Kumbe Sauda Mwilima ndio alikuwa video vixen kwenye nilikupenda - Abby Skilz ft Dully Syke

wakati unashangaa hilo sasa shangaa na hili!,huo wimbo una remix yake na ameshilikishwa mwanadada "Zuhura yunus!".
ndio huyuhuyu yunus aliekuwa BBC Swahili na baadae akajakuwa msemaji wa serikali!..
video hii hapa sauti yakwake lkn huyo anaeonekana sijui ndo yeye mi nishachanganyikiwa nanyie oneni!..😅


View: https://youtu.be/pEf7yNNNuuk?si=GlHH23Ro4FPo3II_
 
Huyo Manka kabisa na komwe lake, Zuhura wa wapi huyo😂😂
 
Nimelia sana na kupakumbuka Mkwakwani Tabora/chuo cha Uhazili pembeni Isungu honey pot!Naanza kulia tena.
 
those were the days dah umenitoa machozi ya kunikumbusha mbali
 
Nisamehewe tu ila nimejichukulia sheria mkononi sana na huyo sauda mwilima, enzi hizo star tv alikuwa akitangaza kipindi kikiitwa BONGO BEATS, nilikuwa nikimuona kwa tv tu nachukua ndoo ya maji kwenda kuoga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…