Kumbe Nyama ya Kenge ni kitoweo kitamu sana!

Kumbe Nyama ya Kenge ni kitoweo kitamu sana!

Mzuka wana jamvi ?

Watu wengi kutokana na Kenge jinsi alivyo ukiwaambia kuwa ni mtamu na kitoweo kizuri wanabisha , ila kiuhalisia Kenge Nyama yake ni tamu sana kwa Supu , Nyama choma nk .

Ukijaribu kula siku Moja utatamani kila.siku ule.View attachment 3583001

View attachment 3583002
Mmmmh kuna kenge moja jiliona imekufa bro, wakati narudi home sasa ile narudi kwenda duka moja hivi sikuiona tena halafu size yake ilikuwa ni hiyo au wewe ndo umepita nayo nini?
 
Hiyo niliila kipindi flani nipo depo kwenye mapori ya malela ruvuma huko,nakili kuwa ni tamu sana ila lazima iwe na pilipili nyingi hivi,naungana na secretarybird Kwamba Mwachiluwi na Leejay49 watuongezee mautundu kwenye haya masapta sapta ya kikush!!!
Nimeona kwenye picha linatisha na kuvutia. Inaoneka likipata mpishi, hata ukiambiwa ni kenge utakula tu.
 
Back
Top Bottom