Kumbe ni Uongo, Uzushi, Fitna, Majungu, Wivu na Kijicho dhidi ya mafanikio yake! Makonda wapuuze

This time I support you kaka Mayalla.Mimi mwanzo mwisho niko upande wa Makonda.Nilifuatilia vizuri hotuba zake.Alisema tutasikia mengi kutokana na kile alichokuwa anakifanya.Makonda chukua ushauri huu wa Paskali.Ushauri safi kabisa.
Isije ikawa na wewe unatumia cheti cha mtu!
 
Tangu majuzi nakuona bro unamtetea sana bahashashite, mwanzo ulisema ww ni mwandishi wa kujitegemea hivyo huzami kwenye uchunguzi badala yake unajikita kwenye maswala ya maendeleo

Sasa pascal hayo ndio maendeleo uliyoyanadi? Aina hii ya wahandishi ndio mnaobaki kuwa wa kujitegemea njaa njaa tuu sasa ww inayemtetea una ushahidi gani wa kukufanya uandike pumbaa nyiiingii hivi
 
Mayala unajipigia debe wapi? Kweli maana ya Mayala ni njaa. Mbona wewe hujaweka uthibitisho wa vyeti vyake halisi?
 
Tatizo watanzania tunazungumzia vitu kiushabik kupitia vyama kama club za mpira gwajima amezungumza akidai kuwa anaushaid na yuko teyar kufika sehemu husika sis wananch atumtuhumu mtu kw kashfa yoyote kwkuwa atuna evidence kulingana na utafiti wko tunaombna vielelezo tubaini ni kwel au si kwel?
 
Naposoma post za waliojibu hii thread wengi wao wanasikitisha sana. naelewa kuna umuhimu mkubwa sana wa watu kupewa elimu. wengi wanaonesha kuwa na uelewa mdogo they dont know to read between the lines. na ndo maana mtu mwenye akili ukiangalia alivyojibu huu uzi unajisikia kinyaa kabisa kuona hawa watu wa namna hii walisajiliwa vipi JF ? mbona lugha aliyoitumia mwandishi ni nyepesi na inaonekana dhahiri kabisa? lakini bado watu wanashindwa kuelewa. nalilia sana suala la elimu.
 
Wanabodi.

Naanza na kanuni ya haki " innocent until proven guilty"

Declaration of interest, mimi ni mwandishi wa habari wa kujitegemea mwenye uwezo na uzoefu wa muda mrefu kwenye newsroom hivyo kuweza Kufanya habari yoyote ya kiuchunguzi, ila kwa vile najitegemea nimeamua kujikita katika habari za kimaendeleo, developmental news zenye impact kwa maendeleo ya taifa. Hivyo siwezi kufutilia habari yoyote ambayo haina maslahi chanya kwa taifa.

Tangu kuibuka kwa Tuhuma za Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam kughushi vyeti, savers za JF zimezidi kujazwa kwa ma thread na mathread kuhusu sakata hili.

Hata mimi niliwahi kumshinikiza Makonda ajitokeze kukanusha kwa hoja kuwa Uongo ulisemwa sana, bila kukanushwa mwishowe kugeuka kuwa ni ukweli.

Sasa nimegundua uongo siku zote utabaki kuwa ni uongo tuu hata ukisemwa vipi au mara ngapi, hauwezi hata siku moja kugeuka ni ukweli.

Na ukweli siku zote utabaki kuwa ni ukweli tuu hata usiposemwa. Ukituhumiwa kwa tuhuma zozote za uongo au kuzushiwa jambo baya lolote, as long as unajua ni uongo, huna haja ya kukanusha, wewe jinyamazie tuu kimya, ule msemo wa "tell the truth and the truth will set you free" ni msemo wa uongo, kanuni yangu ni "just keep silent about the truth, and the truth will remain the truth".

Uthibitisho kuwa tuhuma hizi ni uzushi, ni huu ukweli bayana uliopo mbele yetu hadi sasa kuwa Mhe. Paul Christian Makondo ni mteule wa rais wa JMT aliyefanyiwa vetting na vyombo husika na kuthibitisha pasipo shaka wasifu wake hivyo akateuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam na mpaka sasa hapa tunavyozungunza, Paul Christian Makonda, ndiye Mkuu wetu wa mkoa wa Dar es Salaam, na huu ndio ukweli bayana na ukweli halisi uliopo, mkubali, mkatae, ukweli unabaki kuwa ukweli, mengine yote ni uzushi tuu!.

Jee wewe Mtanzania mwenzangu, kati ya wazushi hawa wanaomzushia Makonda kuwa ana jina la bandia na vyeti vya kughushi, na rais wetu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, aliyemwamini Makonda hadi kumteua kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, na kuendelea kumwani mpaka hii leo, licha ya kuibuka kwa tuhuma hii, unamwamini nani kati ya wazushi na rais wako?.

Kwa maoni yangu Mkweli ni Rais wa JMT, Mhe. John Pombe Joseph Magufuli, kwa sababu tangu kuibuka kwa tuhuma hii, serikali kupitia vyombo vyake, ingeishafanya uchunguzi na kuchukua hatua stahiki, lakini kitendo cha Paul Makonda, hadi dakika hii, bado ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, kwangu ni uthibitisho tosha, tuhuma hizi ni za uongo, ni za kubuni, na kutunga ni uzushi tuu wa kupuuzwa, ndio maana Makonda mwenyewe amezipuuza, na Rais hajachukua hatua yoyote, bali katulia tuu na kuzipuuzia kelele hizi, huku wazushi wakiendelea kupiga kelele.

Wengi mliujua uwezo wa Makonda, alipoanza vita na wauza unga, sisi wengine, tuliujua uwezo wa Makonda toka akiwa DC na tulitoa ushauri ufuatao kwa Magufuli
Nimemkubali Sana DC Makonda, anafaa kuwa Mkuu wa Mkoa Dar es ...
Tena tumependekeza
Baada ya Magufuli, 2025 Makonda atatufaa sana, kwasababu ana ...

Watanzania tupunguze kushadadia uzushi, tujiunge na rais wetu kumtia moyo Mkuu wetu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda endelea kuchapa kazi, na sisi wengine wote katika umoja wetu, tuwapuuze kabisa watu hawa wasiolitakia mema taifa letu.

Nawatakia Jumatano Njema ya Majivu, leo ni siku ya kufunga kwa sisi Wakristo Wakatoliki, tunaanza mfungo wa siku 40 za Kwaresma.
Kwaresma Njema
Paskali
Mmm, nakusoma mwandishi mbobezi wa kuchokonoa mambo kwa maujanjanya mbaliiiii
 
Duh kaka wewe ni shida ni mwandishi mzoefu wa kutojitambua. Madhalani mwandishi aliyefanya kz TBC kwa miaka 30 itakuwa na uzoefu wa aina gani? Kwa wenzetu uzoefu/experience means excellent lkn Africa hususani TZ watu wana experience ya kuharibu, ukuiba, usaliti, kufoji, usaliti, unafiki zaidi ya miaka 50.
 
Pamoja na uzoefu wako hauko kwenye listing

Isije ikawa na wewe unatumia cheti cha mtu!
Haa haaaa.Mimi nilipoanza darasa la kwanza mungu alinisaidia sikukwama njiani hadi UNI.Kukwama njiani siyo mwisho wa maisha.Kuna jamaa zangu marks za kwenda secondary hazikutosha wakajitumbukiza kwenye biashara sasa ni milionaires mm niko nahangaika na Masters.Masters without $$
 
Sijui kwa wengine lakini kwangu mimi ile kuwa mwanaume tu,inanifanya nitumie akili nyingi sana!

Unajua kuna vitu unaweza kuvifanya vikakuvua utu wako kabisa!
 
Wanabodi.

Naanza na kanuni ya haki " innocent until proven guilty"

Declaration of interest, mimi ni mwandishi wa habari wa kujitegemea mwenye uwezo na uzoefu wa muda mrefu kwenye newsroom hivyo kuweza Kufanya habari yoyote ya kiuchunguzi, ila kwa vile najitegemea nimeamua kujikita katika habari za kimaendeleo, developmental news zenye impact kwa maendeleo ya taifa. Hivyo siwezi kufutilia habari yoyote ambayo haina maslahi chanya kwa taifa.

Tangu kuibuka kwa Tuhuma za Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam kughushi vyeti, savers za JF zimezidi kujazwa kwa ma thread na mathread kuhusu sakata hili.

Hata mimi niliwahi kumshinikiza Makonda ajitokeze kukanusha kwa hoja kuwa Uongo ulisemwa sana, bila kukanushwa mwishowe kugeuka kuwa ni ukweli.

Sasa nimegundua uongo siku zote utabaki kuwa ni uongo tuu hata ukisemwa vipi au mara ngapi, hauwezi hata siku moja kugeuka ni ukweli.

Na ukweli siku zote utabaki kuwa ni ukweli tuu hata usiposemwa. Ukituhumiwa kwa tuhuma zozote za uongo au kuzushiwa jambo baya lolote, as long as unajua ni uongo, huna haja ya kukanusha, wewe jinyamazie tuu kimya, ule msemo wa "tell the truth and the truth will set you free" ni msemo wa uongo, kanuni yangu ni "just keep silent about the truth, and the truth will remain the truth".

Uthibitisho kuwa tuhuma hizi ni uzushi, ni huu ukweli bayana uliopo mbele yetu hadi sasa kuwa Mhe. Paul Christian Makondo ni mteule wa rais wa JMT aliyefanyiwa vetting na vyombo husika na kuthibitisha pasipo shaka wasifu wake hivyo akateuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam na mpaka sasa hapa tunavyozungunza, Paul Christian Makonda, ndiye Mkuu wetu wa mkoa wa Dar es Salaam, na huu ndio ukweli bayana na ukweli halisi uliopo, mkubali, mkatae, ukweli unabaki kuwa ukweli, mengine yote ni uzushi tuu!.

Jee wewe Mtanzania mwenzangu, kati ya wazushi hawa wanaomzushia Makonda kuwa ana jina la bandia na vyeti vya kughushi, na rais wetu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, aliyemwamini Makonda hadi kumteua kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, na kuendelea kumwani mpaka hii leo, licha ya kuibuka kwa tuhuma hii, unamwamini nani kati ya wazushi na rais wako?.

Kwa maoni yangu Mkweli ni Rais wa JMT, Mhe. John Pombe Joseph Magufuli, kwa sababu tangu kuibuka kwa tuhuma hii, serikali kupitia vyombo vyake, ingeishafanya uchunguzi na kuchukua hatua stahiki, lakini kitendo cha Paul Makonda, hadi dakika hii, bado ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, kwangu ni uthibitisho tosha, tuhuma hizi ni za uongo, ni za kubuni, na kutunga ni uzushi tuu wa kupuuzwa, ndio maana Makonda mwenyewe amezipuuza, na Rais hajachukua hatua yoyote, bali katulia tuu na kuzipuuzia kelele hizi, huku wazushi wakiendelea kupiga kelele.

Wengi mliujua uwezo wa Makonda, alipoanza vita na wauza unga, sisi wengine, tuliujua uwezo wa Makonda toka akiwa DC na tulitoa ushauri ufuatao kwa Magufuli
Nimemkubali Sana DC Makonda, anafaa kuwa Mkuu wa Mkoa Dar es ...
Tena tumependekeza
Baada ya Magufuli, 2025 Makonda atatufaa sana, kwasababu ana ...

Watanzania tupunguze kushadadia uzushi, tujiunge na rais wetu kumtia moyo Mkuu wetu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda endelea kuchapa kazi, na sisi wengine wote katika umoja wetu, tuwapuuze kabisa watu hawa wasiolitakia mema taifa letu.

Nawatakia Jumatano Njema ya Majivu, leo ni siku ya kufunga kwa sisi Wakristo Wakatoliki, tunaanza mfungo wa siku 40 za Kwaresma.
Kwaresma Njema
Paskali
Pascal Mayala:

Nakukumbusha kuwa issue hii ya vyeti sio mara ya Kwanza kwa wateule wa Rais. Nakumbuka katika awamu hii ya Magufuli kuna mkurugenzi aliteuliwa ikazushwa kuhusu elimu yake na kuwa ana certificate kama nakumbuka vizuri walizusha kuwa alishakuwa meneja hotel city style Dar.

Uongo simply ulikufa kwa kuoneshwa vyeti mbele ya waandishi wa habari na Rais akamwelezea mhusika kuwa ana shahada ya pili na katika nyazifa alizowahishika ni kuwa mkaguzi mkuu wa Wilaya.

Sasa wewe Pascal Mayala unakuja na maelezo mengi ya kumfanya mtuhumiwa apate ahuweni ya muda mfupi haisadii.

Sioni haja uchunguzi kupoteza pesa ya kwenda kijijini Koromije cjui Pamba sec na wapi na wapi. Nenda Masaki kwa RC ukascan vyeti vya RC vyenye jina la Paul Christian Makonda kuanzia primary, uje Secondary, chuo cha Nyegezi hadi Chuo cha Ushirika Moshi. Ukifanya hivyo kila mtu hapa ataufyata. Yeye RC ndo katuhumiwa na ndo mwenye kuthibitisha.

Hizi story unazoleta hapa ni kutufanya sie wajinga. Kwenye cv inayotembea mitandaoni ina vipengere 20. Kila moja inatakiwa kujibiwa na mhusika au wale wanaomtetea. Mfano no 20: Umeambiwa tangu 2009 hadi leo hakuna kitu. Hizi kashifa ni za kujibiwa seriously. Huyu ni kiongozi wa umma. Ni national figure. Leteni uthibisho.

Nimekudharau sana leo Pascal Mayala. Au ndo unavizia nafasi ya Grayson Msigwa?
 
Ukweli ni kwamba Pascal Mayalla mimi nilishamdis siku nyingi sana. Hata nikimwona anatangaza yale matangazo yake TBC kwenye maonyesho ya saba saba au nane nane, au kipindi chochote huwa nabadili channel. Ni kama najinajisi vile, heri niangalie porn kuliko kumsikiliza na kumwangalia huyu jamaa
 
Haa haaaa.Mimi nilipoanza darasa la kwanza mungu alinisaidia sikukwama njiani hadi UNI.Kukwama njiani siyo mwisho wa maisha.Kuna jamaa zangu marks za kwenda secondary hazikutosha wakajitumbukiza kwenye biashara sasa ni milionaires mm niko nahangaika na Masters.Masters without $$
Sasa kwanini usimshauri Bashite kwamba maisha ni zaidi ya cheti, hadi anahangika kuiba cheti cha mtu!
 
ZIPO TETESI KUWA CV INAYO SAMBAZWA MITATANDAONI YA MHESHIMIWA RC, NI YAKUPOTOSHA KABISA. LENGO NI KUMVUNJA NGUVU MPAMBANAJI WETU: HIVI MTAJISIKIAJE TETESI HIZI ZIKITHIBITIKA KUWA BASHITE NI PACHA WA RC?
[emoji3] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Wanabodi.

Naanza na kanuni ya haki " innocent until proven guilty"

Declaration of interest, mimi ni mwandishi wa habari wa kujitegemea mwenye uwezo na uzoefu wa muda mrefu kwenye newsroom hivyo kuweza Kufanya habari yoyote ya kiuchunguzi, ila kwa vile najitegemea nimeamua kujikita katika habari za kimaendeleo, developmental news zenye impact kwa maendeleo ya taifa. Hivyo siwezi kufutilia habari yoyote ambayo haina maslahi chanya kwa taifa.

Tangu kuibuka kwa Tuhuma za Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam kughushi vyeti, savers za JF zimezidi kujazwa kwa ma thread na mathread kuhusu sakata hili.

Hata mimi niliwahi kumshinikiza Makonda ajitokeze kukanusha kwa hoja kuwa Uongo ulisemwa sana, bila kukanushwa mwishowe kugeuka kuwa ni ukweli.

Sasa nimegundua uongo siku zote utabaki kuwa ni uongo tuu hata ukisemwa vipi au mara ngapi, hauwezi hata siku moja kugeuka ni ukweli.

Na ukweli siku zote utabaki kuwa ni ukweli tuu hata usiposemwa. Ukituhumiwa kwa tuhuma zozote za uongo au kuzushiwa jambo baya lolote, as long as unajua ni uongo, huna haja ya kukanusha, wewe jinyamazie tuu kimya, ule msemo wa "tell the truth and the truth will set you free" ni msemo wa uongo, kanuni yangu ni "just keep silent about the truth, and the truth will remain the truth".

Uthibitisho kuwa tuhuma hizi ni uzushi, ni huu ukweli bayana uliopo mbele yetu hadi sasa kuwa Mhe. Paul Christian Makondo ni mteule wa rais wa JMT aliyefanyiwa vetting na vyombo husika na kuthibitisha pasipo shaka wasifu wake hivyo akateuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam na mpaka sasa hapa tunavyozungunza, Paul Christian Makonda, ndiye Mkuu wetu wa mkoa wa Dar es Salaam, na huu ndio ukweli bayana na ukweli halisi uliopo, mkubali, mkatae, ukweli unabaki kuwa ukweli, mengine yote ni uzushi tuu!.

Jee wewe Mtanzania mwenzangu, kati ya wazushi hawa wanaomzushia Makonda kuwa ana jina la bandia na vyeti vya kughushi, na rais wetu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, aliyemwamini Makonda hadi kumteua kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, na kuendelea kumwani mpaka hii leo, licha ya kuibuka kwa tuhuma hii, unamwamini nani kati ya wazushi na rais wako?.

Kwa maoni yangu Mkweli ni Rais wa JMT, Mhe. John Pombe Joseph Magufuli, kwa sababu tangu kuibuka kwa tuhuma hii, serikali kupitia vyombo vyake, ingeishafanya uchunguzi na kuchukua hatua stahiki, lakini kitendo cha Paul Makonda, hadi dakika hii, bado ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, kwangu ni uthibitisho tosha, tuhuma hizi ni za uongo, ni za kubuni, na kutunga ni uzushi tuu wa kupuuzwa, ndio maana Makonda mwenyewe amezipuuza, na Rais hajachukua hatua yoyote, bali katulia tuu na kuzipuuzia kelele hizi, huku wazushi wakiendelea kupiga kelele.

Wengi mliujua uwezo wa Makonda, alipoanza vita na wauza unga, sisi wengine, tuliujua uwezo wa Makonda toka akiwa DC na tulitoa ushauri ufuatao kwa Magufuli
Nimemkubali Sana DC Makonda, anafaa kuwa Mkuu wa Mkoa Dar es ...
Tena tumependekeza
Baada ya Magufuli, 2025 Makonda atatufaa sana, kwasababu ana ...

Watanzania tupunguze kushadadia uzushi, tujiunge na rais wetu kumtia moyo Mkuu wetu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda endelea kuchapa kazi, na sisi wengine wote katika umoja wetu, tuwapuuze kabisa watu hawa wasiolitakia mema taifa letu.

Nawatakia Jumatano Njema ya Majivu, leo ni siku ya kufunga kwa sisi Wakristo Wakatoliki, tunaanza mfungo wa siku 40 za Kwaresma.
Kwaresma Njema
Paskali

Binafsi sijawahi kufikiria kuhusu Elimu ya huyu kiongozi wetu mteule wa Raisi
Ila kiukweli mbinu ya kuwataja watu wenye Nyasifa na nafasi zao kubwa kwenye jamii kama watuhumiwa bila ushahidi rasmi......ilinifanya niwe na wasi wasi kuhusu Elimu au Uelewa wake.
Chukulia mfano leo mtu ataje kuwa kampuni ya Nokia inatengeneza simu feki; sina hakika kama unajua gharama ya kulijesha hilo jina sokoni?
Kwa mtazamo wangu..hiyo vita ingeenda kimya kimya ingefanikiwa kwa zaidi ya asilimia 90% kuliko kumtangazia mwizi kuwa sasa unaenda kumkamata!!!
Huo ni mtazamo wangu tu!
 
kwani gwajima ameoteshwa kaka! mfate gwajima halafu njoo na mrejesho
kwani huyu gwajima ana vyeti vya Makonda? huku ni kudanganya watu mchana kweupe, Gwajima anatumia mgongo wa rais kumshambulia Makonda na huu ni unafiki, mbona alisema angerudi central kwenda kumuona Manji alienda? Angeenda aone kuwa Magufuli c mnafiki hata kidogo lile agizo alilotoa kwa kamanda Siro alimaanishaa. Angemtia ndani na wanamapambio wake.
 
Nilifikiri umeleta vyeti orijino vya makonda, kumbe umekuja kuongea pumba kisha ukasepa na wa ji nga wenzako wame like u jinga wako
 
Sasa uko newsroom wenzako wanaishi naye kijiji kimoja wewe una njaa nenda akupe kazi ya kufanya usaf ofsn kwa Bashite
 
Back
Top Bottom