Kumbe shida kubwa kwa WanaCHADEMA ilikuwa ni kulamba asali na wala sio maslahi mapana ya umma. Shida kubwa ilikuwa mpate mlo wala sio kutetea wananchi

Kumbe shida kubwa kwa WanaCHADEMA ilikuwa ni kulamba asali na wala sio maslahi mapana ya umma. Shida kubwa ilikuwa mpate mlo wala sio kutetea wananchi

Yule mtu por por amegenda kupind
Anapambania maskini kwa kumnyanyasa tajiri? Anadai Nchi ya maskini lkn kodi anachukua kwa matajiri [emoji23][emoji23][emoji23] angewalipisha kodi maskini.
Alijisahau kua maskini haohao wanamtegemea tajiri kuishi, hakujua ndio anawafanya maskini wazidi kua maskini,

MUNGU FUNDI BWANA
 
Nikiona mtu anatoa povu eti kuna mwanasiasa fulani anampambania uwa namdharau sana. Nchi hii aliyekuwa anapambania watu wa chini ni Magufuli peke yake na hakuna mwingine atatokea kwenye kizazi chetu.

Tangu lini ibilisi akampambania mwananchi. Ibilisi Magufuli aliwatumia wananchi Kama chambo.
 
Wenzenu wanalamba asali nyinyi mpo mitandaoni mnapambana na hiyo mnaita sukuma gang 😂😂

Bavicha wanaenda kwenye mpaka kwenye mechi na t-shirts za katiba mpya alafu wanaemdai katiba mpya anakula bata na Mbowe na Sugu wakiwa wamevaa suti za nguvu hawavai uchafu umeandikwa katiba mpya 😂😂😂

Asali ni tamu tuendelee kuilamba Lissu anachekelea mahela yake anasema mama ni mtenda haki 😄

Katiba Mpya Ni agenda ya CHADEMA sio Mbowe au Sugu. Mbowe akifa leo CHADEMA itaaendelea kudai katiba mpya. Jitahidi kutofautisha.
 
Huu ukaribu wa Mbowe na Ikulu ya Samia unaweza kuonekana unajenga lakini mwisho wa siku CHADEMA watakosa agenda. Na hii ndio ultimate goal ya Samia

Ana motives sawa na marehemu Magufuli japo yeye anakwenda kwa njia tofauti

Mtaalamu mmoja aligundua kwamba it is imperative to “keep your friends close and your enemies closer”
 
Magufuli hajawahi kukutana na CHADEMA.
Hizi picha zilipigwa sehemu gani kama siyo Ikulu (Dar au Chamwino)

1654322103502.png

1654322245884.png
 
Sasa hivi imekuwa kila neno ni maridhiano. Maridhiano gani mnayodai kuwa eti ni kwa ajili ya haki na usalama wa nchi wakati sasa inaonekana mnafumbia macho ufisadi kwa kisingizio cha maridhiano!

Kwa nini hamtaki kukubali ukweli tu kumbe shida yenu kubwa ilikuwa ni kupata chochote kitu kwa ajili ya matumbo yenu?

Mmelamba asali sasa mnaona mmepata kila kitu
[emoji116]View attachment 2249845
Kipindi chadema wanahamasisha watu waandamane, wadai katiba mpya,wadai uchaguzi kudhurumiwa wewe ulikuwa wapi? Ulishawai hata siku moja kuwa nao pamoja?? Wote mulikuwa munamshabia JMP na chama chake! Sheria mbovu zinapitishwa na matamko kutolewa wote mulikuwa mupo pamoja na watawala kipindi chadema anapitia wakati mgumu.

Sasa leo munaona sheria/matamko mbaya ambazo mulikuwa hamuna mpango wa kuungana na chadema kuzizuia na sasa zinawaathiri moja kwa moja na nyinyi bila kujali chama zako n.k sasa munataka chadema itoke kifua mbele kutetea maslahi yenu!! Hii ni hatari zaidi.

Kwangu mimi chadema sitawalaumu kwa chochote kile, kipindi kile walikuwa wenyewe kwenye shida zao na mipango yao na kwasasa hatutakiwi kuwapangia chochote kile.

Ushauri wangu, kama wewe ni ccm basi weka presha kwenye chama chako, kwani bungeni wao wapo wengi sana, na maamuzi yeyote yale wakiamua wanaweza kuyapitisha.
 
Wewe kijana acha dharau. Mimi sio Mataga. Kwani si mlijinasibu kuwa nyie ni wapinga ufisadi?
Kijana ficha ujinga. Kazi ya kupinga ufisadi ni ya kila raia. Nyinyi ndio against chadema na kushabikia chama cha mafisadi. Mngekuwa na akili mngewekeza nguvu nyingi ktk kuisapoti chadema labda leo hii hali ingekuwa tofauti. Principles ipo hivi. Mtu ambaye anakutetea maslahi yako anaitaji sana sapoti yako na usipo onyesha sapoti unamvunja nguvu na ipo siku atachoka na kukuacha na maujinga yako
 
Wewe kijana acha dharau. Mimi sio Mataga. Kwani si mlijinasibu kuwa nyie ni wapinga ufisadi?
Unataka kuueleza umma kwamba Mbowe hana uwezo wa kujilisha yeye na familia yake hadi aende ikulu na unataka watu wakuamini?Hivi vichekesho huwa mnatunga mkiwa wapi?Teh!
 
Sasa hivi imekuwa kila neno ni maridhiano. Maridhiano gani mnayodai kuwa eti ni kwa ajili ya haki na usalama wa nchi wakati sasa inaonekana mnafumbia macho ufisadi kwa kisingizio cha maridhiano!

Kwa nini hamtaki kukubali ukweli tu kumbe shida yenu kubwa ilikuwa ni kupata chochote kitu kwa ajili ya matumbo yenu?

Mmelamba asali sasa mnaona mmepata kila kitu
[emoji116]View attachment 2249845
Wewe shuleni ulienda kusomea upuuzi,zama giza za siasa za kishenzi za kuhasimiana zimepita,roho yako ya kimasikini ndiyo inakutuma kujaza chuki zako humu.Magufuli aliyeleta ushetani huu yuko motoni anavuna alichopanda.
 
Anapambania maskini kwa kumnyanyasa tajiri? Anadai Nchi ya maskini lkn kodi anachukua kwa matajiri [emoji23][emoji23][emoji23] angewalipisha kodi maskini.
Alijisahau kua maskini haohao wanamtegemea tajiri kuishi, hakujua ndio anawafanya maskini wazidi kua maskini,

MUNGU FUNDI BWANA
Ripoti ya CAG imebainisha kuwa yale mabilioni yote aliyowapora matajiri kwa mgongo wa plea bargaining agreement hayajulikani yalipo alikwa anagawana na mafisadi wenziwe. Jiwe alikuwa mpigaji sana.
 
Huu ukaribu wa Mbowe na Ikulu ya Samia unaweza kuonekana unajenga lakini mwisho wa siku CHADEMA watakosa agenda. Na hii ndio ultimate goal ya Samia

Ana motives sawa na marehemu Magufuli japo yeye anakwenda kwa njia tofauti

Mtaalamu mmoja aligundua kwamba it is imperative to “keep your friends close and your enemies closer”
Hiyo kanuni uliyo bold ni two way traffic. Usiwaone Chadema hawajui kitu.
 
Tangu lini ibilisi akampambania mwananchi. Ibilisi Magufuli aliwatumia wananchi Kama chambo.
Mwite ibilisi shetani zimwi nunda lakini hauwezi badilisha reality kuwa Magufuli ni alama ya utetezi kwa watu wa tabaka la chini. Inawezekana unaumia sana kuusikia huu ukweli ila ndio haiwezekani kubadilisha chochote hata wewe kama una akili umeshajua unajitesa bure mtaani tunajua who Magufuli was
 
Hiyo picha ya juu hapo ni nyumbani Kwa Marehemu kaka yake Mbowe wakati wa msiba wake, na dhalim alikwenda Kwa sababu huyo kaka yake Mbowe alikuwa afisa mwandamizi wa JWTZ.
Hujui kuwa kiti alichokalia Magufuli hapo ni cha Ikulu? Yaani unategemea rais anakwenda kwenye msiba na kiti chake?

Huo Msiba unaosema picha zake ziko nyingi tu, ikiwa ni pamoja na hii. Kama unajua kufanya frensic analysis unaweza kuona kujua kuwa picha hizo hazikupigwa siku moja kwa kuangalia mfuko wa kifuani mwa Magufuli kalamu alizokuwa nazo wakati wa kupiga picha.

http://blog.ikulu.go.tz/wp-content/uploads/2019/07/4-7.jpg
.
 
Wenzenu wanalamba asali nyinyi mpo mitandaoni mnapambana na hiyo mnaita sukuma gang [emoji23][emoji23]

Bavicha wanaenda kwenye mpaka kwenye mechi na t-shirts za katiba mpya alafu wanaemdai katiba mpya anakula bata na Mbowe na Sugu wakiwa wamevaa suti za nguvu hawavai uchafu umeandikwa katiba mpya [emoji23][emoji23][emoji23]

Asali ni tamu tuendelee kuilamba Lissu anachekelea mahela yake anasema mama ni mtenda haki [emoji1]
Bavicha ni wpumbavu sana mkuu
 
Back
Top Bottom