Kumbe ni Uongo, Uzushi, Fitna, Majungu, Wivu na Kijicho dhidi ya mafanikio yake! Makonda wapuuze

Paschal Mayalla.....nimekuelewa vizuri saana...nimeona kama vile unazima moto kwa petrol...hizo njia ulizozitaja zitaibuwa mengi mengine....huko uhamiaji....mmmmhhhh sijui...
 
Pascal Mayalla uwezo wako naufahamu miaka mingi sana toka miaka ya tisini nakujua katika fani hii, kaka unaandika kwa akili ya juu sana matokeo yake wengine hawapati ujumbe wako vizuri.adjust kidogo.
Bring back Kipindi cha KITI MOTO.
 
Wanabodi.
Declaration of interest, mimi ni mwandishi wa habari wa kujitegemea mwenye uwezo na uzoefu wa muda mrefu kwenye newsroom hivyo kuweza Kufanya habari yoyote ya kiuchunguzi, ila kwa vile najitegemea nimeamua kujikita katika habari za kimaendeleo, developmental news zenye impact kwa maendeleo ya taifa. Hivyo siwezi kufutilia habari yoyote ambayo haina maslahi chanya kwa taifa.

Tangu kuibuka kwa Tuhuma za Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam kughushi vyeti, savers za JF zimezidi kujazwa kwa ma thread na mathread kuhusu sakata hili.

Hata mimi niliwahi kumshinikiza Makonda ajitokeze kukanusha kwa hoja kuwa Uongo ulisemwa sana, bila kukanushwa haweza kugeuka ni ukweli.

Kiukweli uongo siku zote utabaki kuwa ni uongo tuu hata ukisemwa vipi au mara ngapi, hauwezi kugeuka ukweli.

Na ukweli siku zote utabaki kuwa ni ukweli hata usiposemwa. Ukituhumiwa kwa tuhuma zozote za uongo au kuzushiwa jambo baya lolote, as long as unajua ni uongo, huna haja ya kukanusha, wewe jinyamazie tuu kimya, ule msemo wa "tell the truth and the truth will set you free" ni msemo wa uongo, just keep the truth and the truth will remain the truth.

Sasa Tangu kuibuliwa kwa tuhuma hizi za Makonda kughushi vyeti na kutumia majina bandia, nimekuja kugundua kuwa kumbe tuhuma hizi na shutuma zote ni uongo mtupu, ni za uzushi tuu kutaka kumfanyia fitna kwa kumpiga majungu, zinazazushwa na watu wenye wivu na kumuonea kijicho dhidi ya mafanikio yake lima Isha na jinsi alivyoshinda vita hii ya madawa ya kulevya kwa muda mfupi.

Wito wangu kwa Makonda ni kuendelea kutulia hivyo hivyo, kwa kunyamaza, usijibu kitu, just keep calm, endelea kuchapa kazi kwa sababu hawa watu watakusema mchana na usiku watalala, kesho yake wateandelea kusema, watasema wee, watasema wee mwisho watachoka.

Kanuni ya tuhuma zozote kwa kawaida ni "he who alleges must prove" waache waendelee kujifurahisha kwa kujaza severs za JF.

Yote yanayosemwa kuhusu Makonda Kumbe ni Uongo, Uzushi, Fitna, Majungu, Wivu na Kijicho Dhidi ya Mafanikio Yake!. Tuwapuuze! .

Na huu ni wito wangu kwa wazushi hawa, msiendelee kutujazia severs zetu. Kama tuhuma zenu zinaukweli wowote, kwanini mpaka leo mmeshindwa kuzithibitisha?!.

Ningeamua kufanya investigative piece ya hii story lakini...
1. Hakuna hata mtu mmoja aliyekwenda kijiji cha Kolomije kuuliza majina ya wazazi wa Paul Cristian Makonda kama hayo yao na kuuliza jina la mtoto wao wa pekee kama kweli ni Paul Christian Makonda?. Pia watawauliza wazazi wao Paul alizaliwa lini alipewa majina gani, alikulia wapi, alibatizwa wapi, alibatizwa wapi kws majina gani, aliandikishwa darasa la lini, shule gani kwa majina gani, katika simulizi hiyo ya wazazi wake, kusipoibuka majina ya Daudi Albert Bashite, wanaweza kuwauliza wazazi wake kama wanajua lolote kuhusiana na majina ya Daudi Albert Bashite.

Baada ya kupata taarifa hizo, hizo zinakuwa ni primary sources, ukitoka hapo unazitafutia collaborative sources za majirani hapo kijijini ku verfy taarifa za wazazi wake.

2. Hatua ya pili ni kuripoti shule ya Kolomije si bado ipo, wameshindwa nini kwenda kuwauliza jina la huyo mwanafunzi Paul Chirtian Makonda waliotajiwa na wazazi wake kisha wamuulizie na Daudi Albert Bashite aliandikishwa lini alimaliza lini na kwa majina gani na kama alifaulu au alifeli.

3. Baada ya hapo ni kwenda Shule ya Sekondari ya Pamba na kuulizia mwafunzi aliyefeli shule ya msingi, amewezaje kuingia Sekondari ya serekali. Kisha waulizie kuhusu mwafunzi Paul Christian Makonda na Daudi Albert Bashite walijiunga lini kwa majina yapi, wakamaliza lini na matokeo yao ni yapi.

4. Unakwenda chuo cha uvuvi Nyegezi unapata details na documentary evidence ya jina la Paul Christian Makonda alilojisajili na vyeti alivyo wasilisha wakati alijiunga na vyeti alivyo hitimu. Hapo Nyegezi ukikuta majina tofauti ya shule na vyeti, unafanya back to back ya shule ulizokuta na kuzipitia ku verfy Paul Christian Makonda alisoma hapo.
5. Unaripoti Mbegani unapata details za Paul Christian Makonda na documentary evidence ya majina aliyotumia kujiunga na vyeti aliyotumia na vyeti vya kuhitimu.

6. Unaripoti chuo cha Ushirika you do the same.
Mkumbuke hizo info zote ni public info ambazo ziko freely accessible. Kama Kuna any discrepancies zozote za majina kwenye hivyo vyeti kati ya Paul Christian Makonda na Daudi Albert Bashite then una launch secondary investigation kwa kuandika barua kutumia kipengele cha sheria ya "the right to information act ku access protected info kutaka

7.Vizazi na vifo alipozaliwa aliandikishwaje? .

8. Idara ya Uhamiaji ina file la DN Number alipoomba passport aliwasilisha nyaraka gani na za wazazi wake zikiwemo affidavits zao.

9. Unakwenda mamlaka yake ya ajira kuangalia aliwasilisha vyeti gani

10. Unamkabili Paul Makonda mwenyewe na vielelezo vyote kuthibitisha yeye ni Daudi Albert Bashite bila kusema kuwa ni mwizi wa jina wala amefanya forgery or fraud. Unamtupia mezani kwake na kumpa kamba ama ajinyonge yeye mwenyewe ama ajinasue.

Hata Makonda akigoma kutoa ushirikiano, you have facts to go on with the story with or without Makonda's imput. Kazi ya mwandishi ni kuwalisha facts only hivyo unaibuka na big headline "Uthibitisho Paul Chritian Makonda ndiye Daudi Albert Bashite " huku umetutundikia hizo evidence.

Kinyume cha hapo sisi akina Tomaso wote tunaendelea kuamini kuwa kumbe tuhuma zote hizi dhidi ya Makonda ni Uongo, Uzushi, Fitna, Majungu, Wivu na Kijicho Dhidi ya Mafanikio Yake!.

Uthibitisho wa uzushi ni huu ukweli bayana uliopo hadi sasa kuwa Mhe. Paul Christian Makondo ni mteule wa rais wa JMT aliyefanyiwa vetting na vyombo husika na kuthibitisha pasipo shaka wasifu wake hivyo akateuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam na mpaka sasa huu ndio ukweli bayana na halisi uliopo. Kati ya wazushi hawa na rais wetu aliyemwamini na kumteua nani mkweli? . Mkweli ni Rais, Mhe. John Pombe Joseph Magufuli ndio maana katulia tuu nyie endeleeni kupiga kelele.

Watanzania tupunguze kushadadia uzushi, tujiunge na rais wetu kumtia moyo Mkuu wetu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda endelea kuchapa kazi, na sisi wengine wote katika umoja wetu, tuwapuuze kabisa watu hawa wasiolitakia mema taifa letu.

Nawatakia Jumatano Njema ya Majivu, leo ni siku ya kufunga kwa sisi Wakristo Wakatoliki, tunaanza mfungo wa siku 40 za Kwaresma.
Kwaresma Njema
Paskali
Nilipokuwa nasoma uzi huu ulivyo mrefu nilifikiri unamsisitiza Daudi aweke vyeti mezani badala yake unatumia nguvu nyingi kute
Maudhui ya hii habari sio mpya, ni kama ya hao wengine unaosema wanajaza server.

Siku hizi umekuwa mshauri wa DAUD, Kuna kipindi ulimshauri vizuri kuwa aonyeshe vyeti vyake ili kujiweka clean, lakini leo umegeuka tena, Sasa BASHITE ashike lipi? Maana kila siku unakuja kivingine.

Kusoma raha sana, Mimi ukiniulizia vyeti vyangu hata nikiwa usingizini nakupatia.

Wala singehitaji akina PASKAL na LEMUTUZ waje kunitetea.
Mkuu tatizo la Pascal ni njaa sasa hivi anajifanya hajui kama kosa la Daudi ni jinai asubiri naye ikukifo
S
Mayala naona kwa sasa uandishi wa habari wa kujitegemea haulipi hasa kwa zama hizi. Unataka kutafuta kiki ili wakuajili pale tbccm bila shaka. Suala la vyeti feki halijaanzia kwa makonda na kama sio kweli kwani kuna ubaya gani kuthibitisha hilo kwa kutoa vyeti vyake? Kumshauli akae kimya ni kumpoteza mwenzako maaana hata watu wakiacha kujadili bado imani ya watu kwake na kwa serikali hii inayojigamba kuwa haimuangalii mtu usoni itashuka mno. Kwa sasa umeshajipambanua wazi upo mrengo gani.
Simlaumu sababu mtu akiwa na njaa hata uwezo wake wa kufikiri unashuka na ndivy Pascal alivyo sasa
 
Aisee wewe jamaa umenikera hapo uliposema hatumlishi wala hatumvishi[emoji53][emoji6][emoji30][emoji30]

Eti kweli wakati mpaka anapojisaidia tunamlipia sisi.
 
  • Thanks
Reactions: SIM
Sikununua vyeti nina elimu ya darasa la saba tu ila nakuelewa sana Paskali.Unaandika ujumbe ambao wengi hawawezi kuona kwa jicho la tatu.
Paskali si kibaraka kama wengi mlivyotafsiri bali kuna jambo la ziada analo na anafikisha ujumbe kwa njia ambayo wengi ni ngumu kuielewa.
Kwakuwa wengi hawamueli Paskali napata shaka kuwa tatizo la kutumia vyeti bandia ama vya watu wengine ni kubwa sana hapa nchini.
 
Kashaanza kumwaga pesa naona wasafishaji wanakuwa wengi sasa. UVCCM kazini
 
Jamaa umeangalia mbali sana, umeona ukiponda unaweza usiingie viwanja vya sabasaba mwaka huu.
 
Pascal Mayalla uwezo wako naufahamu miaka mingi sana toka miaka ya tisini nakujua katika fani hii, kaka unaandika kwa akili ya juu sana matokeo yake wengine hawapati ujumbe wako vizuri.adjust kidogo.
Bring back Kipindi cha KITI MOTO.

Mkuu hata mm nimekuwa namwelewa paskali kama ambavyo unamwelewa na nyuzi zake nyingi huwa nasoma...napitia comments nachekaaaa halafu nakaa kimya.

Ila naanza kupata wasiwasi acha tu niwe mkweli naanza kupata wasiwasi.

Haya maswali yote paskali aliyosema mtu akitaka majibu yake inaweza kuyapata sehemu husika. Mtuhumiwa anaweza kuyajibu tena kwa kutumia si zaidi ya nusu saa.

Mbona yule Mkurugenzi sijui aliyekuwa anatuhumiwa ni hotel manager sijui alitumia kikao cha magufuli kumaliza utata.
 
Njaa mbaya sana, inaweza kusababisha kuamisha akili za mtu na kuanza kuongea pumba.

Tanzania inatia huruma sana kama waandisha wa habari ndio kama hawa.
 
Tunashukuru kutupa njia ya kupata uthibitisho zaidi ndugu Mayala
 
Wanabodi.

Naanza na kanuni ya haki " innocent until proven guilty"

Declaration of interest, mimi ni mwandishi wa habari wa kujitegemea mwenye uwezo na uzoefu wa muda mrefu kwenye newsroom hivyo kuweza Kufanya habari yoyote ya kiuchunguzi, ila kwa vile najitegemea nimeamua kujikita katika habari za kimaendeleo, developmental news zenye impact kwa maendeleo ya taifa. Hivyo siwezi kufutilia habari yoyote ambayo haina maslahi chanya kwa taifa.

Tangu kuibuka kwa Tuhuma za Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam kughushi vyeti, savers za JF zimezidi kujazwa kwa ma thread na mathread kuhusu sakata hili.

Hata mimi niliwahi kumshinikiza Makonda ajitokeze kukanusha kwa hoja kuwa Uongo ulisemwa sana, bila kukanushwa mwishowe kugeuka kuwa ni ukweli.

Sasa nimegundua uongo siku zote utabaki kuwa ni uongo tuu hata ukisemwa vipi au mara ngapi, hauwezi hata siku moja kugeuka ni ukweli.

Na ukweli siku zote utabaki kuwa ni ukweli tuu hata usiposemwa. Ukituhumiwa kwa tuhuma zozote za uongo au kuzushiwa jambo baya lolote, as long as unajua ni uongo, huna haja ya kukanusha, wewe jinyamazie tuu kimya, ule msemo wa "tell the truth and the truth will set you free" ni msemo wa uongo, kanuni yangu ni "just keep silent about the truth, and the truth will remain the truth".

Uthibitisho kuwa tuhuma hizi ni uzushi, ni huu ukweli bayana uliopo mbele yetu hadi sasa kuwa Mhe. Paul Christian Makondo ni mteule wa rais wa JMT aliyefanyiwa vetting na vyombo husika na kuthibitisha pasipo shaka wasifu wake hivyo akateuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam na mpaka sasa hapa tunavyozungunza, Paul Christian Makonda, ndiye Mkuu wetu wa mkoa wa Dar es Salaam, na huu ndio ukweli bayana na ukweli halisi uliopo, mkubali, mkatae, ukweli unabaki kuwa ukweli, mengine yote ni uzushi tuu!.

Jee wewe Mtanzania mwenzangu, kati ya wazushi hawa wanaomzushia Makonda kuwa ana jina la bandia na vyeti vya kughushi, na rais wetu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, aliyemwamini Makonda hadi kumteua kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, na kuendelea kumwani mpaka hii leo, licha ya kuibuka kwa tuhuma hii, unamwamini nani kati ya wazushi na rais wako?.

Kwa maoni yangu Mkweli ni Rais wa JMT, Mhe. John Pombe Joseph Magufuli, kwa sababu tangu kuibuka kwa tuhuma hii, serikali kupitia vyombo vyake, ingeishafanya uchunguzi na kuchukua hatua stahiki, lakini kitendo cha Paul Makonda, hadi dakika hii, bado ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, kwangu ni uthibitisho tosha, tuhuma hizi ni za uongo, ni za kubuni, na kutunga ni uzushi tuu wa kupuuzwa, ndio maana Makonda mwenyewe amezipuuza, na Rais hajachukua hatua yoyote, bali katulia tuu na kuzipuuzia kelele hizi, huku wazushi wakiendelea kupiga kelele.

Wengi mliujua uwezo wa Makonda, alipoanza vita na wauza unga, sisi wengine, tuliujua uwezo wa Makonda toka akiwa DC na tulitoa ushauri ufuatao kwa Magufuli
Nimemkubali Sana DC Makonda, anafaa kuwa Mkuu wa Mkoa Dar es ...
Tena tumependekeza
Baada ya Magufuli, 2025 Makonda atatufaa sana, kwasababu ana ...

Watanzania tupunguze kushadadia uzushi, tujiunge na rais wetu kumtia moyo Mkuu wetu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda endelea kuchapa kazi, na sisi wengine wote katika umoja wetu, tuwapuuze kabisa watu hawa wasiolitakia mema taifa letu.

Nawatakia Jumatano Njema ya Majivu, leo ni siku ya kufunga kwa sisi Wakristo Wakatoliki, tunaanza mfungo wa siku 40 za Kwaresma.
Kwaresma Njema
Paskali
Wenye kuelewa tumeelewa kuwa na ww ni miongoni mwa wanaomtaka makonda ajitokeze hadharani na kuweka mambo wazi... Gwajima yuko sahihi mkuu.. Maana kwa sasa dunia ni kijiji
 
Mm huyu Mallaya Wakati mwingine huwa na dought Professionalism yake!

Ww kama unavyo jidai mwandishi wa Habar za ki uchunguzi.
Umeenda Chuo cha Uvuvi Nyegezi (Fisheries-SWEYA)?

Je umeenda chuo MBEGANI?

Je umeenda Pamba Sec School?

Je umeenda NECTA/NACTE?

Je umeenda MUCOBS/SUA?

Huwa sipendi maelezo meeengi kama simulizi za Erick Shigongo huku NYAMA hakuna.
 
kama unamtetea kwa kuwa ni msukuma mwenzako unadhalilisha utu wako na weledi wako, [HASHTAG]#paschal[/HASHTAG] unajidhalilisha
 
Wanabodi.

Naanza na kanuni ya haki " innocent until proven guilty"

Declaration of interest, mimi ni mwandishi wa habari wa kujitegemea mwenye uwezo na uzoefu wa muda mrefu kwenye newsroom hivyo kuweza Kufanya habari yoyote ya kiuchunguzi, ila kwa vile najitegemea nimeamua kujikita katika habari za kimaendeleo, developmental news zenye impact kwa maendeleo ya taifa. Hivyo siwezi kufutilia habari yoyote ambayo haina maslahi chanya kwa taifa.

Tangu kuibuka kwa Tuhuma za Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam kughushi vyeti, savers za JF zimezidi kujazwa kwa ma thread na mathread kuhusu sakata hili.

Hata mimi niliwahi kumshinikiza Makonda ajitokeze kukanusha kwa hoja kuwa Uongo ulisemwa sana, bila kukanushwa mwishowe kugeuka kuwa ni ukweli.

Sasa nimegundua uongo siku zote utabaki kuwa ni uongo tuu hata ukisemwa vipi au mara ngapi, hauwezi hata siku moja kugeuka ni ukweli.

Na ukweli siku zote utabaki kuwa ni ukweli tuu hata usiposemwa. Ukituhumiwa kwa tuhuma zozote za uongo au kuzushiwa jambo baya lolote, as long as unajua ni uongo, huna haja ya kukanusha, wewe jinyamazie tuu kimya, ule msemo wa "tell the truth and the truth will set you free" ni msemo wa uongo, kanuni yangu ni "just keep silent about the truth, and the truth will remain the truth".

Uthibitisho kuwa tuhuma hizi ni uzushi, ni huu ukweli bayana uliopo mbele yetu hadi sasa kuwa Mhe. Paul Christian Makondo ni mteule wa rais wa JMT aliyefanyiwa vetting na vyombo husika na kuthibitisha pasipo shaka wasifu wake hivyo akateuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam na mpaka sasa hapa tunavyozungunza, Paul Christian Makonda, ndiye Mkuu wetu wa mkoa wa Dar es Salaam, na huu ndio ukweli bayana na ukweli halisi uliopo, mkubali, mkatae, ukweli unabaki kuwa ukweli, mengine yote ni uzushi tuu!.

Jee wewe Mtanzania mwenzangu, kati ya wazushi hawa wanaomzushia Makonda kuwa ana jina la bandia na vyeti vya kughushi, na rais wetu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, aliyemwamini Makonda hadi kumteua kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, na kuendelea kumwani mpaka hii leo, licha ya kuibuka kwa tuhuma hii, unamwamini nani kati ya wazushi na rais wako?.

Kwa maoni yangu Mkweli ni Rais wa JMT, Mhe. John Pombe Joseph Magufuli, kwa sababu tangu kuibuka kwa tuhuma hii, serikali kupitia vyombo vyake, ingeishafanya uchunguzi na kuchukua hatua stahiki, lakini kitendo cha Paul Makonda, hadi dakika hii, bado ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, kwangu ni uthibitisho tosha, tuhuma hizi ni za uongo, ni za kubuni, na kutunga ni uzushi tuu wa kupuuzwa, ndio maana Makonda mwenyewe amezipuuza, na Rais hajachukua hatua yoyote, bali katulia tuu na kuzipuuzia kelele hizi, huku wazushi wakiendelea kupiga kelele.

Wengi mliujua uwezo wa Makonda, alipoanza vita na wauza unga, sisi wengine, tuliujua uwezo wa Makonda toka akiwa DC na tulitoa ushauri ufuatao kwa Magufuli
Nimemkubali Sana DC Makonda, anafaa kuwa Mkuu wa Mkoa Dar es ...
Tena tumependekeza
Baada ya Magufuli, 2025 Makonda atatufaa sana, kwasababu ana ...

Watanzania tupunguze kushadadia uzushi, tujiunge na rais wetu kumtia moyo Mkuu wetu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda endelea kuchapa kazi, na sisi wengine wote katika umoja wetu, tuwapuuze kabisa watu hawa wasiolitakia mema taifa letu.

Nawatakia Jumatano Njema ya Majivu, leo ni siku ya kufunga kwa sisi Wakristo Wakatoliki, tunaanza mfungo wa siku 40 za Kwaresma.
Kwaresma Njema
Paskali
Paskali, yaani kuteuliwa kuwa mkuu wa mkoa kunaondoa...
1. Kufeli kwake la saba?
2. Kuwa na jina moja na baadaye kuwa na jina jingine?
3. Kupata sifuri kwenye matokeo ya kidato cha nne?
4. Kudisco mara kadhaa akiwa chuo?

Paskali hukutakiwa kuwa cheap kiasi hiki kwenye kujenga hoja yako.... VETTING... Mbona yule aliyesemekana kuwa ni meneja wa hotel palitolewa ufafanuzi?

Paskali, unaikumbuka hii? Baada ya Dr.Kigwangala, Mwigulu, sasa ni zamu ya Makonda kuhusu jina, hii inaweza kuwa kweli au?
 
Wanabodi.

Naanza na kanuni ya haki " innocent until proven guilty"

Declaration of interest, mimi ni mwandishi wa habari wa kujitegemea mwenye uwezo na uzoefu wa muda mrefu kwenye newsroom hivyo kuweza Kufanya habari yoyote ya kiuchunguzi, ila kwa vile najitegemea nimeamua kujikita katika habari za kimaendeleo, developmental news zenye impact kwa maendeleo ya taifa. Hivyo siwezi kufutilia habari yoyote ambayo haina maslahi chanya kwa taifa.

Tangu kuibuka kwa Tuhuma za Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam kughushi vyeti, savers za JF zimezidi kujazwa kwa ma thread na mathread kuhusu sakata hili.

Hata mimi niliwahi kumshinikiza Makonda ajitokeze kukanusha kwa hoja kuwa Uongo ulisemwa sana, bila kukanushwa mwishowe kugeuka kuwa ni ukweli.

Sasa nimegundua uongo siku zote utabaki kuwa ni uongo tuu hata ukisemwa vipi au mara ngapi, hauwezi hata siku moja kugeuka ni ukweli.

Na ukweli siku zote utabaki kuwa ni ukweli tuu hata usiposemwa. Ukituhumiwa kwa tuhuma zozote za uongo au kuzushiwa jambo baya lolote, as long as unajua ni uongo, huna haja ya kukanusha, wewe jinyamazie tuu kimya, ule msemo wa "tell the truth and the truth will set you free" ni msemo wa uongo, kanuni yangu ni "just keep silent about the truth, and the truth will remain the truth".

Uthibitisho kuwa tuhuma hizi ni uzushi, ni huu ukweli bayana uliopo mbele yetu hadi sasa kuwa Mhe. Paul Christian Makondo ni mteule wa rais wa JMT aliyefanyiwa vetting na vyombo husika na kuthibitisha pasipo shaka wasifu wake hivyo akateuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam na mpaka sasa hapa tunavyozungunza, Paul Christian Makonda, ndiye Mkuu wetu wa mkoa wa Dar es Salaam, na huu ndio ukweli bayana na ukweli halisi uliopo, mkubali, mkatae, ukweli unabaki kuwa ukweli, mengine yote ni uzushi tuu!.

Jee wewe Mtanzania mwenzangu, kati ya wazushi hawa wanaomzushia Makonda kuwa ana jina la bandia na vyeti vya kughushi, na rais wetu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, aliyemwamini Makonda hadi kumteua kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, na kuendelea kumwani mpaka hii leo, licha ya kuibuka kwa tuhuma hii, unamwamini nani kati ya wazushi na rais wako?.

Kwa maoni yangu Mkweli ni Rais wa JMT, Mhe. John Pombe Joseph Magufuli, kwa sababu tangu kuibuka kwa tuhuma hii, serikali kupitia vyombo vyake, ingeishafanya uchunguzi na kuchukua hatua stahiki, lakini kitendo cha Paul Makonda, hadi dakika hii, bado ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, kwangu ni uthibitisho tosha, tuhuma hizi ni za uongo, ni za kubuni, na kutunga ni uzushi tuu wa kupuuzwa, ndio maana Makonda mwenyewe amezipuuza, na Rais hajachukua hatua yoyote, bali katulia tuu na kuzipuuzia kelele hizi, huku wazushi wakiendelea kupiga kelele.

Wengi mliujua uwezo wa Makonda, alipoanza vita na wauza unga, sisi wengine, tuliujua uwezo wa Makonda toka akiwa DC na tulitoa ushauri ufuatao kwa Magufuli
Nimemkubali Sana DC Makonda, anafaa kuwa Mkuu wa Mkoa Dar es ...
Tena tumependekeza
Baada ya Magufuli, 2025 Makonda atatufaa sana, kwasababu ana ...

Watanzania tupunguze kushadadia uzushi, tujiunge na rais wetu kumtia moyo Mkuu wetu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda endelea kuchapa kazi, na sisi wengine wote katika umoja wetu, tuwapuuze kabisa watu hawa wasiolitakia mema taifa letu.

Nawatakia Jumatano Njema ya Majivu, leo ni siku ya kufunga kwa sisi Wakristo Wakatoliki, tunaanza mfungo wa siku 40 za Kwaresma.
Kwaresma Njema
Paskali

nikajua una vyeti original kumbe hisia ha ha ha ha ha ha ha wewe bwana njaa ebu jipange tena
 
Lowassa aliwahi kusema mwenye uthibitisho kuhusu ufisadi wangu aende mahakamani la sivyo SHUT UP

hadi Leo kimya
 
Mayala, umepatwa na ugonjwa gani tena. Maana hii ni zaidi ya njaa inayoashiria jina lako.
 
Back
Top Bottom