Oya adriz acha mambo yakise jamviniMzuka wana jamvi ?
Watu wengi kutokana na Kenge jinsi alivyo ukiwaambia kuwa ni mtamu na kitoweo kizuri wanabisha , ila kiuhalisia Kenge Nyama yake ni tamu sana kwa Supu , Nyama choma nk .
Ukijaribu kula siku Moja utatamani kila.siku ule.View attachment 3583001
View attachment 3583002
Hiyo nimekula bwashee...nzuri sana, white meat ! Ina minofu kama samaki, sema kidogo inakaa jikoni .. ....Morogoro nililetewa nyama ya mamba , nilivyoona ilivyo nyeupe tu changanya na mamba wanavyotafuna watu , nilitupia mbwa
Kalibwagila na limakumaku🤗🤗🤗Bora nipe kalibwagila tuuu.
Hahhaaha nyeupe mno, bwasheeHiyo nimekula bwashee...nzuri sana, white meat ! Ina minofu kama samaki, sema kidogo inakaa jikoni .. ....
Hapa watakao ku support ni kenge wenzakoMzuka wana jamvi ?
Watu wengi kutokana na Kenge jinsi alivyo ukiwaambia kuwa ni mtamu na kitoweo kizuri wanabisha , ila kiuhalisia Kenge Nyama yake ni tamu sana kwa Supu , Nyama choma nk .
Ukijaribu kula siku Moja utatamani kila.siku ule.View attachment 3583001
View attachment 3583002
Weee wa kule kule aisee.Kalibwagila na limakumaku🤗🤗🤗
Nzuri bwasheee .... hahahaHahhaaha nyeupe mno, bwashee
Tatizo yanakula binadamu , moro naona watu wanakula mamba kawaida tuNzuri bwasheee .... hahaha
Binadamu mara chAche sana mkuu.... hizo case sio nyingi !!!!Tatizo yanakula binadamu , moro naona watu wanakula mamba kawaida tu
Kudadek unakula kenge?Ukijaribu kula siku Moja utatamani kila.siku ule.
Hio ndio inaitwa kula yenyewe mgogoro shabarabaghala si ndio? Mahindi mchemsho na supu ya nyani na kichwa chake kwenye sahani au sio? Unapiga na selfie kabisa
Kwani Kuna ubaya gani ?Kudadek unakula kenge?