Down To Earth
JF-Expert Member
- Jul 8, 2011
- 21,940
- 16,643
Hakuna marefu yasiyo na nchaAbby skills alikuaga anajua.....dah sijui yuko wapi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna marefu yasiyo na nchaAbby skills alikuaga anajua.....dah sijui yuko wapi
Radio Cassette player (walkman), moja ya evolution ya music player nadhan kwa watu wa 80's and early 90's watakuwa wanazifahamu sana, before ujio wa CDs, memory cards, flash, HDDs, SSDs, Cloud n.kHiki nini?
Mwambie yako huvutii mdomoni😊Ukiivuta uta-faint endelea kula kuberi tu
Eti manually 😂View attachment 3059777
Back the days, nimekumbuka hii kitu, ukichomeka kwenye mkanda, unainua tshirt kidogo ionekane 🤣🤣🤣 na earphones flani hivi, daaah maisha yalikuwa simple saaaana.
Hapo hakuna simu wala nini unavizia demu manually,
Hapana, anaimba kama anaongea 🙂Abby skills alikuaga anajua.....dah sijui yuko wapi
Baada ya hapo tuliingia kwenye DISCMAN ingawa hazikukaa sana sijui zilimezwa na radio stations au simu za mkononi hata sikumbuki.View attachment 3059777
Back the days, nimekumbuka hii kitu, ukichomeka kwenye mkanda, unainua tshirt kidogo ionekane 🤣🤣🤣 na earphones flani hivi, daaah maisha yalikuwa simple saaaana.
Hapo hakuna simu wala nini unavizia demu manually,
Mkuu naomba nikukumbushe sisi bado tunaishi kama vijana wa zamani.Ulichokosea ni kusema vijana wenzangu, ilitakiwa utuite wazee wenzako.......
Aaah au basi kumbe Nape, makamba , mbowe nao ni vijana.
Leta maneno kijana mwenzetu
Nayo ni style, wa kuongea mbona wengi afande sele kwenye mtazamo, D knob elimu mitaani alichana kwa kuongea piaHapana, anaimba kama anaongea 🙂
Daaah nilikua A -level kipindi hicho,Shuleni Kikianza kipindi chake tu Nipo kwenye Bwalo,wanafunzi tulikua tunakipenda kipindi chake 😀😀😀😀😀, Star Tv ilikua na Watangazaji wazuri TzSauda mwilima yuko wapi now days, si atakua amezeeka sana? Namtakia maisha mema huko aliko. Alinifurahisha sana na kipindi chake cha startv
Msisahau kuwa na babra Hassan Alikuwa vedeo vexen kwenye wimbo wa unanitega Wa mwana FA ft Noorah🤪
View: https://youtu.be/5p1LgHsEfo0?si=OzXNI-a3KCamckGy
Autoreverse!! ilikuwa ni moja ya walkmans za gharama sana, sikumbuki kama ziliwahi kuuzwa hapa nchini, wengi waliokuwa nazo ni either walinunua nje au waliletewa na ndugu zao wa nje.View attachment 3059777
Back the days, nimekumbuka hii kitu, ukichomeka kwenye mkanda, unainua tshirt kidogo ionekane 🤣🤣🤣 na earphones flani hivi, daaah maisha yalikuwa simple saaaana.
Hapo hakuna simu wala nini unavizia demu manually,
zilikuwa nyingi sana, tena mwishooni around 2005, 2006 zilikuwa zinauzwa sh. 5,000 (elfu tano).Autoreverse!! ilikuwa ni moja ya walkmans za gharama sana, sikumbuki kama ziliwahi kuuzwa hapa nchini, wengi waliokuwa nazo ni either walinunua nje au waliletewa na ndugu zao wa nje.
Kuimiliki tu hii walkman ilikuwa ni alama ya ukwasi au mtoto wa kishua
Haha 2005 kulisha kuwa na Cd ambayo ilikuwa inafanya vizuri sana kwenye music quality.zilikuwa nyingi sana, tena mwishooni around 2005, 2006 zilikuwa zinauzwa sh. 5,000 (elfu tano).