Kumbe Shomari Kapombe ni mkiristu?

Kumbe Shomari Kapombe ni mkiristu?

mbona amekaa kama mzanzibari halafu sio kwa ajili ya mbususu tu , kapombe aliwahi kupigwa kitu kizito sana kikamuweka kitandani ( na asinge weza kabisa kucheza mpira) akapelekwa morogoro kwa yule mmama mlokole anae tibu kwa dawa za mimea yeye masharti yake ni kwamba ili akutibu maradhi ya kipepo ni lazima kwanza umpokee Yesu kama bwana na mwokozi wa maisha yako, so kapombe hakuwa na jinsi zaidi ya kufanya hivyo na hakuamini yule mama alimtibu kapombe akapona kabisa na kurejea kwenye mpira mpaka sasa unamuona. kapombe baada ya kupata uponyaji hakuwa na jinsi zaidi ya kuamua kuwa mlokole kabisa maana alisha hangaika sana na alishajua ndio mwisho wake
Kwamba Manula alimpeleka kwa mtaalamu aliyeko mahenge
 
Kwa sababu jina limeishia na pombe ndo ukasema katokea ziwa
 
Kwamba Manula alimpeleka kwa mtaalamu aliyeko mahenge
kumbe unamjua? sio mtaalamu yule ni prophet. Very very powerful. Ana upako mkubwa sana na amewasaidia wachezaji wengi sana.

Ukifika Mahenge wewe ulizia kwa mama anaye saidia wachezaji utapelekwa
 
Hawa wakina Pombe inaelekea wametoka kwenye ukoo wa walevi sana.
 
Looo hii nayo ni mada ya kujadiliwa, ndio maana nchi hii hatuendi mbele, Imani ya kiroho ya Mr.Shomari Kapombe humu JF inatuhusu nini?,inakera sana hichi kizazi cha dot.com
Waafrika ni ngozi ya Tako,sasa dini ina tija gani kwenye kipaji chake?badala ya kujadili jinsi tutakavyozalisha wakina Kapombe wengi,tunawaza dini na kwbila zao!!vijana inabidi tujiulize kwanini tuna Bakheresa mmoja,diamond mmoja,Hashim thsbit mmoja,miradi ayo mmoja!kwanini hatuna watu kama Eron musk,bill Gate!Kuna watu hawajuhi kwamba Kuna mainjinia watz kwenye kampuni ya Tesra huko US!
Nilibahatika kukutana na wake ya SA nikawauliza waliwezaje kupata kazi kwenye makampuni ya kimataifa!jamaa akasema yeye aliomba,akafanyiwa usaili mara nne,akapata kazi sasa hv yeye ni mtu wa kuruka na pipa tu,vijana wazeni pakubwa
 
Welldone mkuu umeongea facts tupu na sisi watanzania tuliowengi hatupendi kuongea ukweli, tumejaa unafiki, uongo na uoga wa kipumbavu, nchi hii tuna wataalamu wengi tu, nenda hapo Namibia, Botswana wapo wengi tu na ni watanzania waliotengeneza systems ndani ya nchi hizi na zinafanya kazi, kama kuna mwana JF yeyote aliyewahi kuombwa rushwa ndani ya Botswana, pls thibitisha hilo hapa Nami kama ni kweli nitakurudishia hicho ulichotoa kwao
 
Back
Top Bottom