ielewemitaa
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 10,764
- 9,477
Imekufa?Vyovyote vile, kuhama hiyo dini kafanya la maana sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Imekufa?Vyovyote vile, kuhama hiyo dini kafanya la maana sana
Kama hapo tu wameongopa, si na hata kwenye mengine wameongopaWe ni mjinga.....kwenye mafundisho yote umekariri hapo tu
Ila nyie ni mazwazwa sana.Kwahiyo ukweli ni Mungu kupigwa na wanadamu aliowaumba?
Sasa Kama Dadako Tu Wa Kiislamu analiwa na Hao Wala Nguruwe itakuwaje Nguruwe asiliweWatu wa kanda ya ziwa sijui wapoje wanatumia majina yetu ya kiislamu halafu ni wakristo,wala nguruwe wakubwa.[emoji57]
Asee kweli Moderator Maxence MeloKapombe ni Mkatoliki. Ila nafikiri tuachane na huu mjadala utachochea mambo ya kijinga yasiyo ya kimpira.
Nikuongezee ulinzi askari?Mbususu ya mama esta ilimpa shomary kapombe wokovu wa msalaba
Ila hata kwa muonekano shomary kapombe hana haiba ya Wafuasi wa mudy
Unaomba backup kizembe hivyo?Asee kweli Moderator Maxence Melo
Amekuwa akitushangaza inafahamika ni muislam ila hupiga ishara ya msalaba, Angalau sasa iko clear.hata kwny mpira bado tuna interest ya kujua dini za Wachezaji ?
duu sijawahi kufikiria hili
Wewe ndio zwazwa mkubwa sana Mungu hawezi temewa mate na watu alio wafinyanga mwenyewe, hata baba yako ndani ukimtukana tu unapata laanaIla nyie ni mazwazwa sana.
Mara muambiwe ukifa baada ya muda unaoza, alafu tena mara mnaambiwa mtapewa wanawake 72
Papuchi mbaya sana unaweza mkana hata baba yako unae muonaMbususu ya mama esta ilimpa shomary kapombe wokovu wa msalaba
Ila hata kwa muonekano shomary kapombe hana haiba ya Wafuasi wa mudy
Kiongozi unatakiwa ujue kuwa kwenye wengi Pana mengi.......ungempuuzia tu uendelee na wachangiaji wengine waliovutiwa na Uzi wako.....ingekuwa ina muhusu bwana ako muuza bisi makumbusho isinge kuwa story lakini kwa kuwa inamuhusu star lazima iwe story. style up biatch. dont be an icehall
Kipindi uislam unafika Kanda ya ziwa ....Misikiti mingi ilikuwa inagawa vyakula vya bure vijijini huko kwenye njaa ili kuwavuta watu....Sasa Watu walikuwa wanajiita/kuitwa hayo majina ili wakale ubwabwa wa bure misikitiniNilishangaa majina ya kina shabani kanda ya ziwa ila hakuna mwenye imani kutoka saudi arabia
Kwa Kapombe angekufa bila huyo mama mlokole?mbona amekaa kama mzanzibari halafu sio kwa ajili ya mbususu tu , kapombe aliwahi kupigwa kitu kizito sana kikamuweka kitandani ( na asinge weza kabisa kucheza mpira) akapelekwa morogoro kwa yule mmama mlokole anae tibu kwa dawa za mimea yeye masharti yake ni kwamba ili akutibu maradhi ya kipepo ni lazima kwanza umpokee Yesu kama bwana na mwokozi wa maisha yako, so kapombe hakuwa na jinsi zaidi ya kufanya hivyo na hakuamini yule mama alimtibu kapombe akapona kabisa na kurejea kwenye mpira mpaka sasa unamuona. kapombe baada ya kupata uponyaji hakuwa na jinsi zaidi ya kuamua kuwa mlokole kabisa maana alisha hangaika sana na alishajua ndio mwisho wake
Lazima tuiongelee coz kuna watu wakisikia hivi hufikia hatua ya kujinyonga 🤣🤣😂😂😂😂 watoto wa mudyLooo hii nayo ni mada ya kujadiliwa, ndio maana nchi hii hatuendi mbele, Imani ya kiroho ya Mr.Shomari Kapombe humu JF inatuhusu nini?,inakera sana hichi kizazi cha dot.com
Kumbe wapo wengi🤣🤣😂😂😂Watu wa kanda ya ziwa sijui wapoje wanatumia majina yetu ya kiislamu halafu ni wakristo,wala nguruwe wakubwa.[emoji57]
Ndio wacha tulijadili coz kuna watu wakisikia hivi hutaka kujinyonga kabisa hao sio wengine ni watoto wa mudy😂😂😂😂Mzee, hili nalo ni la kujadili?