapi, alibatizwa wapi, alibatizwa wapi kws majina gani, aliandikishwa darasa la lini, shule gani kwa majina gani, katika simulizi hiyo ya wazazi wake, kusipoibuka majina ya Daudi Albert Bashite, wanaweza kuwauliza wazazi wake kama wanajua lolote kuhusiana na majina ya Daudi Albert Bashite.

Baada ya kupata taarifa hizo, hizo zinakuwa ni primary sources, ukitoka hapo unazitafutia collaborative sources za majirani hapo kijijini ku verfy taarifa za wazazi wake.

2. Hatua ya pili ni kuripoti shule ya Kolomije si bado ipo, wameshindwa nini kwenda kuwauliza jina la huyo mwanafunzi Paul Chirtian Makonda waliotajiwa na wazazi wake kisha wamuulizie na Daudi Albert Bashite aliandikishwa lini alimaliza lini na kwa majina gani na kama alifaulu au alifeli.

3. Baada ya hapo ni kwenda Shule ya Sekondari ya Pamba na kuulizia mwafunzi aliyefeli shule ya msingi, amewezaje kuingia Sekondari ya serekali. Kisha waulizie kuhusu mwafunzi Paul Christian Makonda na Daudi Albert Bashite walijiunga lini kwa majina yapi, wakamaliza lini na matokeo yao ni yapi.

4. Unakwenda chuo cha uvuvi Nyegezi unapata details na documentary evidence ya jina la Paul Christian Makonda alilojisajili na vyeti alivyo wasilisha wakati alijiunga na vyeti alivyo hitimu. Hapo Nyegezi ukikuta majina tofauti ya shule na vyeti, unafanya back to back ya shule ulizokuta na kuzipitia ku verfy Paul Christian Makonda alisoma hapo.
5. Unaripoti Mbegani unapata details za Paul Christian Makonda na documentary evidence ya majina aliyotumia kujiunga na vyeti aliyotumia na vyeti vya kuhitimu.

6. Unaripoti chuo cha Ushirika you do the same.
Mkumbuke hizo info zote ni public info ambazo ziko freely accessible. Kama Kuna any discrepancies zozote za majina kwenye hivyo vyeti kati ya Paul Christian Makonda na Daudi Albert Bashite then una launch secondary investigation kwa kuandika barua kutumia kipengele cha sheria ya "the right to information act ku access protected info kutaka

7.Vizazi na vifo alipozaliwa aliandikishwaje? .

8. Idara ya Uhamiaji ina file la DN Number alipoomba passport aliwasilisha nyaraka gani na za wazazi wake zikiwemo affidavits zao.

9. Unakwenda mamlaka yake ya ajira kuangalia aliwasilisha vyeti gani

10. Unamkabili Paul Makonda mwenyewe na vielelezo vyote kuthibitisha yeye ni Daudi Albert Bashite bila kusema kuwa ni mwizi wa jina wala amefanya forgery or fraud. Unamtupia mezani kwake na kumpa kamba ama ajinyonge yeye mwenyewe ama ajinasue.

Hata Makonda akigoma kutoa ushirikiano, you have facts to go on with the story with or without Makonda's imput. Kazi ya mwandishi ni kuwalisha facts only hivyo unaibuka na big headline "Uthibitisho Paul Chritian Makonda ndiye Daudi Albert Bashite " huku umetutundikia hizo evidence.

Kinyume cha hapo sisi akina Tomaso wote tunaendelea kuamini kuwa kumbe tuhuma zote hizi dhidi ya Makonda ni Uongo, Uzushi, Fitna, Majungu, Wivu na Kijicho Dhidi ya Mafanikio Yake!.

Uthibitisho wa uzushi ni huu ukweli bayana uliopo hadi sasa kuwa Mhe. Paul Christian Makondo ni mteule wa rais wa JMT aliyefanyiwa vetting na vyombo husika na kuthibitisha pasipo shaka wasifu wake hivyo akateuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam na mpaka sasa huu ndio ukweli bayana na halisi uliopo. Kati ya wazushi hawa na rais wetu aliyemwamini na kumteua nani mkweli? . Mkweli ni Rais, Mhe. John Pombe Joseph Magufuli ndio maana katulia tuu nyie endeleeni kupiga kelele.

Watanzania tupunguze kushadadia uzushi, tujiunge na rais wetu kumtia moyo Mkuu wetu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda endelea kuchapa kazi, na sisi wengine wote katika umoja wetu, tuwapuuze kabisa watu hawa wasiolitakia mema taifa letu.

Nawatakia Jumatano Njema ya Majivu, leo ni siku ya kufunga kwa sisi Wakristo Wakatoliki, tunaanza mfungo wa siku 40 za Kwaresma.
Kwaresma Njema
Paskali
Sasa kama utashindwa kuelewa huyo ni nani basi mwambie Bashite mwenyewe akanushe hizo habari na kuweka hadharani vyeti vyake[emoji123] [emoji123]

FB_IMG_1488354525235.jpg
FB_IMG_1488355276106.jpg
 
Umefanya kazi nzuri sana
Nenda ukaungane na tid
angalau upate kifuta jasho
 
Paschal kwa nini umeamua kujitia aibu namna hii? Umepewa bei gani za kuja kuleta utetezi wa kipuuzi namna hii bila hizo fact? We ndio mwandishi mtafiti kweli? Tanzania yangu jamani!!!!
 
Pole sana ndugu, hujamuelewa Paskali, ukisoma kwa utulivu na bila kuwa na upande wowote utagundua kwamba mwandishi kachochea kuni kwa kuelekeza njia za kuliweka wazi zaidi jambo hili.
Ni kweli nimekuelewa,uko sahihi Eros lakini huyo Mayalla yeye ana elimu gani.Makonda is there to stay.
 
Pascal hivi kumbe uko serious mimi nilijua ni Ule utunzi wako wa kinyumenyumu.
Pamba pale Kulikuwa na Pamba day na evening class ambayo mtu kupata four tu ilikuwa ni ushindi.
Hivyo ni vitu vya awali ulipaswa kujua na kutovieleza kwenye bandiko lako. Pamba day ni wafaulu kutoka primary schools. Evening ni kama shule yenye nafuu kwa ambao hawakuchaguliwa maana ada ilikuwa ndogo kama 50000 hivi.

Ukweli ndio utakuwa huru ktk hili. Hatua tuliyofikia Sasa ni ushahidi zaidi ya maneno
 
Team makonda bana utawajua tu tusimame tu kwenye ukww
 
Paskali nimekuelewa kuwa umerusha mtego lakini unajua unachotega? Vetting result ipo kama ulivyo pendekeza na inaonyesha amefanya Gwajima cha muhimu ni ku verify tu alichosema Gwajima hamna haja ya kujichosha na uchunguzi mpya
 
Siwezi kufanya utoto huo kwa sababu hata mke wa Makonda simjui kwa jina wala kwa sura sasa ntaenda kuchunguza kitu nisichokua na uhakika nacho? Kisa umeona kaweka picha nyingi za Paul Makonda? Hilo halitoshi na kama ushahidi ungekua unapatikana instagram na facebook basi watu wengi wangeshafungwa jela[emoji23] [emoji23]
Kama humjui mke wa Bashite ingia kwanza kwenye page ya makonda insta halafu rudi kwenye hiyo page ya huyo mdada kupata huo ushahidi basi kama unaona ni utoto kufanya hivyo tulia tu
 
Wanabodi.
Declaration of interest, mimi ni mwandishi wa habari wa kujitegemea mwenye uwezo na uzoefu wa muda mrefu kwenye newsroom hivyo kuweza Kufanya habari yoyote ya kiuchunguzi, ila kwa vile najitegemea nimeamua kujikita katika habari za kimaendeleo, developmental news zenye impact kwa maendeleo ya taifa. Hivyo siwezi kufutilia habari yoyote ambayo haina maslahi chanya kwa taifa.

Tangu kuibuka kwa Tuhuma za Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam kughushi vyeti, savers za JF zimezidi kujazwa kwa ma thread na mathread kuhusu sakata hili.

Hata mimi niliwahi kumshinikiza Makonda ajitokeze kukanusha kwa hoja kuwa Uongo ulisemwa sana, bila kukanushwa haweza kugeuka ni ukweli.

Kiukweli uongo siku zote utabaki kuwa ni uongo tuu hata ukisemwa vipi au mara ngapi, hauwezi kugeuka ukweli.

Na ukweli siku zote utabaki kuwa ni ukweli hata usiposemwa. Ukituhumiwa kwa tuhuma zozote za uongo au kuzushiwa jambo baya lolote, as long as unajua ni uongo, huna haja ya kukanusha, wewe jinyamazie tuu kimya, ule msemo wa "tell the truth and the truth will set you free" ni msemo wa uongo, just keep the truth and the truth will remain the truth.

Sasa Tangu kuibuliwa kwa tuhuma hizi za Makonda kughushi vyeti na kutumia majina bandia, nimekuja kugundua kuwa kumbe tuhuma hizi na shutuma zote ni uongo mtupu, ni za uzushi tuu kutaka kumfanyia fitna kwa kumpiga majungu, zinazazushwa na watu wenye wivu na kumuonea kijicho dhidi ya mafanikio yake lima Isha na jinsi alivyoshinda vita hii ya madawa ya kulevya kwa muda mfupi.

Wito wangu kwa Makonda mwenyewe ni kuendelea kunyamaza na kutulia tulii hivyo hivyo kama ulivyo nyamaza, usijali chochote, usijibu chochote, hawakulishi, hawakuvishi, just ignore them, and keep calm, endelea kuchapa kazi kwa sababu hawa watu watakusema mchana na usiku watalala, kesho yake wateandelea kusema, watasema wee, watasema wee mwisho watachoka. Huu ni upepo tuu na utapita.

Kanuni ya tuhuma zozote kwa kawaida ni "he who alleges must prove" waache waendelee kujifurahisha kwa kujaza severs za JF.

Yote yanayosemwa kuhusu Makonda Kumbe ni Uongo, Uzushi, Fitna, Majungu, Wivu na Kijicho Dhidi ya Mafanikio Yake!. Tuwapuuze! .

Na huu ni wito wangu kwa wazushi hawa, msiendelee kutujazia severs zetu. Kama tuhuma zenu zinaukweli wowote, kwanini mpaka leo mmeshindwa kuzithibitisha?!.

Ningeamua kufanya investigative piece ya hii story lakini...
1. Hakuna hata mtu mmoja aliyekwenda kijiji cha Kolomije kuuliza majina ya wazazi wa Paul Cristian Makonda kama hayo yao na kuuliza jina la mtoto wao wa pekee kama kweli ni Paul Christian Makonda?. Pia watawauliza wazazi wao Paul alizaliwa lini alipewa majina gani, alikulia wapi, alibatizwa wapi, alibatizwa wapi kws majina gani, aliandikishwa darasa la lini, shule gani kwa majina gani, katika simulizi hiyo ya wazazi wake, kusipoibuka majina ya Daudi Albert Bashite, wanaweza kuwauliza wazazi wake kama wanajua lolote kuhusiana na majina ya Daudi Albert Bashite.

Baada ya kupata taarifa hizo, hizo zinakuwa ni primary sources, ukitoka hapo unazitafutia collaborative sources za majirani hapo kijijini ku verfy taarifa za wazazi wake.

2. Hatua ya pili ni kuripoti shule ya Kolomije si bado ipo, wameshindwa nini kwenda kuwauliza jina la huyo mwanafunzi Paul Chirtian Makonda waliotajiwa na wazazi wake kisha wamuulizie na Daudi Albert Bashite aliandikishwa lini alimaliza lini na kwa majina gani na kama alifaulu au alifeli.

3. Baada ya hapo ni kwenda Shule ya Sekondari ya Pamba na kuulizia mwafunzi aliyefeli shule ya msingi, amewezaje kuingia Sekondari ya serekali. Kisha waulizie kuhusu mwafunzi Paul Christian Makonda na Daudi Albert Bashite walijiunga lini kwa majina yapi, wakamaliza lini na matokeo yao ni yapi.

4. Unakwenda chuo cha uvuvi Nyegezi unapata details na documentary evidence ya jina la Paul Christian Makonda alilojisajili na vyeti alivyo wasilisha wakati alijiunga na vyeti alivyo hitimu. Hapo Nyegezi ukikuta majina tofauti ya shule na vyeti, unafanya back to back ya shule ulizokuta na kuzipitia ku verfy Paul Christian Makonda alisoma hapo.
5. Unaripoti Mbegani unapata details za Paul Christian Makonda na documentary evidence ya majina aliyotumia kujiunga na vyeti aliyotumia na vyeti vya kuhitimu.

6. Unaripoti chuo cha Ushirika you do the same.
Mkumbuke hizo info zote ni public info ambazo ziko freely accessible. Kama Kuna any discrepancies zozote za majina kwenye hivyo vyeti kati ya Paul Christian Makonda na Daudi Albert Bashite then una launch secondary investigation kwa kuandika barua kutumia kipengele cha sheria ya "the right to information act ku access protected info kutaka

7.Vizazi na vifo alipozaliwa aliandikishwaje? .

8. Idara ya Uhamiaji ina file la DN Number alipoomba passport aliwasilisha nyaraka gani na za wazazi wake zikiwemo affidavits zao.

9. Unakwenda mamlaka yake ya ajira kuangalia aliwasilisha vyeti gani

10. Unamkabili Paul Makonda mwenyewe na vielelezo vyote kuthibitisha yeye ni Daudi Albert Bashite bila kusema kuwa ni mwizi wa jina wala amefanya forgery or fraud. Unamtupia mezani kwake na kumpa kamba ama ajinyonge yeye mwenyewe ama ajinasue.

Hata Makonda akigoma kutoa ushirikiano, you have facts to go on with the story with or without Makonda's imput. Kazi ya mwandishi ni kuwalisha facts only hivyo unaibuka na big headline "Uthibitisho Paul Chritian Makonda ndiye Daudi Albert Bashite " huku umetutundikia hizo evidence.

Kinyume cha hapo sisi akina Tomaso wote tunaendelea kuamini kuwa kumbe tuhuma zote hizi dhidi ya Makonda ni Uongo, Uzushi, Fitna, Majungu, Wivu na Kijicho Dhidi ya Mafanikio Yake!.

Uthibitisho wa uzushi ni huu ukweli bayana uliopo hadi sasa kuwa Mhe. Paul Christian Makondo ni mteule wa rais wa JMT aliyefanyiwa vetting na vyombo husika na kuthibitisha pasipo shaka wasifu wake hivyo akateuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam na mpaka sasa huu ndio ukweli bayana na halisi uliopo. Kati ya wazushi hawa na rais wetu aliyemwamini na kumteua nani mkweli? . Mkweli ni Rais, Mhe. John Pombe Joseph Magufuli ndio maana katulia tuu nyie endeleeni kupiga kelele.

Watanzania tupunguze kushadadia uzushi, tujiunge na rais wetu kumtia moyo Mkuu wetu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda endelea kuchapa kazi, na sisi wengine wote katika umoja wetu, tuwapuuze kabisa watu hawa wasiolitakia mema taifa letu.

Nawatakia Jumatano Njema ya Majivu, leo ni siku ya kufunga kwa sisi Wakristo Wakatoliki, tunaanza mfungo wa siku 40 za Kwaresma.
Kwaresma Njema
Paskali

Paskali Mayala Nilikuwa nakuheshimu sana kwa makala zako na post zako zilikuwa za maana sana na zimeleta tija. ILA kwa moyo mweupe kabisa naomba nikwambie UKWELI umeanza kuacha njia na kupotea. Ninashangaa Mwandishi mahili kama wewe unakuja kutuhumu watu bila ya kuwa na ushahidi wowote. Sawa Paulo makonda anatuhumiwa kama anavyowatuhumu wauza dawa za kulevya.

Kimsingi Mamlaka husika TAKUKURU na POLISI tuwaachie washughulike naye na kutupa ukweli wa mambo ukisema ni Uongo,uzushi,majungu,wivu na kijicho bado na wewe unajidhalilisha kwa kuwa bila ya kufanya utafiti umewashutumu wanaodai alifanya kosa. Mch Kwajima kisha sema anao ushahidi anasubiri mamlaka husika kulifanyia kazi.

Je wewe kama Mwandishi Mzoefu umesha fanyia (investigation) jambo hili au na wewe unakurupuka tu (Shame!!!). Ningekuelewa sana ungehitimisha kwa kusema kusema " Mimi nimefanya utafiti na ukweli ni huu" SASA NA WEWE UNAKUJA UNAPIGA POROJO KAMA WALE UNAOWASHUTUMU KUWA NI WAONGO? (shame!!). Umejivunjia heshima kwa kuwa sasa unatumika kutetea waovu.

Jirekebishe. Njoo na majibu mkuu, njoo na ufumbuzi. sasa unakuja na kuongeza shida zile zile za mashutuma.

BILA SHAKA UMEANZA KUTUMIWA.(unatafuta Kazi siyo).

NB: Unajua tunajuaje kwamba unatumiwa ni post zako na makala zako zilikuwa hazina bias si kwa Ukawa wala kwa CCM. Lakini hii ni kama mtu amekupa lundo la pesa na kukwambi vyovyote vile andika hivi!!.
Kumbe ni Uongo, Uzushi, Fitna, Majungu, Wivu na Kijicho Dhidi ya Mafanikio Yake!. Makonda Wapuuze! .
 
Mayala kweli wewe ni njaa. Nilitegemea umeamua kufunga watu kwa vielelezo au kwa hoja kuwa umepita kijijini kwake na shule za sekondari alikosoma rc na kujiridhisha kuwa ni uongo ,kumbe na wewe unaleta longolongo km za wanaomtuhumu. halafu unajinasibu kuandika hbr za uchumguzi. Mayala maana yake njaa.
 
Kuna watu ni wanafiki mno leo anasema hili alafu kesho amabadilika.
Muda mwengine inatia kinyaa kusoma baadhi ya nyuzi za watu maana ni wanafiki mno
Msimlaumu hiyo ni sifa moja kuu kwa kabila kubwa kuliko yote Tanzania
 
Duu wengi hawajamuelewa huyu jamaa!

Anachofanya hapa ni ujanja tu wa kupenyeza tips za namna ya kukusanya evidence kuhusu huu mtanange wa vyeti ili kama kuna mdau anataka kuingia chimbo basi apate mwongozo. Mengine yote porojo tu kupoteza maboya!
 
kwani gwajima ameoteshwa kaka! mfate gwajima halafu njoo na mrejesho
Miss Natafuta: bila chembe yoyote ya kukuonea sikujua kama nawe unavutiwa na udaku, mipasho, majungu, uvumi, na aina hiyo ya habari.

Inahitaji akili ndogo kugundua uwongo mweupe wa Mchungaji Gwajima. Ni hilo la yeye kuibukia madhabahuni ati ana ushahidi wa hilo analodai! Maswali kadhaa:
1) Ametuhumiwa kuhusika na biashara ya madawa ya kulevya, akajitokeza kwenye vyombo vya habari, pamoja na kukanusha, akatishia kumshtaki kwa kutuhumiwa bila ushahidi.

2) Baada ya kuachiwa, kwenye madhabahu, siku ya kwanza tu, akadai kusamehe, na kumwachia Mungu kutoa adhabu.

3) Anadai ana ushahidi, na kwa maneno yake mwenyewe, hatamsemehe tena, iweje asivipeleke kwenye vyombo husika, badala yake atumie madhabahu!

NI UZUSHI NA NI VEMA TUKAJIEPUSHA KUUSAMBAZA KINYUME NA SHERIA YA MITANDAO.
 
Uzuri ni kuwa hakuna watakachoweza kufanya.. Kumfukuza kazi hawawezi wala nini
 
Thread za Pascal Mayalla mwanajf unatakiwa uwe na muda wa kuzisoma kwa undani na kumuelewa vinginevyo unaweza kumtusi au kumpongeza kumbe hakumaanisha ulivyoelewa wewe! Hapa naona anaonyesha dira ya kupata ushahidi wa hili jambo, hana cha bahasha ya kaki wala nini! Tulieni msome kwa undani huu uzi
 
Chadema: JK alisema ana majina ya wauza dawa za kulevya kwanini serikali isiwataje hadharani ili watanzania wawafaham na serikali iwashughulikie ipasavyo

Makonda: Wema,TID, chid benzi,lulu diva,rommy jons, nk

Chadema: Hii serikali ni ya ajabu sana yaan inawataja watumiaji na waathirika wa madawa ambao badala kuwapeleka soba wao wanawaweka mahabusu, tunataka muwataje mapapa sio hao wagonjwaa.............

Makonda: Manji, Azan, Gwajima, Mbowe nk

Chadema: Makonda alinunua cheti cha mtu cha elimu, yeye jina lake kamili ni Daud Bashite, Rais mtumbue, mtumbue

Makonda&watanzania wazalendo: ???????

Chadema: Daud Bashite, Daud Bashite, Daud Bashite, Daud Bashite

Unadhani chadema wanataka nini????
Labda wanataka Makalio yako
 
Back
Top Bottom