Kumbe Sauda Mwilima ndio alikuwa video vixen kwenye nilikupenda - Abby Skilz ft Dully Syke

Mbona ni wa juzi aisee! Huko mbali mnakosema mimi nakuona jana, ingekuwa mwanzo wa miaka ya 90 sawa
 
Baada ya hapo tuliingia kwenye DISCMAN ingawa hazikukaa sana sijui zilimezwa na radio stations au simu za mkononi hata sikumbuki.
 
Ulichokosea ni kusema vijana wenzangu, ilitakiwa utuite wazee wenzako.......

Aaah au basi kumbe Nape, makamba , mbowe nao ni vijana.

Leta maneno kijana mwenzetu
Mkuu naomba nikukumbushe sisi bado tunaishi kama vijana wa zamani.

Enzi zetu tulikuwa tunasimamia kucha mwanzo mwisho, vijana wa sasa sijui wanakwama wapi?
 
Sauda mwilima yuko wapi now days, si atakua amezeeka sana? Namtakia maisha mema huko aliko. Alinifurahisha sana na kipindi chake cha startv
Daaah nilikua A -level kipindi hicho,Shuleni Kikianza kipindi chake tu Nipo kwenye Bwalo,wanafunzi tulikua tunakipenda kipindi chake 😀😀😀😀😀, Star Tv ilikua na Watangazaji wazuri Tz
 
Autoreverse!! ilikuwa ni moja ya walkmans za gharama sana, sikumbuki kama ziliwahi kuuzwa hapa nchini, wengi waliokuwa nazo ni either walinunua nje au waliletewa na ndugu zao wa nje.
Kuimiliki tu hii walkman ilikuwa ni alama ya ukwasi au mtoto wa kishua
 
zilikuwa nyingi sana, tena mwishooni around 2005, 2006 zilikuwa zinauzwa sh. 5,000 (elfu tano).
 
zilikuwa nyingi sana, tena mwishooni around 2005, 2006 zilikuwa zinauzwa sh. 5,000 (elfu tano).
Haha 2005 kulisha kuwa na Cd ambayo ilikuwa inafanya vizuri sana kwenye music quality.
Hiii walkman ilitoka miaka ya 90, wakati huo hata cd hakuna. Hizo za elfu tano tano zilikuwa fake copy za mchina
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…