Kumbe sababu ya kifo cha Mkapa ni Cardiac Arrest. Asante sana mwanafamilia William Erio kumaliza sintofahamu hii

Kumbe sababu ya kifo cha Mkapa ni Cardiac Arrest. Asante sana mwanafamilia William Erio kumaliza sintofahamu hii

This makes sense kitaaluma. Huku mtaani sasa wasisema amekufa kwa cardiac arrest. Waseme kile kilichosababisha cardiac arrest, yaani malaria. Kama nilivyosema hapo awali, vifo vyote vinatokea kwa cardiac arrest. Wanachotakiwa kusema ni kilichosabibisha cardiac arrest ya Mkapa.
Erio amemaliza kwetu sisi maamuma ya kuwa;
Cause of death:CARDIAC ARREST SECONDARY TO COMPLICATED(SEVERE)MALARIA
 
Wewe P Ulisikiaje minongono hii,au na wewe ni wale jamaa wa systerm wa kuweka mambo sawa?
Well done, Hoja yako jana ilikuwa ya msingi sana
Kweli Ikulu walikurupuka kutowa taarifa pumgufu.
Huku mtaani kwangu Tayari speculation zilikuwepo ya kuwa eti 'Magu hakuufurahia ushauri wa Mkapa wa Tume huru''
Na kwa hiyo Mkapa alimnunia Magu,
Na kwa hiyo Magu kamtumia wale jamaa wasiojulikana
Na kwa hiyo wamemkolimba.
Haya ndio maneno yaliyokuwa yanaanza kusambaa mtaani,
Kisa nini Taarifa ya msiba kutolewa pungufu.
Naona sasa mambo yako sawa.
Thank You P.
Machiavellian believes in “who has the power/money has the say.”
So do whatever is necessary to get and to keep it.
Hence, he believes in “The ends justify the means”.

Win first and then you can do whatever with your power.

For good things, do them or appear to do them to gain reputation and support.

For the bad things, get someone else to do this necessary evils, so that if it fails, you can blame them and you still look good. i.e. always cover your backside.

Ruling with fear is better than ruling with love. It is better for people to fear you rather than respect you. With fear, people must do it or else.

With love or respect, the obedience is optional and hence less effective.

His teaching is very similar to Chinese HanFeiZi’s Legal School philosophy which believes in using the Laws (Laws are designed to favor the Emperor) to rule the people with fear to achieve immediate or at least short-term following and success.

Such principles work in the short run for quick success. However, in the longer term, people will discover it and will revolt against it.
 
Acha ubishi. Soma post ya Jumbe Brown. Inasema hivi:

Cause of death:CARDIAC ARREST SECONDARY TO COMPLICATED(SEVERE)MALARIA

Hii ndio iko kwenye death certificate ya Rais mstaafu. Wewe kama ni mbishi basi kabishane na madaktari wake.
Ndiyo nikasema inaweza kutokea kwa mtu yoyote i.e. kuna sababu nyingi tu zinazosababisha inaweza kuwa siyo hiyo malaria kama wewe ulivyo suggest. Anaweza kuwa alikuwa na underlying heart condition ambayo haikujulikana nk. Kuna sababu nyingi na inaweza kutokea kwa yoyote.
 
Hivi cardiac arrest huwa mgonjwa analazwa hospitali, anapiga stori na wanaomtembelea wee ndipo inamuua? Hapa kuna walakini. Itoshe tu kusema RIP Mkapa. Mambo mengine wanafamilia waendelee kuyafanya siri yao, wasiingie kwenye mtego wa kutuliza uvumi unaoendelea.
Alilazwa kwa malaria mshtuko kaupata akiwa ana malaria
 
Still connecting the relation of Malaria with Cardiac arrest sipati jibu? but kuna uhusiano mkubwa kati ya upumuaji na shambulio la moyo.

Jiongezeni wakubwa, Israel mtoa bado anawinda roho za watu wenye shingo ngumu.

Ndugu zangu wenye chuki mnapata tabu sana, Kwani wewe umeambiwa Shambulio la moyo ni lazima liwe na connection na Malaria. Cardiac arrest inaweza kutokea kwa mtu yoyote hata yule ambaye hajawahi kuwa na historia kuugua Moyo
 
Msemaji anasema Rais Mkapa kafia kwenye Kiti ghafla. JK anasema aliugua na alipata lisaa lizima kuongea nae kabla ya umauti. UTATA!
Utata uko wapi hapo sasa?

- JK alipata lisaa lizima kuongea nae kabla ya umauti.
- Baadae BM akafa. au ulitaka asife kisa JK aliongea nae saa nzima?
 
Erio Ameweka Wazi.....

Cause of Death:Cardiac Arrest Secondary to Complicated(Severe Malaria).

Mjadala umemalizwa vizuri na ndg.Erio.

Rest In Peace Benjamin W.Mkapa,aaamen.
Severe Malaria acha kutufanya wajinga mkuu, ungeniambia labda Marehemu Hayati Mkapa alikuwa na Kisukari kidogo ningekuelewa ila uhusiano wa malaria na magonjwa ya moyo ni vitu viwili tofouti labda madaktari waliokuwa wakim attend Mh. Rais walikuwa hawajui wanatibu nini?

Huwezi jua labda walizembea kuchukua vipimo vya sukari na blood pressure ( kumonitor) asubuhi na jioni kujua kama kuna mabadiliko yoyote kabla ya kumpa dawa.

Na dawa za Malaria ambazo zina side effect ya kudisturb mzunguko wa damu sijui? Lawama ziende kwa madaktri waliokuwa wakim attend.
 
Ndugu zangu wenye chuki mnapata tabu sana, Kwani wewe umeambiwa Shambulio la moyo ni lazima liwe na connection na Malaria. Cardiac arrest inaweza kutokea kwa mtu yoyote hata yule ambaye hajawahi kuwa na historia kuugua Moyo
Acha uzwazwa unajua incidence ya kutokea cardiac arrest. Ficha upumbavu wako?
 
Yaah MALARIA imepelekea MSHITUKO WA MOYO na moyo ukashindwa kufanya kazi na mwishowe moyo ukafa....
👆👆👆👆👆👆👆
Hilo hapo wasipoelewa Wenzangu ninaouza nao Al Kasus huku Tandale Basi tena....nashauri msinywe Al Kasus zao usalama wa afya ni mdogo....
Emb kadanganye pimbi wenzako huko wasiojielewa! Unaijua malaria mpaka stage ya kuua ilivyokuwa wewe? Unatoka kuangalia maccm kwenye tv kisha unasema ulikuwa na malaria iliyosababisha kifo?

Pili unajua shambulio la moyo linamkuta mtu akiwa stage ipi?

Tatu nikufahamishe kuwa upo uhusiano mkubwa sana wa ukosefu wa oxygen ya kutosha mwilini na shambulio la moyo! Jiongeze pimbi wewe!
 
Back
Top Bottom