Kumbe Sauda Mwilima ndio alikuwa video vixen kwenye nilikupenda - Abby Skilz ft Dully Syke

Kumbe Sauda Mwilima ndio alikuwa video vixen kwenye nilikupenda - Abby Skilz ft Dully Syke

Kwa watu walioishi Kasulu Miaka ya 2000 siku za siku kuu tulikuwa tunaenda kuruka majoka pale FM CLUB karibu na shule ya Kiganamo hizi ngoma ndio zilikuwa habari ya mujini.......Nakumbuka siku kuu moja nilivaa nguo za kufanana suruali na shati rangi ya kijani ya jeshi ile suruali ukiamua unaikata inakuwa pensi kwa kutumia zipu,faza alitoka nazo Uganda miaka hiyo Uganda ndio habari ya town ilikuwa brand ya ECKO ina picha ya tembo kama sijakosea,zama zimepita unaweza kulia machozi kwa kumbukumbu....Abby skillz alikuwa mkali sana.
 
Aisee...
Sometym napiga pambaaa...
Pamba zenyewe sasa...
##hii ndo miziki inayoishi##
 
Nilitokwa na machozi
Nikashindwa kuvumiliaa
Nikataka Kujitundika
Kweli Mapenzi anauwaa
 
Huyo mwenye zegembe kafunga kanga ndo Sauda?
 
Back
Top Bottom