and 100 others
JF-Expert Member
- Feb 3, 2023
- 3,707
- 12,367
Ni kweli lakini ni kweli wazungu pia wanatengeneza magonjwa kufanikisha dhamira zao, mfano Congo DRC kila siku ni magonjwa ya ajabu ajabu, hata kama wanakula nyama pori, China wanakula vya ajabu kuliko Congolese mbona hawaugui hovyo...si kila magonjwa yanatengenzwa, asilimia kubwa ni natural occurance. Magonjwa yamekuwepo since enzi za manabii na yatazidi kuwepo
Kabisa mkuu, ukiwa freedom fighter wanakuita gaidi...Asichokijua ni kwamba hii Dunia inaaendeshwa kimafia sana, serikali za nchi kubwa kubwa ndio zinaendesha magenge ya madawa ya kulevya, usafirishaji binadamu na mambo mengi ya hovyo.
Utakuwa na akili ndogo sana kama hufahamu wanasayansi wana uwezo kutengeneza virus tena from scratch..hz stori mmelishana sana , na kila anaeamin hz stori bas akil zake ni kutilia mashaka
Leta ushaidi hapa sio kubwabwaja bwabwaja tu kama mgonjwa wa akiliNi kweli lakini ni kweli wazungu pia wanatengeneza magonjwa kufanikisha dhamira zao, mfano Congo DRC kila siku ni magonjwa ya ajabu ajabu, hata kama wanakula nyama pori, China wanakula vya ajabu kuliko Congolese mbona hawaugui hovyo...
Wazungu na wao washenzi tu....
Habari ya Syria kuuza captagon ni ya siku nyingi. Syria ndio exporter mkubwa wa hayo madawa huko Middle East. Same applied to Afghanistan na heroiniPropaganda... If you want to kill a dog just give it a bad name... Hapo wanataka kufanya aonekane mbaya basi na kuharibu legacy yake ili watawala wa Sasa hivi wapate kibali machoni pa raia.
We kalia unasikiliza Western propoganda mnakumbuka waliwahi.kusema Eid Amini anakula nyama za binadamu 😄 🤣 Sa kwa tarifa yako hizo propoganda za kumchafua Assad video zimerecordiwa kutoka Gutamala na sijui wapi, wanadai jela ya Assad zote hizo ni propoganda. Hizi ni plan zimefanywa na US, Turkey, Qatar na Israel. We umeona Al jazeera katoa sehemu za Calture au wakuu wa dini au wale wasomi alio wauwa Israel baada ya kuingia Syria. Kwanini Al Jazeera hajaongelea silaha za Syria zilizo pigwa na Israel. Viwanda n.k wamekaa kufocus kwenye mambo ya jela wakati Israel na US wanaiba mabilioni ya pesa walio yakuta kwenye bank ya Syria Al Jazeera hatahusikii anatoa habari hizo.Kilichonishangaza zaidi ni kiwango cha kipato alichokuwa anapata kupitia biashara hiyo ambayo ilikuwa inasimamiwa na kaka yake.
Yaani, alikuwa anapata dola bilioni kumi kwa mwaka, wakati pato la taifa lilikuwa chini ya dola bilioni tisa!!!
Kama ni kweli, hizi dhambi zinakuwaje?
Yaani, familia inaingiza hela kuliko nchi tena kwa namna hiyo?
Tumtafuteni Mungu aisee!!
Tuitazame hii video.
View: https://youtu.be/u9FDVayJSB8?si=s6lcjzzKieHpvWoG
Hata Afghanistan wanauza , ni biashara za waarabu wengiKilichonishangaza zaidi ni kiwango cha kipato alichokuwa anapata kupitia biashara hiyo ambayo ilikuwa inasimamiwa na kaka yake.
Yaani, alikuwa anapata dola bilioni kumi kwa mwaka, wakati pato la taifa lilikuwa chini ya dola bilioni tisa!!!
Kama ni kweli, hizi dhambi zinakuwaje?
Yaani, familia inaingiza hela kuliko nchi tena kwa namna hiyo?
Tumtafuteni Mungu aisee!!
Tuitazame hii video.
View: https://youtu.be/u9FDVayJSB8?si=s6lcjzzKieHpvWoG
Sawa Syria unauza au ni Assad anauza?Habari ya Syria kuuza captagon ni ya siku nyingi. Syria ndio exporter mkubwa wa hayo madawa huko Middle East. Same applied to Afghanistan na heroini
Abdul vipiKilichonishangaza zaidi ni kiwango cha kipato alichokuwa anapata kupitia biashara hiyo ambayo ilikuwa inasimamiwa na kaka yake.
Yaani, alikuwa anapata dola bilioni kumi kwa mwaka, wakati pato la taifa lilikuwa chini ya dola bilioni tisa!!!
Kama ni kweli, hizi dhambi zinakuwaje?
Yaani, familia inaingiza hela kuliko nchi tena kwa namna hiyo?
Tumtafuteni Mungu aisee!!
Tuitazame hii video.
View: https://youtu.be/u9FDVayJSB8?si=s6lcjzzKieHpvWoG
Rais auze madawa harafu asiwe na siraha wahuni tu huko Haiti wanauza dawa mtaani wanaitaka Nchi kwa siraha nzito wanazopewa huyo alikua anakula bata tu na mke wake kutoka UK..
Kilichonishangaza zaidi ni kiwango cha kipato alichokuwa anapata kupitia biashara hiyo ambayo ilikuwa inasimamiwa na kaka yake.
Yaani, alikuwa anapata dola bilioni kumi kwa mwaka, wakati pato la taifa lilikuwa chini ya dola bilioni tisa!!!
Kama ni kweli, hizi dhambi zinakuwaje?
Yaani, familia inaingiza hela kuliko nchi tena kwa namna hiyo?
Tumtafuteni Mungu aisee!!
Tuitazame hii video.
View: https://youtu.be/u9FDVayJSB8?si=s6lcjzzKieHpvWoG
Oh! Kumbe. Ukitaka kujua tabia hasi za mwanao, fuatilia tabia rafiki yake.Kwani wewe hujui kuwa CIA ni kinara wa kuuza madawa ya kulevya?. Unaijua IRAN CONTRA AFFAIRS SCANDAL?
Kwani hujui kuwa OPIUM WAR kati ya Uingereza na China ni sababu ya Uingereza kuuza madawa ya kulevya ndani ya China?
Je Unafahamu kuwa Taliban ile ya akina Mullah Omar Mullah ilifanikiwa kudhibiti kilimo cha zao madawa ya kulevya, Ila marekani iliposhikilia hiyo nchi hicho kilimo kikarejea tena kwa kasi kubwa?
============================================================
Mambo ya nchi ni magumu!