Kumbe sababu ya kifo cha Mkapa ni Cardiac Arrest. Asante sana mwanafamilia William Erio kumaliza sintofahamu hii

Kumbe sababu ya kifo cha Mkapa ni Cardiac Arrest. Asante sana mwanafamilia William Erio kumaliza sintofahamu hii

Ni aibu kwa nchi kumpoteza mtu kama Mkapa kwa malaria. Malaria ni ugonjwa unaokingika na kutibika kirahisi.
Tumetafuna pesa nyingi sana kama taifa kwa Kampeni za kutokomeza Malaria, na hata kufikia hatua ya wagonjwa wengi kupimwa nankukutwa hawana malaria na nafasi yake kuchukuliwa na UTI &/au Typhoid.
Leo hii tena BEN afe kwa malaria!!!! Ajabu gani hii
 
Naitwa Janabi. Hii ni kazi yangu, ndugu. Lazima kutakuwa na sababu ya cardiac arrest. Unaweza kuwa mzima kwa kutembea lakini ndani siyo mzima. Lazima iwepo sababu. Unaweza kupasuka mshipa wa wa moyo ghafla, na hiyo ndio itakuwa cause ya cardiac arrest. Kifua kikifunguliwa sababu itajulikana tu.
Nani kasema amekufa kwa malaria? Cardial arrest inaweza kutokea hata kwa mtu aliye mzima bila ugonjwa wowote.
 
Bado kuna mkanganyiko kikwete anasema mkapa alimwambia kinachosumbua ni tumbo leo tunaambiwa malaria na moyo
Hata malaria inafanya tumbo lisikae vizuri. Hasa kama alikuwa anatumia dawa. Mimi hii ya kusema ni corona sikubalini nayo kwa sababu ingekuwa ndiyo hiyo viongozi wasikuwa huru kuchanganyika namna hii unless wanajitafutia balaa.
 
Hivi cardiac arrest huwa mgonjwa analazwa hospitali, anapiga stori na wanaomtembelea wee ndipo inamuua? Hapa kuna walakini. Itoshe tu kusema RIP Mkapa. Mambo mengine wanafamilia waendelee kuyafanya siri yao, wasiingie kwenye mtego wa kutuliza uvumi unaoendelea.
Bavicha mnahangaika sana kuaminisha watu kitu kisichokuwepo
 
Siasa isitugawe jamani, mavi-jana ya Tanzania mbona mnataka kuwa wapumbavu na malofa namna hiyo? Kwani kabla ya Corona watu walikuwa hawafi kwa heart attack? Majitu yamekomalia eti tuongeze na zetu, zipi hizo? Tuache umazwazwa!!
Swala la msingi ni moja tu: Ili watanzania wapone na kuondokana na hivi vifo vya kijinga ambavyo vitaendelea tuu kutokana na huu ujinga basi ni lazima tuelewe kuwa COVID 19 ipo na tujue inasababishaje kifo na namna gani tuishi nayo! Ni hilo tu la kukubaliana na hali ya sasa ya dunia ili tuondokane na huu ujinga uliotutawala sasa!

Other wise tutaendelea kufa tu kwa kujitetea na ujinga kama huu wako nilio quote na mimi nasema tufe tuuu maana hakuna namna sasa! Kenge husikia akiwa anakata roho!
 
Pythagoras,
Madaktari uliowataja wakija kudadavua PATHOPHYSIOLOGY kwa sisi maamuma itakuwa ni kutupotezea muda wetu tu....

Vile vitabu vya SERIKALI VYA VIZAZI NA VIFO hawaandiki huo ufafanuzi wa PATHOPHYSIOLOGY uliyoitaka......

Erio amemaliza kwetu sisi maamuma ya kuwa;
Cause of death:CARDIAC ARREST SECONDARY TO COMPLICATED(SEVERE)MALARIA

ASANTE ndg.Erio,

Rip BWM
 
JAMANI KWANINI TUNAPATA TABU SANA HATUWI WENYE KUELEWA?
CHANZO CHA KIFO CHA MKAPA

ALIKUJA MALAIKA WA MAUTI NA KUICHUKUA ROHO YAKE NA KUIPAISHA MBINGUNI,
NA CHANZO CHA KIFO CHANGU MIMI NA WEWE KITAKUWA HICHO HICHO.

KINACHOTAKIWA NI KUSEMA
SISI NI WA MUUMBA NA KWKE YEYE TUTAREJEA.
 
Madaktari uliowataja wakija kudadavua PATHOPHYSIOLOGY kwa sisi maamua itakuwa ni kutupotezea muda wetu tu....

Vile vitabu vya SERIKALI VYA VIZAZI NA VIFO hawaandiki huo ufafanuzi wa PATHOPHYSIOLOGY uliyoitaka......

Erio amemaliza kwetu sisi maamuma ya kuwa;
Cause of death:CARDIAC ARREST SECONDARY TO COMPLICATED(SEVERE)MALARIA

ASANTE ndg.Erio,

Rip BWM
Hahhaaa asante
 
JAMANI KWANINI TUNAPATA TABU SANA HATUWI WENYE KUELEWA?
CHANZO CHA KIFO CHA MKAPA

ALIKUJA MALAIKA WA MAUTI NA KUICHUKUA ROHO YAKE NA KUIPAISHA MBINGUNI,
NA CHANZO CHA KIFO CHANGU MIMI NA WEWE KITAKUWA HICHO HICHO.

KINACHOTAKIWA NI KUSEMA
SISI NI WA MUUMBA NA KWKE YEYE TUTAREJEA.
Hapo kwenye malaika kumchukua kumpeleka mbinguni nakataa!
 
Naitwa Janabi. Hii ni kazi yangu, ndugu. Lazima kutakuwa na sababu ya cardiac arrest. Unaweza kuwa mzima kwa kutembea lakini ndani siyo mzima. Lazima iwepo sababu. Unaweza kupasuka mshipa wa wa moyo ghafla, na hiyo ndio itakuwa cause ya cardiac arrest. Kifua kikifunguliwa sababu itajulikana tu.
Ndiyo nikasema inaweza kutokea kwa mtu yoyote i.e. kuna sababu nyingi tu zinazosababisha inaweza kuwa siyo hiyo malaria kama wewe ulivyo suggest. Anaweza kuwa alikuwa na underlying heart condition ambayo haikujulikana nk. Kuna sababu nyingi na inaweza kutokea kwa yoyote.
 
Hata malaria inafanya tumbo lisikae vizuri. Hasa kama alikuwa anatumia dawa. Mimi hii ya kusema ni corona sikubalini nayo kwa sababu ingekuwa ndiyo hiyo viongozi wasikuwa huru kuchanganyika namna hii unless wanajitafutia balaa.
Hata mimi hili la korona sikubaliani nalo. Ila Kikwete inaonyesha ana siri nzito sana kaachiwa na mkapa
 
Back
Top Bottom