Kumbe Shomari Kapombe ni mkiristu?

Kumbe Shomari Kapombe ni mkiristu?

Globally is islam is fastest growing religion....kitu ambacho unatakiwa ukielewe kila dini inakuwa kwa namna yake kila siku watu wanatoka islam waneenda ukiristo , ukiristo wanaenda islam hata wahindu na Buddha dini zao zinakuwa kila siku ,lakini pia hata atheist jamii yako inazidi kupokea wageni kutoka kwenye dini zote kila uchao .
Don't be too excited
Hatukatai ndivyo ilivyo but din ya kwanza kuwa na wafuasi wengi duniani ni christians 2.7bilion na muslim ni1.4bilion sasa nadhani jibu unalo
 
mbona amekaa kama mzanzibari halafu sio kwa ajili ya mbususu tu , kapombe aliwahi kupigwa kitu kizito sana kikamuweka kitandani ( na asinge weza kabisa kucheza mpira) akapelekwa morogoro kwa yule mmama mlokole anae tibu kwa dawa za mimea yeye masharti yake ni kwamba ili akutibu maradhi ya kipepo ni lazima kwanza umpokee Yesu kama bwana na mwokozi wa maisha yako, so kapombe hakuwa na jinsi zaidi ya kufanya hivyo na hakuamini yule mama alimtibu kapombe akapona kabisa na kurejea kwenye mpira mpaka sasa unamuona. kapombe baada ya kupata uponyaji hakuwa na jinsi zaidi ya kuamua kuwa mlokole kabisa maana alisha hangaika sana na alishajua ndio mwisho wake
Wallah duniani Kuna mitihani...hii ndio unaitwa mitihani Sasa.
 
Hata Mimi nilishaangaa Ile clip aliosemea goli hili ni zawadi ya Mama Esther kwa nilichomkosea....ila mwanamke nae akikushika mahala
 
Mimi nimejua jana usiku kwenye mechi ya Simba na Yanga nilikaa jirani na mtu anae sali nae kanisa moja KKKT. Alibadilisha dini baada ya kuoa

Kwahiyo ameritadi kwa sababu ya mwanamke?
 
mbona amekaa kama mzanzibari halafu sio kwa ajili ya mbususu tu , kapombe aliwahi kupigwa kitu kizito sana kikamuweka kitandani ( na asinge weza kabisa kucheza mpira) akapelekwa morogoro kwa yule mmama mlokole anae tibu kwa dawa za mimea yeye masharti yake ni kwamba ili akutibu maradhi ya kipepo ni lazima kwanza umpokee Yesu kama bwana na mwokozi wa maisha yako, so kapombe hakuwa na jinsi zaidi ya kufanya hivyo na hakuamini yule mama alimtibu kapombe akapona kabisa na kurejea kwenye mpira mpaka sasa unamuona. kapombe baada ya kupata uponyaji hakuwa na jinsi zaidi ya kuamua kuwa mlokole kabisa maana alisha hangaika sana na alishajua ndio mwisho wake
Moro sehem gan tafadhali
 
Back
Top Bottom