Kumbe Rais Samia alisema ukweli kuhusu kesi ya Mbowe. Watanzania tutembee kifua mbele ikibidi vua hata shati tunaenda vizuri

Wewe unajua zaidi kuliko gaidi mbowe ambae Kila chaguzi ameshiriki period [emoji23][emoji1787]
Ugaidi ni kuwabambikia watu kesi kwa uonevu hivyo magaidi unao huko huko kwako
 
Ugaidi ni kitendo cha kuwakamata watu wasio na hatia kisha kwenda kuwafunga pingu mikono miguu saa 24 kuwalazimisha wakubali ugaidi hewa kwa kuwapiga kuwatesa huku Polisiccm wakidhalilisha jwtz zaidi pasipo kujua wakiamini mahita na kingai baadae wangepewa vyeo vikubwa sasa wanaumbuka baada ya mungu kukataa uonevu wao wote
 
Wananchi gani waliadhibu wapinzani? Je ni wale walioiba masanduku ya kura kwenda kujaza kura za wexi wenzao!!?
Au ni ule wizi wa mchakato wa kupiga kura kwa polisi na TISS kubeba maboksi ya kura 2020? Ni lini maamuzi ya wananchi yaliheshimiwa? Saidia hapa ili tupate mwanga!!
 
Natafta thread ya kesi ya leo ila nme kosa au bado wana habari hawaja anza
 
Huyu ni wale Misukule wanaopewa bando kutetea upuuzi, humjui?
 
Kwa sababu ya roho yake mbaya na uchu wa madaraka 2025 hajali kitu chochote she must be called out ni mbaya muuaji tu kama aliyemtangulia angekuwa na hofu asingesema kwabashasha kwamba mbowe ni gaidi na wenzake walifungwa
Wakati unawish hayo yatokee ,je umejaribu kuwaza ni nani atakayemrithi? Maombi mengine ni vema ukayahirisha.
 
Nimesoma nikaishia kukudharau tuu kuwa maneno yako mengi lakini ujinga mtupu
 
Mkuu ,hatima ya CCM ni mbaya mno, MUNGU kaniambia CCM haitaachia madaraka kwa hiari hadi mapinduzi ya kijeshi yafanyike,na hilo jambo lipo karibuni sana kutokea.[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji16][emoji16][emoji16], CCM go to[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
 
Kinachosikitisha zaidi ni kwa nini chombo hiki kikubwa kabisa cha ulinzi na usalama wa nchi yetu kimeachwa bila uzio? yaani JWTZ Commando's ama ma Luteni wajeshi wanatekwa na ktenswa namna hii bila JWTZ kutoa kauli.

Ingeleta faraja kama jeshi lenyewe liwe na mechanism yake ya kujichunguza badala ya kuwatoa baadhi ya wanajeshi wao ili wakateswe na kudhalilishwa, wapi heshima ya JWTZ - sasa hatujui yawezekana Komandoo Moses hayupo duniani.

Wapi Komandoo Moses?

 
Nimesoma nikaishia kukudharau tuu kuwa maneno yako mengi lakini ujinga mtupu
Sishangai maana aliyekuwa Meya wa Dar D.r Didas Masaburi alisema baadhi yenu huko lumumba mnafikiri kwa kutumia Makalio.

Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
 
Mkuu bila shaka hawa ndio walikulisha matango pori kama walivyolishwa wenzako enzi za Lowasa na baadae 2015 kukiri wenyewe katika kampeni zao kuwa yale waliyokuwa wanaongea kuhusu Lowasa yalikuwa matango pori. Hata haya matango ya sanduku za kura siku mmoja wao kati ya Lisu, Mnyika au yoyote akijitoa chamani ataongea ukweli kuwa madai ya kuiba masanduku ya kura sio ya kweli. Inahitaji mtu ukose hata elimu ya chekechea ndo uwaamini tena hawa jamaa.





 
Watanzania wengi wameanza kuwalaani kingai na mahita na Albadiri zinaandaliwa kuwasomea wale wote wanaoshiriki vitendo haramu vya hovyo kuwabambikia kesi wapinzani kuwakamata watu wasio na hatia kuwafunga pingu mikono miguu kuwatesa kuwalazimisha wakubali ugaidi ambao hawana haupo na haujawahi kuwepo, endapo Serikali haitawafukuza kazi akina kingai mahita na wenzao basi wajue laana tokea kwa wananchi inawasubiria
 
Hakuna cha matango pori wewe kwa ujinga wako ulijilisha mwenyewe ukaona kama wengine wanalishwa kama ulijidanganya, wananchi wanawachagua wapinzani vizuri lakini Polisiccm Tumeccm wakurugenziccm Msajiliccm mnaunajisi uchaguzi mkuu kwa njia haramu za kishetani
 
Jwtz wameogopa kupaza sauti kwa sababu ni fedheha kwao kudhalilishwa na Polisiccm na endapo itatokea malumbano itahatarisha usalama wa Nchi, kinachowasikitisha jwtz kwa sasa ni Tabia ya hovyo ya utawala wa CCM kuwabambikia kesi wapinzani pasipo kutafakari kabla matokeo yake imekwenda kuleta Aibu na fedheha kwa jwtz na Taifa kwa ujumla
 
Natafta thread ya kesi ya leo ila nme kosa au bado wana habari hawaja anza
Baada ya siri za jwtz kudhalilishwa na Polisiccm kuvuja wamebuni mfumo wa kuzui watu kujua yanayojili mahakamani sasa , lakini wajue tayari mahita kingai na wenzao laana zinawangojea mda wote kwa kuwatesa watu kuwapiga kuwalazimisha wakubali ugaidi ambao hawana haupo na haukuwahi kuwepo
 
hahaaa mkuu umemtaja mpaka kingai, hahahaaaaa inchaji manyota mzee mkubwa afande anauliza eti hiyo PGO sijui GPO ndionini, na mtu ni kiongozi kheeeeeeeeeeeee hatari sana , vijana someni mjiajiri hii ni fedheha
 
Wananchi walichagua wapinzani waliwapa kura nyingi sana lakini Polisiccm Tumeccm wakurugenziccm wakaunajisi uchaguzi mkuu kwa kuwapora haki ya kuchagua wakawasimika CCM kwa njia haramu za kishetani
 
hahaaa mkuu umemtaja mpaka kingai, hahahaaaaa inchaji manyota mzee mkubwa afande anauliza eti hiyo PGO sijui GPO ndionini, na mtu ni kiongozi kheeeeeeeeeeeee hatari sana , vijana someni mjiajiri hii ni fedheha
Albadiri zinaandaliwa lazima wajutie unyama wao
 
Huko mitaani mkimuona mahita kingai muulizeni walipo hao wanajeshi wawili ambao wamepotea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…