Kumbe ni Uongo, Uzushi, Fitna, Majungu, Wivu na Kijicho dhidi ya mafanikio yake! Makonda wapuuze

Makonda kasumbua sana mpaka sahivi yule mmanga kashalala korokoroni siku 5 mfululizo bila kurudi nyumbani. Makonda kamsugulisha benchi kweli kweli huyu jamaa
 
Wanabodi.

Naanza na kanuni ya haki " innocent until proven guilty"

Declaration of interest, mimi ni mwandishi wa habari wa kujitegemea mwenye uwezo na uzoefu wa muda mrefu kwenye newsroom hivyo kuweza Kufanya habari yoyote ya kiuchunguzi, ila kwa vile najitegemea nimeamua kujikita katika habari za kimaendeleo, developmental news zenye impact kwa maendeleo ya taifa. Hivyo siwezi kufutilia habari yoyote ambayo haina maslahi chanya kwa taifa.

Tangu kuibuka kwa Tuhuma za Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam kughushi vyeti, savers za JF zimezidi kujazwa kwa ma thread na mathread kuhusu sakata hili.

Hata mimi niliwahi kumshinikiza Makonda ajitokeze kukanusha kwa hoja kuwa Uongo ulisemwa sana, bila kukanushwa mwishowe kugeuka kuwa ni ukweli.

Sasa nimegundua uongo siku zote utabaki kuwa ni uongo tuu hata ukisemwa vipi au mara ngapi, hauwezi hata siku moja kugeuka ni ukweli.

Na ukweli siku zote utabaki kuwa ni ukweli tuu hata usiposemwa. Ukituhumiwa kwa tuhuma zozote za uongo au kuzushiwa jambo baya lolote, as long as unajua ni uongo, huna haja ya kukanusha, wewe jinyamazie tuu kimya, ule msemo wa "tell the truth and the truth will set you free" ni msemo wa uongo, kanuni yangu ni "just keep silent about the truth, and the truth will remain the truth".

Uthibitisho kuwa tuhuma hizi ni uzushi, ni huu ukweli bayana uliopo mbele yetu hadi sasa kuwa Mhe. Paul Christian Makondo ni mteule wa rais wa JMT aliyefanyiwa vetting na vyombo husika na kuthibitisha pasipo shaka wasifu wake hivyo akateuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam na mpaka sasa hapa tunavyozungunza, Paul Christian Makonda, ndiye Mkuu wetu wa mkoa wa Dar es Salaam, na huu ndio ukweli bayana na ukweli halisi uliopo, mkubali, mkatae, ukweli unabaki kuwa ukweli, mengine yote ni uzushi tuu!.

Jee wewe Mtanzania mwenzangu, kati ya wazushi hawa wanaomzushia Makonda kuwa ana jina la bandia na vyeti vya kughushi, na rais wetu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, aliyemwamini Makonda hadi kumteua kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, na kuendelea kumwani mpaka hii leo, licha ya kuibuka kwa tuhuma hii, unamwamini nani kati ya wazushi na rais wako?.

Kwa maoni yangu Mkweli ni Rais wa JMT, Mhe. John Pombe Joseph Magufuli, kwa sababu tangu kuibuka kwa tuhuma hii, serikali kupitia vyombo vyake, ingeishafanya uchunguzi na kuchukua hatua stahiki, lakini kitendo cha Paul Makonda, hadi dakika hii, bado ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, kwangu ni uthibitisho tosha, tuhuma hizi ni za uongo, ni za kubuni, na kutunga ni uzushi tuu wa kupuuzwa, ndio maana Makonda mwenyewe amezipuuza, na Rais hajachukua hatua yoyote, bali katulia tuu na kuzipuuzia kelele hizi, huku wazushi wakiendelea kupiga kelele.

Wengi mliujua uwezo wa Makonda, alipoanza vita na wauza unga, sisi wengine, tuliujua uwezo wa Makonda toka akiwa DC na tulitoa ushauri ufuatao kwa Magufuli
Nimemkubali Sana DC Makonda, anafaa kuwa Mkuu wa Mkoa Dar es ...
Tena tumependekeza
Baada ya Magufuli, 2025 Makonda atatufaa sana, kwasababu ana ...

Watanzania tupunguze kushadadia uzushi, tujiunge na rais wetu kumtia moyo Mkuu wetu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda endelea kuchapa kazi, na sisi wengine wote katika umoja wetu, tuwapuuze kabisa watu hawa wasiolitakia mema taifa letu.

Nawatakia Jumatano Njema ya Majivu, leo ni siku ya kufunga kwa sisi Wakristo Wakatoliki, tunaanza mfungo wa siku 40 za Kwaresma.
Kwaresma Njema
Paskali
Fanatic to changes, feelings & love based comments , no proof !!
Next time write the true based facts to educate people not just political based proaganda
 
Yaaani mtahangaika sana kumtetea ila mwisho wa siku ni yeye anastahili kujitokeza hadharani kwani sisi watz tunaweza kuamini kuwa mmepewa visent kumtetea ila asipojitokeza yeye ni jipu na tapeli wa elimu,watz tumebadilika sana ,msidhani ni wa miaka ile,,,,,,,,,,,,ni lazima ifikie hatua tuwe kama watu wa mataifa ya nje unapopata tuhuma tu ili mradi zina ukweli ndani yake basi yapasa kuachia ngazi,hatutaki unafiki,unafiki ndio umetufikisha hapa,fikiria vijana wangapi wametumbliwa kielimu vyuo vikuu na wengine walikuwa mwaka wa pili na wa tatu,wao si watu na walikubali yaishe,kwani Bashite ndio nani kwani yeye uteule wake hadi mbinguni,hata serikali isipomchukulia sheria na nyie wapambe mkamtetea ni kazi bure asipojitokeza ni zerooooo,hata mbinguni ataulizwa,je nyie mtakuwepo kumsaidia,kila mwanadamu anakosea,ilibidi ajitokeze yeye na sio atumie vidampa,wembe uliotumika kunyolea wengine hata kwake kama kuna ukweli basi utumike.
 
Paskali umelogwa?? Hii njaa itakupeleka motoni
usidhani ni yeye mkuu tumbo ndio linasumbua kuna timu maalum imeundwa tena ya watu maarufu kumsafisha ila wamenoa majivu yatabaki kuwa majivu na mkaa utabaki kuwa mkaa,leo utashuhuhudia uongo utalipwa ila kesho kwa mola utajibu tu kipi kilikufanya ushuhudie uongo
 
Wewe ulishaambiwa inawezekana ulizaliwa kipindi cha njaa!!! hivyo hatuna mashaka tena. "Mayala kwetu ni njaa sasa inawezekana huyu Mayala alizaliwa kipindi cha njaa" Mwisho wa kunukuu
 
hakuna dhambi mbaya kama dhambi ya kumkufuru roho mtakatifu haina msamaha,yaani mtu unajua kabisa huyu jamaa namtetea ila ana makosa lakini sbb ya njaa yako na tamaa hujali na pembeni unasikia sauti ya roho mtakatifu mwanangu usitetee uovu hujali,hakika wewe malipo yake ni sawa na huyo unayemtetea,tutachukulia vitu kirahisi sana ila ipo siku..........................
 
Eeeeh tukutane j pili kwa gwajima mapema tuuuh nikae mbele tena
 
Yaaani mtahangaika sana kumtetea ila mwisho wa siku ni yeye anastahili kujitokeza hadharani kwani sisi watz tunaweza kuamini kuwa mmepewa visent kumtetea ila asipojitokeza yeye ni jipu na tapeli wa elimu,watz tumebadilika sana ,msidhani ni wa miaka ile,,,,,,,,,,,,ni lazima ifikie hatua tuwe kama watu wa mataifa ya nje unapopata tuhuma tu ili mradi zina ukweli ndani yake basi yapasa kuachia ngazi,hatutaki unafiki,unafiki ndio umetufikisha hapa,fikiria vijana wangapi wametumbliwa kielimu vyuo vikuu na wengine walikuwa mwaka wa pili na wa tatu,wao si watu na walikubali yaishe,kwani Bashite ndio nani kwani yeye uteule wake hadi mbinguni,hata serikali isipomchukulia sheria na nyie wapambe mkamtetea ni kazi bure asipojitokeza ni zerooooo,hata mbinguni ataulizwa,je nyie mtakuwepo kumsaidia,kila mwanadamu anakosea,ilibidi ajitokeze yeye na sio atumie vidampa,wembe uliotumika kunyolea wengine hata kwake kama kuna ukweli basi utumike.
Sirikali haishindwi kugeuza cheupe kuwa cheusi na cheusi kuwa cheupe wote sisi tunajisumbua mwisho wa siku jibu la 1+1 inajulikana ni =2
 
Pascal jakupongeza kwa muono wako kama mtaaluma ktk fani ya habari ila mimi namlaum rais wetu uteuzi wake ameufanya bila hata kuzingatia umri ktk maeneo Fulani Makonda hafanani kuiongoza Dar kwa umri wake hata Dc hapi hakufanana kuwa kinondoni kwa umri wake walifanana kupewa wilaya Mdogo kuwasubirishia watoke ktk foolish age kwenda kwenye utu uzima kuanzia miaka 40-on ward umri umemponza makonda hata awe jasiri lazima atapeperushwa NA vishindo vya matajiri,wasomi,wajuaji NA kwenye madaraka wasiomtakia mema Kazi aliyoianzisha ni nzuri mno alitumia utoto kuwataja watu hadharani alikosea tumuombee Mungu amsaidie.
 
Ni wazi bwana makonda akitumbuliwa,basi atakuwa kafikia kiama chake kisiasa,maana yake atakuwa,technically anarudia jina lake la daudi bashite,

Je ataomba ubunge kupitia jina gani?kwa vyeti gani?

Hii,kwa wataalamu wa siasa,ni fimbo kali sana ya kumchapia wakati wa kampeni 2020,ni suala la kutembea na allegation zote,vyeti vyote,na kuhakikisha habari hii haichuji masikioni mwa wananchi.
 
Wanabodi.

Naanza na kanuni ya haki " innocent until proven guilty"

Declaration of interest, mimi ni mwandishi wa habari wa kujitegemea mwenye uwezo na uzoefu wa muda mrefu kwenye newsroom hivyo kuweza Kufanya habari yoyote ya kiuchunguzi, ila kwa vile najitegemea nimeamua kujikita katika habari za kimaendeleo, developmental news zenye impact kwa maendeleo ya taifa. Hivyo siwezi kufutilia habari yoyote ambayo haina maslahi chanya kwa taifa.

Tangu kuibuka kwa Tuhuma za Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam kughushi vyeti, savers za JF zimezidi kujazwa kwa ma thread na mathread kuhusu sakata hili.

Hata mimi niliwahi kumshinikiza Makonda ajitokeze kukanusha kwa hoja kuwa Uongo ulisemwa sana, bila kukanushwa mwishowe kugeuka kuwa ni ukweli.

Sasa nimegundua uongo siku zote utabaki kuwa ni uongo tuu hata ukisemwa vipi au mara ngapi, hauwezi hata siku moja kugeuka ni ukweli.

Na ukweli siku zote utabaki kuwa ni ukweli tuu hata usiposemwa. Ukituhumiwa kwa tuhuma zozote za uongo au kuzushiwa jambo baya lolote, as long as unajua ni uongo, huna haja ya kukanusha, wewe jinyamazie tuu kimya, ule msemo wa "tell the truth and the truth will set you free" ni msemo wa uongo, kanuni yangu ni "just keep silent about the truth, and the truth will remain the truth".

Uthibitisho kuwa tuhuma hizi ni uzushi, ni huu ukweli bayana uliopo mbele yetu hadi sasa kuwa Mhe. Paul Christian Makondo ni mteule wa rais wa JMT aliyefanyiwa vetting na vyombo husika na kuthibitisha pasipo shaka wasifu wake hivyo akateuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam na mpaka sasa hapa tunavyozungunza, Paul Christian Makonda, ndiye Mkuu wetu wa mkoa wa Dar es Salaam, na huu ndio ukweli bayana na ukweli halisi uliopo, mkubali, mkatae, ukweli unabaki kuwa ukweli, mengine yote ni uzushi tuu!.

Jee wewe Mtanzania mwenzangu, kati ya wazushi hawa wanaomzushia Makonda kuwa ana jina la bandia na vyeti vya kughushi, na rais wetu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, aliyemwamini Makonda hadi kumteua kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, na kuendelea kumwani mpaka hii leo, licha ya kuibuka kwa tuhuma hii, unamwamini nani kati ya wazushi na rais wako?.

Kwa maoni yangu Mkweli ni Rais wa JMT, Mhe. John Pombe Joseph Magufuli, kwa sababu tangu kuibuka kwa tuhuma hii, serikali kupitia vyombo vyake, ingeishafanya uchunguzi na kuchukua hatua stahiki, lakini kitendo cha Paul Makonda, hadi dakika hii, bado ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, kwangu ni uthibitisho tosha, tuhuma hizi ni za uongo, ni za kubuni, na kutunga ni uzushi tuu wa kupuuzwa, ndio maana Makonda mwenyewe amezipuuza, na Rais hajachukua hatua yoyote, bali katulia tuu na kuzipuuzia kelele hizi, huku wazushi wakiendelea kupiga kelele.

Wengi mliujua uwezo wa Makonda, alipoanza vita na wauza unga, sisi wengine, tuliujua uwezo wa Makonda toka akiwa DC na tulitoa ushauri ufuatao kwa Magufuli
Nimemkubali Sana DC Makonda, anafaa kuwa Mkuu wa Mkoa Dar es ...
Tena tumependekeza
Baada ya Magufuli, 2025 Makonda atatufaa sana, kwasababu ana ...

Watanzania tupunguze kushadadia uzushi, tujiunge na rais wetu kumtia moyo Mkuu wetu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda endelea kuchapa kazi, na sisi wengine wote katika umoja wetu, tuwapuuze kabisa watu hawa wasiolitakia mema taifa letu.

Nawatakia Jumatano Njema ya Majivu, leo ni siku ya kufunga kwa sisi Wakristo Wakatoliki, tunaanza mfungo wa siku 40 za Kwaresma.
Kwaresma Njema
Paskali
we jamaa ni mnafiki sana na nishakuona ni mtu wa kujipendekeza kwenye mamlaka kama mwenzako daudi bashite wewe ni traitor miongoni mwa jamii ya watanzania wapigania haki.
 
Nimekuja mbio nilijua umemwaga vyeti ,kumbe ni porojo tu ...wewe sio Pascal Mayalla yule niliyekuzoea enzi zile kabla ya ule mkutano wa jumba jeupe.
Siku hizi uwezo wako wa kujenga hoja umekuwa wa kutiliwa shaka ,je umeazimisha karamu? Time will tell .
 
Dah, nikajua umeleta vyeti vyake Mkuu.. Kumbe wale wale tu, umejipambanua sana mwanzoni kwa Mkwara kua mwandishi mtafiti, acha kiki mkuu.

[HASHTAG]#vyetimubashara[/HASHTAG]
Kumwelewa Pascal Mayalla inabidi ukae utulie na kumsoma kwa makini...

Usisahau huyu mtu naye katokea jirani na kijiji cha [HASHTAG]#Koromije[/HASHTAG]
 
"sarcasm" vilaza wengi wa hapa jf hawaielewi hii lugha uliyoitumia. Huko shuleni mlienda kusomea ujinga in faiza`s voice
 
Back
Top Bottom