Blackcornshman
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 6,514
- 15,701
Kila mtu akifariki hata kama anaumwa Malaria cheti cha kifo lazima kiandikwe cardiomyopathy, kutaka kufahamu mengine zaidi kama wewe siyo next of kin ni umbeya tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Halafu alikuwa anaangalia mauchaguzi. Sijui kwa nini walimruhusu aangalie mauchaguzi yanaweza kukupa furaha sana ama stress sana. Vyote sio vizuri kwa moyo.Alilazwa kwa malaria mshtuko kaupata akiwa ana malaria
Still connecting the relation of Malaria with Cardiac arrest sipati jibu? but kuna uhusiano mkubwa kati ya upumuaji na shambulio la moyo.
Jiongezeni wakubwa, Israel mtoa bado anawinda roho za watu wenye shingo ngumu.
Uko vizurii chiefErio Ameweka Wazi.....
Cause of Death:Cardiac Arrest Secondary to Complicated(Severe Malaria).
Mjadala umemalizwa vizuri na ndg.Erio.
Rest In Peace Benjamin W.Mkapa,aaamen.
Nilikuwa naangalia misa live kutoka uwanja wa Uhuru.Ushaamka
Hata corona huwauwa zaidi wenye magonjwa mengine kuliko yule asiye na magonjwa mengineWabongo bana, kwani hauwezi ukaenda hospital kwa matatizo mengine na ukiwa umelazwa ukapata hiyo cardiac arrest.
Sijui wataalamu, cardiac arrest ni mara moja tu, sio upate jumatano ufariki Ijumaa
Mbili, issue cardiac nilitegemea angepelekwa Hospitali yetu ya mabingwa wa moyo pale Jakaya Kikwete Cardiac Institute na sio Hospitali Mzna
Tungeacha tu kujadili tumzike Mzee wetu tuendelee na mengine maana tunazidi kuleta mkanganyiko
Urio hakutakiwa kuzungumza " kienyeji" kwenye swala la kitaalamu kama hili.
Kuwajibu watu wa mitandaoni nyakati nyingine siyo busara!
Wangeniambia kwa umri wake, mwili wake ulivyo thrombisis yaweza tokea au hata kisukari kidogo ningeeelewa ila sio severe malaria..This makes sense kitaaluma. Huku mtaani sasa wasisema amekufa kwa cardiac arrest. Waseme kile kilichosababisha cardiac arrest, yaani malaria. Kama nilivyosema hapo awali, vifo vyote vinatokea kwa cardiac arrest. Wanachotakiwa kusema ni kilichosabibisha cardiac arrest ya Mkapa.
Mkuu watu wa mitandaoni shida sana,hebu angalia mama magufuli alivyomkumbatia mama mkapa,na magufuli yuko pembeni,hivi ingekuwa korona kweli haya yote yangefanyikaHata malaria inafanya tumbo lisikae vizuri. Hasa kama alikuwa anatumia dawa. Mimi hii ya kusema ni corona sikubalini nayo kwa sababu ingekuwa ndiyo hiyo viongozi wasikuwa huru kuchanganyika namna hii unless wanajitafutia balaa.
Jana ulituthibitishia wana jf kuwa Corona ndio imemuua!Halafu alikuwa anaangalia mauchaguzi. Sijui kwa nini walimruhusu aangalie mauchaguzi yanaweza kukupa furaha sana ama stress sana. Vyote sio vizuri kwa moyo.
Mkurugenzi wa zamani PPF kwa sasa ni Mkurugenzi wa NSSF
Huyu ni Mpwa(Mtoto wa dada)Wa Rais Mkapa
Covid 19 inaweza kumchukua mwamba ndani ya siku 2 tu?Swala la msingi ni moja tu: Ili watanzania wapone na kuondokana na hivi vifo vya kijinga ambavyo vitaendelea tuu kutokana na huu ujinga basi ni lazima tuelewe kuwa COVID 19 ipo na tujue inasababishaje kifo na namna gani tuishi nayo! Ni hilo tu la kukubaliana na hali ya sasa ya dunia ili tuondokane na huu ujinga uliotutawala sasa!
Other wise tutaendelea kufa tu kwa kujitetea na ujinga kama huu wako nilio quote na mimi nasema tufe tuuu maana hakuna namna sasa! Kenge husikia akiwa anakata roho!
Acha ujuaji wa kitoto....yaani Mkapa ahudumiwe na madaktari WALIOZEMBEA KUMPIMA HIVYO ULIVYOSEMA?!!!yaani wasahau VITAL SIGNS?!!Severe Malaria acha kutufanya wajinga mkuu, ungeniambia labda Marehemu Hayati Mkapa alikuwa na Kisukari kidogo ningekuelewa ila uhusiano wa malaria na magonjwa ya moto ni vitu viwili tofouti labda madaktari waliokuwa wakim attend Mh. Rais walikuwa hawajui wanatibu nini?
Huwezi jua labda walizembea kuchukua vipimo vya sukari na blood pressure ( kumonitor) asubuhi na jioni kujua kama kuna mabadiliko yoyote kabla ya kumpa dawa.
Na dawa za Malaria ambazo zina side effect ya kudisturb mzunguko wa damu sijui? Lawama ziende kwa madaktri waliokuwa wakim attend.
Kwani hauwezi ukaumwa tumbo, malaria na moyo kwa pamoja? Punguza ujinga jombaaBado kuna mkanganyiko kikwete anasema mkapa alimwambia kinachosumbua ni tumbo leo tunaambiwa malaria na moyo
Wangeniambia kwa umri wake, mwili wake ulivyo thrombisis yaweza tokea au hata kisukari kidogo ningeeelewa ila sio severe malaria..
This is Big No...
Ndio maana cardiac arrest kadri umri unavyosonga mbele kuna uwezekano mkubwa wa hadi asilimia 70% kupata shambulizi la moyo...Cardiac arrest haina uhusiano. Malaria inaonyesha alikuwa anaendelea vizuri. So cardiac arrest inawaza mpata mtu yeyote wakati wowote. Commonly inaweza kuwa due to shambulio la moyo. Heart attack. Mara nyingi heart attack ikiwa ni major yaani ikihusisha mishipa mikubwa ya moyo haichukui round ni just seconds you die.
Usiku wa kuamkia leo nimepata Case kama hiyo. Familia imenipigia kuwa baba yao anapata shida kuwa anapata maumivu makali ya kifua na kukosa pumzi. Hakumaliza dk 5 akafa. Nimefika pale kumwangalia alikuwa ameshakufa.
Confirmations inaweza fanyika tu kwa kufanya postmortem. Lakini kwa heshima ya states person sioni kama ni muhimu sana as far hakuna kitu cha kutia shaka.
Familia iko sahihi. Cardiac arrest ni very common