Shambulio la moyo mara nyingi mtu huwa yupo kwenye coma na anakuwa chini ya uangalizi wa madaktari muda wa kuzungumza zaidi ya saa zima anatoa wapi...Hivi cardiac arrest huwa mgonjwa analazwa hospitali, anapiga stori na wanaomtembelea wee ndipo inamuua? Hapa kuna walakini. Itoshe tu kusema RIP Mkapa. Mambo mengine wanafamilia waendelee kuyafanya siri yao, wasiingie kwenye mtego wa kutuliza uvumi unaoendelea.
Hapa ndipo penye hoja ya msingi. Huku kukwepa kwepa wee subiri tu!Alilazwa kutokana na malaria
Kumbe sababu ya kifo cha Mkapa ni Cardiac Arrest. Asante sana Mwanafamilia William Erio Kumaliza Sintofahamu Hii!
Hivi umesikia alichosema ErrioHivi cardiac arrest huwa mgonjwa analazwa hospitali, anapiga stori na wanaomtembelea wee ndipo inamuua? Hapa kuna walakini. Itoshe tu kusema RIP Mkapa. Mambo mengine wanafamilia waendelee kuyafanya siri yao, wasiingie kwenye mtego wa kutuliza uvumi unaoendelea.
PPF
Ukakasi gani ...mbona mnakuwa Wajinga hivi...wewe Kama hujui ,hiyo kitu leo umejua ,aches uzwazwa!P kuna ukakasi mwingi sana kwenye hizo sababu za kifo hebu tuzame mtandaoni tuone cardiac arrest inatokeaje kwanza
Mkurugenzi mkuu nssf na zamani ppf
Hapo nakupongeza, sio WAJINGA wachache wanalazimisha chanzo chao cha kifo, kama mnakijua kitajeni sasa, mmeambiwa sababu ni CARDIAC ARREST mnakataa, haya semeni nyinyi mnaojua sababu ni nini?Kila nafasi itaonja Mauti.
Bado kuna mkanganyiko kikwete anasema mkapa alimwambia kinachosumbua ni tumbo leo tunaambiwa malaria na moyoWewe P Ulisikiaje minongono hii,au na wewe ni wale jamaa wa systerm wa kuweka mambo sawa?
Well done, Hoja yako jana ilikuwa ya msingi sana
Kweli Ikulu walikurupuka kutowa taarifa pumgufu.
Huku mtaani kwangu Tayari speculation zilikuwepo ya kuwa eti 'Magu hakuufurahia ushauri wa Mkapa wa Tume huru''
Na kwa hiyo Mkapa alimnunia Magu,
Na kwa hiyo Magu kamtumia wale jamaa wasiojulikana
Na kwa hiyo wamemkolimba.
Haya ndio maneno yaliyokuwa yanaanza kusambaa mtaani,
Kisa nini Taarifa ya msiba kutolewa pungufu.
Naona sasa mambo yako sawa.
Thank You P.
Mkuu usipende kuonesha ujinga hafharani kizembe hivi!Msemaji anasema Rais Mkapa kafia kwenye Kiti ghafla. JK anasema aliugua na alipata lisaa lizima kuongea nae kabla ya umauti. UTATA!
Nazungumzia sasa, sio miaka hiyoHujui kwamba hapo EMMH walikua na department ya Moyo kabla hata JK hajawahengea wamatumbi JKCI
Toka yeye alivyopata lile Tatizo la kuanguka siku moja kabla ya Uchaguzi
Alilazwa kutokana na malaria
Muwe mnaelewa kwanza kabla ya kubisha. Maelezo ni kuwa aliugua malaria kwanza ndiyo akalazwa. Sasa hiyo cardial arrest ilimpata ghafla wakati amelazwa. Pengine ungehoji labda dawa au matibabu aliyopata ndiyo yalileta hiyo hali? Au ilikuwa ni coincidence tu?Hivi cardiac arrest huwa mgonjwa analazwa hospitali, anapiga stori na wanaomtembelea wee ndipo inamuua? Hapa kuna walakini. Itoshe tu kusema RIP Mkapa. Mambo mengine wanafamilia waendelee kuyafanya siri yao, wasiingie kwenye mtego wa kutuliza uvumi unaoendelea.
CEO wa PPF nadhani alikua ila sijui kama ndo huyu au lah
Ni mkurugenzi wa NSSF
Kuna tofauti ya Utata na Ujinga. Ujinga ni kutotambua Utata.Mkuu usipende kuonesha ujinga hafharani kizembe hivi!