mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
Kama duniani wanawake wapo kwanini isiwe na mbinguni?
Nadhani kuna haja ya kuwauliza viongozi wenu wa dini.
Kama wanaamini kuna mbingu je wanaume rijali watalipwa Nini?
Au kufanya mapenzi mwisho duniani?
MUWE MNATUMIA AKILI.
Kama hapa wapo na tunawatumia kwanini huko mbinguni wasiwepo!
Nadhani ukristo ni dini FEKI

Ni bora maana kukaririshwa mambo ambayo hata huelewi nani anataka.
Mara sijui ukifa unapewa wanawake vigori 72. Uongo mtupu