Kumbe Rais Bashar al Assad alikuwa anauza madawa ya kulevya! Yalikutwa kwenye kasri lake Damascus

Kumbe Rais Bashar al Assad alikuwa anauza madawa ya kulevya! Yalikutwa kwenye kasri lake Damascus

si kila magonjwa yanatengenzwa, asilimia kubwa ni natural occurance. Magonjwa yamekuwepo since enzi za manabii na yatazidi kuwepo
Ni kweli lakini ni kweli wazungu pia wanatengeneza magonjwa kufanikisha dhamira zao, mfano Congo DRC kila siku ni magonjwa ya ajabu ajabu, hata kama wanakula nyama pori, China wanakula vya ajabu kuliko Congolese mbona hawaugui hovyo...

Wazungu na wao washenzi tu....
 
Asichokijua ni kwamba hii Dunia inaaendeshwa kimafia sana, serikali za nchi kubwa kubwa ndio zinaendesha magenge ya madawa ya kulevya, usafirishaji binadamu na mambo mengi ya hovyo.
Kabisa mkuu, ukiwa freedom fighter wanakuita gaidi...

DRC kila uchao ni gonjwa baada ya gonjwa , wanatoka ebola wanawekewa Mpox, watu wanakufa kama kuku... Hio yote madini ya kutengeneza battery zinazotumika kwenye simu na magari ya umeme ambapo ndipo dunia inaelekea vinapatikana DRC...

Kwa sababu wizara ya afya ni dhaifu, wataalamu ni wachache na umasikini wanapandikiza magonjwa ili kutimiza dhamira zao....
Hio Mpox iliopo DRC wanasema kisa Congolese wanakula tumbili, Chinese wanakula nyoka na viumbe vya ajabu hatusikii magonjwa huko....

China ina wataalamu wengi wa afya, watafiti wengi na wanasayansi ni wengi, ukipandikiza magonjwa kama hayo kwao watafahamu tu... Ila Africa tunaonekana kama wanyama tu...
 
Ni kweli lakini ni kweli wazungu pia wanatengeneza magonjwa kufanikisha dhamira zao, mfano Congo DRC kila siku ni magonjwa ya ajabu ajabu, hata kama wanakula nyama pori, China wanakula vya ajabu kuliko Congolese mbona hawaugui hovyo...

Wazungu na wao washenzi tu....
Leta ushaidi hapa sio kubwabwaja bwabwaja tu kama mgonjwa wa akili
 
Propaganda... If you want to kill a dog just give it a bad name... Hapo wanataka kufanya aonekane mbaya basi na kuharibu legacy yake ili watawala wa Sasa hivi wapate kibali machoni pa raia.
Habari ya Syria kuuza captagon ni ya siku nyingi. Syria ndio exporter mkubwa wa hayo madawa huko Middle East. Same applied to Afghanistan na heroini
 
Kilichonishangaza zaidi ni kiwango cha kipato alichokuwa anapata kupitia biashara hiyo ambayo ilikuwa inasimamiwa na kaka yake.

Yaani, alikuwa anapata dola bilioni kumi kwa mwaka, wakati pato la taifa lilikuwa chini ya dola bilioni tisa!!!

Kama ni kweli, hizi dhambi zinakuwaje?

Yaani, familia inaingiza hela kuliko nchi tena kwa namna hiyo?

Tumtafuteni Mungu aisee!!

Tuitazame hii video.

View: https://youtu.be/u9FDVayJSB8?si=s6lcjzzKieHpvWoG
We kalia unasikiliza Western propoganda mnakumbuka waliwahi.kusema Eid Amini anakula nyama za binadamu 😄 🤣 Sa kwa tarifa yako hizo propoganda za kumchafua Assad video zimerecordiwa kutoka Gutamala na sijui wapi, wanadai jela ya Assad zote hizo ni propoganda. Hizi ni plan zimefanywa na US, Turkey, Qatar na Israel. We umeona Al jazeera katoa sehemu za Calture au wakuu wa dini au wale wasomi alio wauwa Israel baada ya kuingia Syria. Kwanini Al Jazeera hajaongelea silaha za Syria zilizo pigwa na Israel. Viwanda n.k wamekaa kufocus kwenye mambo ya jela wakati Israel na US wanaiba mabilioni ya pesa walio yakuta kwenye bank ya Syria Al Jazeera hatahusikii anatoa habari hizo.
 
Kilichonishangaza zaidi ni kiwango cha kipato alichokuwa anapata kupitia biashara hiyo ambayo ilikuwa inasimamiwa na kaka yake.

Yaani, alikuwa anapata dola bilioni kumi kwa mwaka, wakati pato la taifa lilikuwa chini ya dola bilioni tisa!!!

Kama ni kweli, hizi dhambi zinakuwaje?

Yaani, familia inaingiza hela kuliko nchi tena kwa namna hiyo?

Tumtafuteni Mungu aisee!!

Tuitazame hii video.

View: https://youtu.be/u9FDVayJSB8?si=s6lcjzzKieHpvWoG

Hata Afghanistan wanauza , ni biashara za waarabu wengi
 
As long as Assad hawezi kujibu tuhuma hizi, Mimi sitaziamini abadan.
 
Kilichonishangaza zaidi ni kiwango cha kipato alichokuwa anapata kupitia biashara hiyo ambayo ilikuwa inasimamiwa na kaka yake.

Yaani, alikuwa anapata dola bilioni kumi kwa mwaka, wakati pato la taifa lilikuwa chini ya dola bilioni tisa!!!

Kama ni kweli, hizi dhambi zinakuwaje?

Yaani, familia inaingiza hela kuliko nchi tena kwa namna hiyo?

Tumtafuteni Mungu aisee!!

Tuitazame hii video.

View: https://youtu.be/u9FDVayJSB8?si=s6lcjzzKieHpvWoG

Abdul vipi
 
Kwani wewe hujui kuwa CIA ni kinara wa kuuza madawa ya kulevya?. Unaijua IRAN CONTRA AFFAIRS SCANDAL?

Kwani hujui kuwa OPIUM WAR kati ya Uingereza na China ni sababu ya Uingereza kuuza madawa ya kulevya ndani ya China?

Je Unafahamu kuwa Taliban ile ya akina Mullah Omar Mullah ilifanikiwa kudhibiti kilimo cha zao madawa ya kulevya, Ila marekani iliposhikilia hiyo nchi hicho kilimo kikarejea tena kwa kasi kubwa?

============================================================

Mambo ya nchi ni magumu!
Oh! Kumbe. Ukitaka kujua tabia hasi za mwanao, fuatilia tabia rafiki yake.
 
Back
Top Bottom