Xiao qui shui
JF-Expert Member
- Feb 26, 2022
- 6,461
- 11,345
π€£π€£π€£Hata hivyo bei ya nyama ya ng'ombe imepanda mno. Lazima mhamie kula kenge.
Baada ya kenge kupungua mtahamia kula kunguru.
Inapendeza sana
Tena sana tu ππππππΏInapendeza sana
Sana tuTena sana tu ππππππΏ
Ni kama nyama ya chatu, pia ni safi sana. Kwa mswahili mpaka uaambiwe, vinginevyo utajichana mno.Mzuka wana jamvi ?
Watu wengi kutokana na Kenge jinsi alivyo ukiwaambia kuwa ni mtamu na kitoweo kizuri wanabisha , ila kiuhalisia Kenge Nyama yake ni tamu sana kwa Supu , Nyama choma nk .
Ukijaribu kula siku Moja utatamani kila.siku ule.View attachment 3583001
View attachment 3583002