Au haumfahamu?Mbona simuoni Sauda?
Ulichokosea ni kusema vijana wenzangu, ilitakiwa utuite wazee wenzako.......Sijui kwanini hii post nimeandika kwa hisia sana, Mods naomba unisahihishe kama nimekosea.
😂Umri umekutupa mkono Mkuu. Umesharusha kitambaa cheupe juuSijui kwanini hii post nimeandika kwa hisia sana, Mods naomba unisahihishe kama nimekosea.
MamboUlichokosea ni kusema vijana wenzangu, ilitakiwa utuite wazee wenzako.......
Aaah au basi kumbe Nape, makamba , mbowe nao ni vijana.
Leta maneno kijana mwenzetu
Nina shida kidogo mkuu.Hapahapa tuyamalize.Unaniruhusu?Ulichokosea ni kusema vijana wenzangu, ilitakiwa utuite wazee wenzako.......
Aaah au basi kumbe Nape, makamba , mbowe nao ni vijana.
Leta maneno kijana mwenzetu
KaribuNina shida kidogo mkuu.Hapahapa tuyamalize.Unaniruhusu?
Nawe ulikuwa na kiuno bila mfupoUmenikumbusha mbali sana kijana, enzi ambazo mziki ulikua mziki.......
Si mchezo nakumbuka nilikuwa Ilala bungoni. Mtaa wa Arusha. Nimepita hapo juzi tu kumebadilika kinoma ni mwendo wa maghorofa tuView attachment 3059777
Back the days, nimekumbuka hii kitu, ukichomeka kwenye mkanda, unainua tshirt kidogo ionekane 🤣🤣🤣 na earphones flani hivi, daaah maisha yalikuwa simple saaaana.
Hapo hakuna simu wala nini unavizia demu manually,