mama kubwa
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 6,566
- 10,623
Wanaochonga wote ni wajinga, waliohakikiwa wote ni wapumbavu, aliefungwa miaka 28 kwa kufoji cheti cha unesi atajijua, mjanja ni mmoja tu na hang'oki wala hang'olewi.
Hiyo ni principle ya sheria,katika siasa,only allegations are enoughTuhuma gani na ushahidi gani. Mbona mna double standards. Hivi hujui hata wewe unatuhumiwa unapewa viroba kuleta pumba humu. Ila hata mi sijaamini kwa kuwa i believe in "principle of natural justice" and also in civil law. No one is guilty until proven ...... so come on.
Ndio mkuuKwani akiondoka nafasi yake utapewa wewe
Hoja nyepesi sana hii.Hivi ulishawahi kuona academic certificate ya Division zero kutoka Necta?Kama hamna ya makonda ilikujaje?[emoji23][emoji23][emoji23]uongo mtupu
Hayo ni matokeo yake kwa hiyo kinaweza kikawa ndo cheti chake..Tokea lini div 0 walipewa vyeti na baraza la mitihani?/acheni ujinga.
Tumeshapata Data kutoka kwa mwanakijiji mwenzake Gwajima.Inaonyesha namna gani mlivyo na IQ ndogo
Mleta thread anahoji kwanini nyie mnayemtuhumu makonda msiende kijijiji kwao kupata taarifa kamili ili ijulikane ukweli,sasa paschal athibitishe nini kwani yeye ndio anamtuhumu makonda?
Yani nyie mngekuwa mahakamani kesi ingekuwa dismissed.
Paschal kaonyesha njia nendeni kolomije na huko ukweli mtaupata hii ya kupiga soga jf haitowasaidia
PaskaliWanabodi.
Naanza na kanuni ya haki duniani "presumption of innocence until proven guilty" Yaani mtuhumiwa yoyote anahesabiwa kuwa hana hatia hadi atakapotiwa hatiani.
Declaration of interest, mimi ni mwandishi wa habari wa kujitegemea mwenye uwezo na uzoefu wa muda mrefu kwenye newsroom hivyo kuweza Kufanya habari yoyote ya kiuchunguzi, ila kwa vile najitegemea nimeamua kujikita katika habari za kimaendeleo, developmental news zenye impact kwa maendeleo ya taifa. Hivyo siwezi kufutilia habari yoyote ambayo haina maslahi chanya kwa taifa.
Tangu kuibuka kwa Tuhuma za Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam kughushi vyeti, savers za JF zimezidi kujazwa kwa ma thread na mathread kuhusu sakata hili.
Hata mimi niliwahi kumshinikiza Makonda ajitokeze kukanusha kwa hoja kuwa Uongo ulisemwa sana, bila kukanushwa mwishowe kugeuka kuwa ni ukweli.
Sasa nimegundua uongo siku zote utabaki kuwa ni uongo tuu hata ukisemwa vipi au mara ngapi, hauwezi hata siku moja kugeuka ni ukweli.
Uthibitisho kuwa tuhuma hizi ni uzushi, ni huu ukweli bayana uliopo mbele yetu hadi sasa kuwa Mhe. Paul Christian Makondo ni mteule wa rais wa JMT aliyefanyiwa vetting na vyombo husika na kuthibitisha pasipo shaka wasifu wake hivyo akateuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam na mpaka sasa hapa tunavyozungunza, Paul Christian Makonda, ndiye Mkuu wetu wa mkoa wa Dar es Salaam, na huu ndio ukweli bayana na ukweli halisi uliopo, mkubali, mkatae, ukweli unabaki kuwa ukweli, mengine yote ni uzushi tuu!.
Jee wewe Mtanzania mwenzangu, kati ya wazushi hawa wanaomzushia Makonda kuwa ana jina la bandia na vyeti vya kughushi, na rais wetu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, aliyemwamini Makonda hadi kumteua kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, na kuendelea kumwani mpaka hii leo, licha ya kuibuka kwa tuhuma hii, unamwamini nani kati ya wazushi na rais wako?.
Kwa maoni yangu Mkweli ni Rais wa JMT, Mhe. John Pombe Joseph Magufuli, kwa sababu tangu kuibuka kwa tuhuma hii, serikali kupitia vyombo vyake, ingeishafanya uchunguzi na kuchukua hatua stahiki, lakini kitendo cha Paul Makonda, hadi dakika hii, bado ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, kwangu ni uthibitisho tosha, tuhuma hizi ni za uongo, ni za kubuni, na kutunga ni uzushi tuu wa kupuuzwa, ndio maana Makonda mwenyewe amezipuuza, na Rais hajachukua hatua yoyote, bali katulia tuu na kuzipuuzia kelele hizi, huku wazushi wakiendelea kupiga kelele.
Paskali
Huyu alikuwa haingii class aseeCheti chake si ndo hiki ama..??
View attachment 475661