Kumbe Rais Samia alisema ukweli kuhusu kesi ya Mbowe. Watanzania tutembee kifua mbele ikibidi vua hata shati tunaenda vizuri

Kumbe Rais Samia alisema ukweli kuhusu kesi ya Mbowe. Watanzania tutembee kifua mbele ikibidi vua hata shati tunaenda vizuri

Wewe unanifahamisha mimi kwamba "miaka yote uchaguzi huwa wa haki na huru...."? Tena unadai kabisa "najua"?
Sasa kama nikiuita huu ni upumbavu utaona kuwa nakuonea kwa kukupa sifa hiyo? Wewe ni nani hadi unipangie ninachojua?

Kiufupi ni kwamba huna uelewa, au hutaki kutumia akili yako kuelewa mambo yaliyo nje ya yale uliyokariri kuyakubali hata kama ni mambo ambayo yapo wazi kabisa kuyaelewa.
Wewe unajua zaidi kuliko gaidi mbowe ambae Kila chaguzi ameshiriki period [emoji23][emoji1787]
 
Wewe unajua zaidi kuliko gaidi mbowe ambae Kila chaguzi ameshiriki period [emoji23][emoji1787]
Mkuu 'Kadini', mimi sikujui hadi leo hii unaponi'quote' hapa. Sijawahi kukusoma kwa jambo lolote la maana katika kurasa hizi za jukwaa jhili la JF.
Kwa hiyo siwezi kamwe kupoteza muda na mtu kama wewe. Huna hadhi hiyo.
 
Huna hoja unaleta porojo ipo button ya ignore watu wenye low thinkers kimewekwa kwa ajili yenu ajabu vilaza upo jukwaani halafu unanikata nisi quote [emoji23][emoji1787]
 
Huna hoja unaleta porojo ipo button ya ignore watu wenye low thinkers kimewekwa kwa ajili yenu ajabu vilaza upo jukwaani halafu unanikata nisi quote [emoji23][emoji1787]
Hapa umetumia akili kidogo, inawezekana ukiweka bidii zaidi utakuwa mtu mwenye kueleweka vizuri mradi upunguze unazi bila ya kutumia akili vizuri katika unayotetea.
Hata hivyo, sina muda na wewe kwa sasa, na sina lazima ya kufanya hilo unaloshauri.
 
Duh jf siku hizi member anakupangia uandike Nini
 
Amna raisi ambae hajawai kuuwa toka dunia iumbwe
Mwinyi ni mtu mwema kabisa.
Hata vyama vingi aliruhusu ili kuepusha hayo.
Mungu amembariki sana.

Na hata tukiacha ukatili unaofanywa na kundi la Akina Bashiru,Polepole,Sabaya,Kheri,Kingai,Mahita,Siro na wasiojulikana ndani ya CCM na serikali yake lakini kiukweli kabisa Mama Samia Suluhu Hasan ni tofauti sana na Marais Miungu, Mkapa,Magu na wengine.
Waislam hawaamini sana katika kujikweza na kuogopwa.
Ili uogopwe ni lazima uwe na harufu ya damu au uwe muadilifu na ufuate sheria ,katiba na uwawajibishe wezi bila kujali urafiki,undugu,uchama,ukanda n.k.

Mama analazimishwa kuwa mbaya kwa manufaa ya wasaka Mali na vyeo kupitia CCM. Mauaji yote ni kwa ajili ya kuilinda CCM.

Nchi ya ajabu kabisa inayowatumia wahuni wachache kuua na kutesa makomando wa Jeshi. Komando mmoja kumpata ni jambo gumu sana na anapita kwenye mazingira magumu sana mpaka kupata ukomando lakini anaibuka kada wa CCM Kingai na Mahita waosaka URPC na vyeo vya rushwa ili wapate pesa za kunyanganya watu wanaua makomandoo wetu badala ya kutoa taarifa kwa Mnadhimu mkuu wa majeshi ili wakamatwe na kurudishwa kambini hata kama walikua nje ya kazi.

Sent from my TECNO L8 Lite using JamiiForums mobile app
 
Raisi alizungumza kuhusu kesi ya Mbowe na akasema kwamba Mbowe mwenyewe alikuwa anafahamu uwepo wa kesi hiyo mahakamani..

Pia raisi hakuzungumzia kuhusu hukumu ya kesi ya Mbowe kwani anafahamu fika kwamba kesi hiyo bado ipo mahakamani na ni mahakama pekee inayoweza kuamua kuhusu kesi hiyo.

Hii ya kusema kuwa raisi alisema Mbowe kaisha hukumiwa kwa ugaidi ni uongo mtupu ambao hauwezi kuachwa hivi hivi. Kuhusu haki ya uchaguzi bila shaka unajua kwamba miaka yote uchaguzi huwa wa haki na huru ndio maana kina Mbowe, Lisu, Lema nk waliweza kushinda chaguzi mbali mbali na kutangazwa na tume ya taifa ya uchaguzi.

Ila kwa vile miaka yote walioshinda hakuna cha maana walichofanya katika majimbo yao zaidi ya kujineemesha wao na watoto wao ndio maana mwaka 2020 wananchi wakaamua kuwagalagaza kwa kuwanyima kura, na dalili za unyimwaji wa kura kutoka kwa wananchi zilianza kuonekana pale mwenyekiti wa Chadema na mbunge wa Hai ndugu Freeman Mbowe alipotupiwa chupa za maji na kuzomewa na wapiga kura wake mwenyewe kutokana na kuchoshwa na ulaghai wa mwanasiasa huyo na genge lake.
Kumbe Mbunge asipofanya kitu kwenye jimbo lake anapigwa ?
Nilikua sijui . Labda wa upinzani mana wa CCM akipigwa kijiji kizima watakamatwa na kuwekwa ndani . Ila wanaowapiga wapinzani mawe na machupa ya maji wanasifiwa kuwa wamemkataa mbunge ambaye hajaleta maendeleo.

Hii ndiyo CCM ibayotumia makada wasiojua hata kuilinda nchi kuua makomando waliojitoa maisha na miili yao kupitia mafunzo magumu sana kwa ajili ya kulinda nchi.
Komandoo hauawi au kuteswa na kudhalilishwa kwa sababu ya RAIA wanaotaka Madaraka ili familia zao waishi maisha laini.
Yani kweli umuue Komandoo ili Musukuma Mhutu awe Mbunge,au kibajaji apite bila kupingwa.
Nchi imeingia kwenye rekodi ya dunia.

Sent from my TECNO L8 Lite using JamiiForums mobile app
 
Hivi Mama snasubiri nini kuunda tume ya Majaji na Viongozi wa dini ili wazunguke Magereza yote kubaini kama kweli kuna mahabusu wa kesi za kisiasa za kubambikwa kesi tena baada ya watuhumiwa kuteswa na kuumizwa vibaya. Tume ikithibitisha hayo basi ,Siro awajibike na kuwekwa pembeni haraka sana. Lakini pia Kingai na wote waliofanya utesaji wachukuliwe hatua Kali. Kingai alikua anatafuta nini kwa kutumia cheo chake kinyume cha sheria ?
Je, aligongwa au aliahidiwa nini!!!

Tume hawezi unda wakati yeye ni sehemu ya Watuhumiwa wa mauaji.
Wasubirie ICC sisi tunaendelea kukusanya Ushahidi tuu.

Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
 
Jk ndie 'muasisi' wa Escrow
Jk ndie 'muasisi' wa Gas yetu
Jk ndie 'muasisi' wa Richmond
Jk ndie 'muasisi' wa Bandari ya Bgmy (upigaji)

IMG-20211002-WA0048.jpg

IMG-20211002-WA0047.jpg
 
Niwakumbushe tuu kidogo Rais akihojiwa na shirika la habari la Uingereza BBC aliitamkia Dunia na Tanzania kuwa Mbowe ni gaidi alikimbilia kujificha Kenya na wenzie alio kuwa akishilikiana nao walisha hukumiwa alibakia Mbowe tuu kuhukumiwa.

Watanzania wengi tulishitushwa na taarifa hiyo na kumshutumu Rais kuwa anasema uongo. Kwa kuwa hapakuwa na kesi yoyote ya Ugaidi Mahakamani iliyo hukumiwa Wala mtuhumiwa yeyote wa Ugaidi aliye hukumiwa zaidi ya wale Mashekhe wa Uamsho kutolewa Mahabusu baada ya kusota kwa miaka zaidi ya 7 bila hatia yoyote.

Lakini ushahidi unao tolewa Mahakamani na Washitakiwa ambao pia ni Mashahidi upande wa Jamhuri unatuoonesha wazi kuwa Kuna Watuhumiwa wawili tayari wamesha hukumiwa. Na hukumu yao ilitekelezwa kuteswa na baadae kutupwa.

Mashadi wanasema walimuona Moses Lijenje na Denisi Urio wakiteswa na polisi na Kisha polisi wakawaeleza mwenzao Moses Lijenje wamemtupa baada ya kumtesa.Kwamba Moses Lijenje ametupwa kaburini au baharini hatujui ila uhakika ni kwamba wametupwa.

Hatuwezi kutilishaka maelezo ya Washitakiwa kuwa Kuna wenzao wamesha uawa na polisi kwa kuwa maelezo yao yanafanana na maelezo ya Rais aliyoyasema akihojiwa na BBC kuwa Kuna Watuhumiwa tayari wamesha hukumiwa alibakia Mbowe tuu.

Kuhusu CCM kuua raia hilo halina shaka ushahidi ndio huu Rais ameusema wazi wazi na Watuhumiwa pia wamekiri wenzao wameuwa. Pia aliyekuwa Katibu mkuu CCM Bashiru Ally alikiri hadharani akisema CCM tunatumia Dora kubakia Madarakani

Sio hivyo tuu hata kiongozi wa umoja wa vijana CCM ambaye Sasa amepewa cheo Cha Ukuu wa Wilaya Kheri James eti ndio mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama wa Wilaya alisema walimkosa kosa Tundu Lissu kumuua kwa Risasi ila kwa Sasa watatumia sumu kumuua.

Sio hivyo tuu Makamu mwenyekiti wa CCM Philpi Mangula alinisurika kuuwa akiwa ktk kikao na Wana CCM wenzake kwa kupewa sumu. Polisi walisema wanawatafuta walio husika lakini mpka Sasa hakuna mtuhumiwa hata mmoja ili hali walio hudhuria kikao hicho kilicho ongozwa na mwenyekiti wao wanajulikana.

CCM oyeeeee
Rais safiiiii
Kingai oyeeee
Mahita juuu
JWTZ oyeee
Polisi safiiiiii!!
Siro ngangariiii!!

Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
CCM ni genge la kigaidi linalotumia mabavu ya vyombo vya dola kuendelea kutawala kidhalimu.
 
Mkuu kuichafua serikali kwa propaganda mfu namna hii ni kupoteza muda wako bure. Hebu fikiria kuna watu walikuja na propaganda kabambe za ufisadi ili kuwachafua viongozi wa serikali na wa chama kilichopo madarakan kama vile kina Lowasa, Kinana nk lkn uchaguzi ulipofika 2010, 2015 na 2020 wananchi walitumia haki yao ya kupiga kura kuwaadhibu watengeneza propaganda hao bila huruma.

Hata zile propaganda za kumchafua hayati Magufuli kuwa ni dikteta, sijui anakandamiza demokrasia nk hazikusaidia upinzani kuingia ikulu 2020.. yan ilikuwa ni sawa na kujaza pipa kwa kisoda. So kama unaishi, unasomesha na hata kwenda msalani kwa malipo ya propaganda za namna hii. Nakushauri ndugu yang utafute kibarua kingine cha kukusaidka kupata riziki ingine ya halali bila kuchafua watu.
Hizo propaganda za kujidanganya kuwa Serikali haichafuki ndizo zinawafanya muendelee kufanya vitendo vya kishetani mkidhani Duniani nzima ni wajinga watajua ni propaganda tu wakati ulimwengu wote wamejua CCM ni chama cha hovyo hakuna uchaguzi kilishinda zaidi ya kubaka kunajisi kuulawiti uchaguzi mkuu kwa njia haramu za kishetani, Polisiccm wanawatuma mahita kingai kwenda kutesa walinzi wa mbowe kuwafunga pingu mikono miguu saa 24 kuwapiga, kuwalazimisha wakubali ugaidi hewa, ugaidi ambao hawana haupo na haukuwepo, wewe kama huna cha kufanya tafuta kibarua kingine siyo kusaka uteuzi kwa njia haramu za kishetani
 
Raisi alizungumza kuhusu kesi ya Mbowe na akasema kwamba Mbowe mwenyewe alikuwa anafahamu uwepo wa kesi hiyo mahakamani..

Pia raisi hakuzungumzia kuhusu hukumu ya kesi ya Mbowe kwani anafahamu fika kwamba kesi hiyo bado ipo mahakamani na ni mahakama pekee inayoweza kuamua kuhusu kesi hiyo.

Hii ya kusema kuwa raisi alisema Mbowe kaisha hukumiwa kwa ugaidi ni uongo mtupu ambao hauwezi kuachwa hivi hivi. Kuhusu haki ya uchaguzi bila shaka unajua kwamba miaka yote uchaguzi huwa wa haki na huru ndio maana kina Mbowe, Lisu, Lema nk waliweza kushinda chaguzi mbali mbali na kutangazwa na tume ya taifa ya uchaguzi.

Ila kwa vile miaka yote walioshinda hakuna cha maana walichofanya katika majimbo yao zaidi ya kujineemesha wao na watoto wao ndio maana mwaka 2020 wananchi wakaamua kuwagalagaza kwa kuwanyima kura, na dalili za unyimwaji wa kura kutoka kwa wananchi zilianza kuonekana pale mwenyekiti wa Chadema na mbunge wa Hai ndugu Freeman Mbowe alipotupiwa chupa za maji na kuzomewa na wapiga kura wake mwenyewe kutokana na kuchoshwa na ulaghai wa mwanasiasa huyo na genge lake.
Acha ujinga eti hakuna cha maana wamefanya majimboni? Kwani wapinzani ndiyo wenye dola? Pesa za walipa kodi wajibu wake ni kuleta maendeleo lakini CCM kwa hila na kwa makusudi mmekuwa mkikwamisha maendeleo kwenye majimbo ya wapinzani hilo halina ubishi, acheni uonevu unyanyasaji uovu kuwabambikia kesi wapinzani muone maamuzi ya wananchi kwenye chaguzi zote
 
Back
Top Bottom