Kumbe Shomari Kapombe ni mkiristu?

Kumbe Shomari Kapombe ni mkiristu?

kumbe unamjua? sio mtaalamu yule ni prophet. Very very powerful. Ana upako mkubwa sana na amewasaidia wachezaji wengi sana.

Ukifika Mahenge wewe ulizia kwa mama anaye saidia wachezaji utapelekwa
Manula ni din gani?
 
Uyo kapombe hapunguzi lolote kwa wa islam ...
Ndio lakini kwanini siku hizi waislam wengi wanaikimbia hiyo din tena tz inaongoza kila leo kanisani watu zaidi ya kumi wanabatizwa jiulize kimetokea nini😂😂😂😀😀
 
Mbona hushangai wakina Anelka,Rodrigaz, Poul Pogba,Frenk rebbery wakiwa makka wakifanya ibada za hijja.
 
Ndio lakini kwanini siku hizi waislam wengi wanaikimbia hiyo din tena tz inaongoza kila leo kanisani watu zaidi ya kumi wanabatizwa jiulize kimetokea nini😂😂😂😀😀
Hizo ni filamu
 
Ndio lakini kwanini siku hizi waislam wengi wanaikimbia hiyo din tena tz inaongoza kila leo kanisani watu zaidi ya kumi wanabatizwa jiulize kimetokea nini[emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3]
Hao si wana act una uhakika gani ni waislam kweli tatizo mnatumia nguvu nyingi kuwaaminisha watu kuwa wanakimbilia hyo dini inayofungisha ndoa jinsia moja kwenye nyumba takatifu na nyi mnakubali kama wanavyowadanganya kuwaombea vilema na kutembea wangekuwa wameisha mtaani.
 
Kapombe ni Mkatoliki. Ila nafikiri tuachane na huu mjadala utachochea mambo ya kijinga yasiyo ya kimpira.
wala sina maana hiyo. wala sikuwa nimelenga kuzungumzia udini wa mtu. sema nini nimegundua hapa JF kuna vilaza wengi sana. Nashindwa kuelewa watu wanashindwa vipi kuelewa kwamba suala la mtoa mada lilikuwa out of curiousity and it has nothing to do with someone's religion.
 
Amekuwa akitushangaza inafahamika ni muislam ila hupiga ishara ya msalaba, Angalau sasa iko clear.

Watu msio angalia mpira mnaona kama hili ni jambo dogo, lakini ni kubwa kweli kweli.
Watu wa mpira hawapendi detail hata moja kuhusu mchezaji iwapite.
ur the true son of ur father. afadhali umenisaidia kuwaelewesha hao vilaza
 
Mbona hushangai wakina Anelka,Rodrigaz, Poul Pogba,Frenk rebbery wakiwa makka wakifanya ibada za hijja.
me mwenyewe muislamu bro. sikuwa na maana ya udini wala nini. watu wamenielewa ndivyo sivyo. i was just curious. i just wanted to starve my doubt
 
Mimi nimejua jana usiku kwenye mechi ya Simba na Yanga nilikaa jirani na mtu anae sali nae kanisa moja KKKT. Alibadilisha dini baada ya kuoa
Hongera Sana kwake maana amechagua Uzima, amechagua Fungu lilio bora.
 
Ndio wacha tulijadili coz kuna watu wakisikia hivi hutaka kujinyonga kabisa hao sio wengine ni watoto wa mudy😂😂😂😂
ukianza kufatilia dini za wachezaji utaacha hata kushabikia mpira....Maana Simba na Yanga zimejaa waislamu tupu, kuanzia wachezaji mpaka viongozi, acha ujinga.....Mods futeni huu upuuzi.
 
Kapombe mtu poa saana.anaishi kinyerezi

Huwa anatembea kwa miguu jioni just low key person. Kuna kisaluni flani hv pale kituo cha msikitini kinyerez huwa anakujaga kunyoa saluni ya kawaida saana

Ameoa mwanamke mmoja hivi ambaye alikuwa ana mtoto mkubwa tuu form three now huyo mtoto na mama wanasali kinyerez kkkt so probably nayeye pia

Mungu ambariki Kapombe just a very humble person
 
Back
Top Bottom