Kumbe ni Uongo, Uzushi, Fitna, Majungu, Wivu na Kijicho dhidi ya mafanikio yake! Makonda wapuuze

We mayala.....yaani Ikulu kukaa kimya maana yake ni uzushi kwa utashi wako na uandishi wako wa kitambo?
Mbona mara zote kazi ya serikali kupitia Ikulu ni kukanusha kila kitu?
Mbona hili lina maslahi mapana sn na ni zito kiasi kwamba hakuna namna rais au mhusika kwa jinsi wote walivowaropokaji wakakaa kimya?
Hili swala ni kubwa sn na makonda is a failure TUNATAKA SHERIA ICHUKUE MKONDO WAKE ASHITAKIWE KWA KUGUSHI VYETI NA AFUNGWE MAISHA
 
Yaani Hili Paschal Mayalla sijui ni la wapi jamaa ni Jinga mno... linajipendekezaa mno.....tulia ufanye mambo yako bwana
 
Haina haja ya kuhangaika kumsemea, kama vyeti vipo na yeye kama kiongozi ndiye anayetuhumiwa nikuita press kuonesha vyeti na kuwasihi wananchi kuaachana na uzushi wa mitandaoni. Lasivyo kuendelea kukaa kimya ligitimacy yake ya uongozi anapoteza 2mwamini nani sasa
Wanabodi.

Naanza na kanuni ya haki " innocent until proven guilty"

Declaration of interest, mimi ni mwandishi wa habari wa kujitegemea mwenye uwezo na uzoefu wa muda mrefu kwenye newsroom hivyo kuweza Kufanya habari yoyote ya kiuchunguzi, ila kwa vile najitegemea nimeamua kujikita katika habari za kimaendeleo, developmental news zenye impact kwa maendeleo ya taifa. Hivyo siwezi kufutilia habari yoyote ambayo haina maslahi chanya kwa taifa.

Tangu kuibuka kwa Tuhuma za Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam kughushi vyeti, savers za JF zimezidi kujazwa kwa ma thread na mathread kuhusu sakata hili.

Hata mimi niliwahi kumshinikiza Makonda ajitokeze kukanusha kwa hoja kuwa Uongo ulisemwa sana, bila kukanushwa mwishowe kugeuka kuwa ni ukweli.

Sasa nimegundua uongo siku zote utabaki kuwa ni uongo tuu hata ukisemwa vipi au mara ngapi, hauwezi hata siku moja kugeuka ni ukweli.

Na ukweli siku zote utabaki kuwa ni ukweli tuu hata usiposemwa. Ukituhumiwa kwa tuhuma zozote za uongo au kuzushiwa jambo baya lolote, as long as unajua ni uongo, huna haja ya kukanusha, wewe jinyamazie tuu kimya, ule msemo wa "tell the truth and the truth will set you free" ni msemo wa uongo, kanuni yangu ni "just keep silent about the truth, and the truth will remain the truth".

Uthibitisho kuwa tuhuma hizi ni uzushi, ni huu ukweli bayana uliopo mbele yetu hadi sasa kuwa Mhe. Paul Christian Makondo ni mteule wa rais wa JMT aliyefanyiwa vetting na vyombo husika na kuthibitisha pasipo shaka wasifu wake hivyo akateuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam na mpaka sasa hapa tunavyozungunza, Paul Christian Makonda, ndiye Mkuu wetu wa mkoa wa Dar es Salaam, na huu ndio ukweli bayana na ukweli halisi uliopo, mkubali, mkatae, ukweli unabaki kuwa ukweli, mengine yote ni uzushi tuu!.

Jee wewe Mtanzania mwenzangu, kati ya wazushi hawa wanaomzushia Makonda kuwa ana jina la bandia na vyeti vya kughushi, na rais wetu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, aliyemwamini Makonda hadi kumteua kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, na kuendelea kumwani mpaka hii leo, licha ya kuibuka kwa tuhuma hii, unamwamini nani kati ya wazushi na rais wako?.

Kwa maoni yangu Mkweli ni Rais wa JMT, Mhe. John Pombe Joseph Magufuli, kwa sababu tangu kuibuka kwa tuhuma hii, serikali kupitia vyombo vyake, ingeishafanya uchunguzi na kuchukua hatua stahiki, lakini kitendo cha Paul Makonda, hadi dakika hii, bado ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, kwangu ni uthibitisho tosha, tuhuma hizi ni za uongo, ni za kubuni, na kutunga ni uzushi tuu wa kupuuzwa, ndio maana Makonda mwenyewe amezipuuza, na Rais hajachukua hatua yoyote, bali katulia tuu na kuzipuuzia kelele hizi, huku wazushi wakiendelea kupiga kelele.

Wengi mliujua uwezo wa Makonda, alipoanza vita na wauza unga, sisi wengine, tuliujua uwezo wa Makonda toka akiwa DC na tulitoa ushauri ufuatao kwa Magufuli
Nimemkubali Sana DC Makonda, anafaa kuwa Mkuu wa Mkoa Dar es ...
Tena tumependekeza
Baada ya Magufuli, 2025 Makonda atatufaa sana, kwasababu ana ...

Watanzania tupunguze kushadadia uzushi, tujiunge na rais wetu kumtia moyo Mkuu wetu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda endelea kuchapa kazi, na sisi wengine wote katika umoja wetu, tuwapuuze kabisa watu hawa wasiolitakia mema taifa letu.

Nawatakia Jumatano Njema ya Majivu, leo ni siku ya kufunga kwa sisi Wakristo Wakatoliki, tunaanza mfungo wa siku 40 za Kwaresma.
Kwaresma Njema
Paskali
 
Paskalli uko wapi nikununulie japo Gahwa?🙂🙂🙂
 
Mwandishi wa hii kitu kuna watu walimsifia sana humu kipindi alipo uliza swali mbele ya JPM kumbe naye ni wale wale wabangaizaji wa tumbo bila kujali maslahi ya taifa.

Kuna kipindi yule RC/DC hata JPM aliwataka waandishi wapige picha cheti chake kisa kuwathibitishia kuwa hakuchagua klaza sasa iweje huyu Makonda akingiwe kifua bila kutoa vyeti vyake?
 
Huu uzi unaonekana una dalili za ukada na ukanda. Paskal Mayala anajulikana ni mwandishi mzuri ila anapogeuka kuweka akili zake na fani yake ya kiuandishi na kulamba viatu vya watu ujue kuna kitu. Huu wote upuuzi aliondika kwa kuremba anataka kutwambia una utetezi au kwamba ni ukanda anamtetea Msukuma mwenzake. Maana imekuwa jadi sasa ukimsema Msukuma wasukuma wote wanaamka. Tunakoelekea siko kuzuri
 
Sasa kwanini usimshauri Bashite kwamba maisha ni zaidi ya cheti, hadi anahangika kuiba cheti cha mtu!

Madam T umenichekesha kweli,mbona unang'ang'ana na Bashite?Binafsi,Bashite simfahamu,namfahamu Paul Makonda kijana shupavu kabisa aliyeweka historia nchini
 
Kumwelewa Pascal Mayalla inabidi ukae utulie na kumsoma kwa makini...

Usisahau huyu mtu naye katokea jirani na kijiji cha [HASHTAG]#Koromije[/HASHTAG]
Ha ha ha haaaaaa... Kweli kabisa maana jamaa yetu huyu sijui yukoje, khaaa.

[HASHTAG]#Vyetimubashara[/HASHTAG]
 
Huenda na elimu ya boss wake pia ni ya kuungaunga so unategemea nan amkemee mwenzie
 
Kukurupuka kwa kumtaja Gwajima mtumiaji wa madawa ya kulevya bila proof ya kisheria yenyewe unaibariki..? Pilipili usiyoila yakuwasha nini, ngoma mwachie mwenyenayo aicheze..!!
 
Mwandishi wa hii kitu kuna watu walimsifia sana humu kipindi alipo uliza swali mbele ya JPM kumbe naye ni wale wale wabangaizaji wa tumbo bila kujali maslahi ya taifa.

Kuna kipindi yule RC/DC hata JPM aliwataka waandishi wapige picha cheti chake kisa kuwathibitishia kuwa hakuchagua klaza sasa iweje huyu Makonda akingiwe kifua bila kutoa vyeti vyake?
Anakingiwa kifua na nani?
 
Ata sijui umeandika nn hapa????we tukutane kwenye "kilinge" jp kwa gwajima,acha mbwembwe!
 
Ni wazi bwana makonda akitumbuliwa,basi atakuwa kafikia kiama chake kisiasa,maana yake atakuwa,technically anarudia jina lake la daudi bashite,

Je ataomba ubunge kupitia jina gani?kwa vyeti gani?

Hii,kwa wataalamu wa siasa,ni fimbo kali sana ya kumchapia wakati wa kampeni 2020,ni suala la kutembea na allegation zote,vyeti vyote,na kuhakikisha habari hii haichuji masikioni mwa wananchi.
Kweli kabisa hii habari hatupaswi kuacha ichuje kabisa.
Kashfa hii lazima afe nayo.
 
Makonda kasumbua sana mpaka sahivi yule mmanga kashalala korokoroni siku 5 mfululizo bila kurudi nyumbani. Makonda kamsugulisha benchi kweli kweli huyu jamaa

Kutesa kwa zamu,sasa ni zamu yake kuonyesha watu vyeti vyake bila kificho.
 
Bandiko hili ni kifasihi sana .....linanikumbusha Oscar Makoye na katuni yake ''Bingwa wa Rivasi"
CC Pascal Mayalla
 
Wanabodi.

Naanza na kanuni ya haki " innocent until proven guilty"

Declaration of interest, mimi ni mwandishi wa habari wa kujitegemea mwenye uwezo na uzoefu wa muda mrefu kwenye newsroom hivyo kuweza Kufanya habari yoyote ya kiuchunguzi, ila kwa vile najitegemea nimeamua kujikita katika habari za kimaendeleo, developmental news zenye impact kwa maendeleo ya taifa. Hivyo siwezi kufutilia habari yoyote ambayo haina maslahi chanya kwa taifa.

Tangu kuibuka kwa Tuhuma za Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam kughushi vyeti, savers za JF zimezidi kujazwa kwa ma thread na mathread kuhusu sakata hili.

Hata mimi niliwahi kumshinikiza Makonda ajitokeze kukanusha kwa hoja kuwa Uongo ulisemwa sana, bila kukanushwa mwishowe kugeuka kuwa ni ukweli.

Sasa nimegundua uongo siku zote utabaki kuwa ni uongo tuu hata ukisemwa vipi au mara ngapi, hauwezi hata siku moja kugeuka ni ukweli.

Na ukweli siku zote utabaki kuwa ni ukweli tuu hata usiposemwa. Ukituhumiwa kwa tuhuma zozote za uongo au kuzushiwa jambo baya lolote, as long as unajua ni uongo, huna haja ya kukanusha, wewe jinyamazie tuu kimya, ule msemo wa "tell the truth and the truth will set you free" ni msemo wa uongo, kanuni yangu ni "just keep silent about the truth, and the truth will remain the truth".

Uthibitisho kuwa tuhuma hizi ni uzushi, ni huu ukweli bayana uliopo mbele yetu hadi sasa kuwa Mhe. Paul Christian Makondo ni mteule wa rais wa JMT aliyefanyiwa vetting na vyombo husika na kuthibitisha pasipo shaka wasifu wake hivyo akateuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam na mpaka sasa hapa tunavyozungunza, Paul Christian Makonda, ndiye Mkuu wetu wa mkoa wa Dar es Salaam, na huu ndio ukweli bayana na ukweli halisi uliopo, mkubali, mkatae, ukweli unabaki kuwa ukweli, mengine yote ni uzushi tuu!.

Jee wewe Mtanzania mwenzangu, kati ya wazushi hawa wanaomzushia Makonda kuwa ana jina la bandia na vyeti vya kughushi, na rais wetu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, aliyemwamini Makonda hadi kumteua kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, na kuendelea kumwani mpaka hii leo, licha ya kuibuka kwa tuhuma hii, unamwamini nani kati ya wazushi na rais wako?.

Kwa maoni yangu Mkweli ni Rais wa JMT, Mhe. John Pombe Joseph Magufuli, kwa sababu tangu kuibuka kwa tuhuma hii, serikali kupitia vyombo vyake, ingeishafanya uchunguzi na kuchukua hatua stahiki, lakini kitendo cha Paul Makonda, hadi dakika hii, bado ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, kwangu ni uthibitisho tosha, tuhuma hizi ni za uongo, ni za kubuni, na kutunga ni uzushi tuu wa kupuuzwa, ndio maana Makonda mwenyewe amezipuuza, na Rais hajachukua hatua yoyote, bali katulia tuu na kuzipuuzia kelele hizi, huku wazushi wakiendelea kupiga kelele.

Wengi mliujua uwezo wa Makonda, alipoanza vita na wauza unga, sisi wengine, tuliujua uwezo wa Makonda toka akiwa DC na tulitoa ushauri ufuatao kwa Magufuli
Nimemkubali Sana DC Makonda, anafaa kuwa Mkuu wa Mkoa Dar es ...
Tena tumependekeza
Baada ya Magufuli, 2025 Makonda atatufaa sana, kwasababu ana ...

Watanzania tupunguze kushadadia uzushi, tujiunge na rais wetu kumtia moyo Mkuu wetu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda endelea kuchapa kazi, na sisi wengine wote katika umoja wetu, tuwapuuze kabisa watu hawa wasiolitakia mema taifa letu.

Nawatakia Jumatano Njema ya Majivu, leo ni siku ya kufunga kwa sisi Wakristo Wakatoliki, tunaanza mfungo wa siku 40 za Kwaresma.
Kwaresma Njema
Paskali
Huwaga namuamini sana mkuu lkn naona ktk hili nawe huju, kwani mh raisi si binadamu tu? Kwani nani alikua boss wakati wa ununuzi wa MV dar? Si tumeishia kujenga gate tu pale kivukoni na gate lenyewe tusilitumie
 
Pamoja na tuhuma zote kuwa wazi,huyu mtu hajafanya uthubutu kujiuzuru,

Anasubiri mpaka aondolewe kwa fedheha
 
Back
Top Bottom