abulaaliyah77
JF-Expert Member
- Oct 13, 2021
- 1,750
- 1,158
Kalale pale ubavuni mwake bac
Nikiona mtu anatoa povu eti kuna mwanasiasa fulani anampambania uwa namdharau sana. Nchi hii aliyekuwa anapambania watu wa chini ni Magufuli peke yake na hakuna mwingine atatokea kwenye kizazi chetu.