Kumbe Sauda Mwilima ndio alikuwa video vixen kwenye nilikupenda - Abby Skilz ft Dully Syke

Kumbe Sauda Mwilima ndio alikuwa video vixen kwenye nilikupenda - Abby Skilz ft Dully Syke

Screenshot_20240802_173457_YouTube.jpg
 
View attachment 3059777
Back the days, nimekumbuka hii kitu, ukichomeka kwenye mkanda, unainua tshirt kidogo ionekane 🤣🤣🤣 na earphones flani hivi, daaah maisha yalikuwa simple saaaana.
Hapo hakuna simu wala nini unavizia demu manually,
Si mchezo nakumbuka nilikuwa Ilala bungoni. Mtaa wa Arusha. Nimepita hapo juzi tu kumebadilika kinoma ni mwendo wa maghorofa tu
 
Back
Top Bottom