Kumbe Shomari Kapombe ni mkiristu?

Kumbe Shomari Kapombe ni mkiristu?

hata kwny mpira bado tuna interest ya kujua dini za Wachezaji ?

duu sijawahi kufikiria hili
Amekuwa akitushangaza inafahamika ni muislam ila hupiga ishara ya msalaba, Angalau sasa iko clear.

Watu msio angalia mpira mnaona kama hili ni jambo dogo, lakini ni kubwa kweli kweli.
Watu wa mpira hawapendi detail hata moja kuhusu mchezaji iwapite.
 
Ila nyie ni mazwazwa sana.
Mara muambiwe ukifa baada ya muda unaoza, alafu tena mara mnaambiwa mtapewa wanawake 72
Wewe ndio zwazwa mkubwa sana Mungu hawezi temewa mate na watu alio wafinyanga mwenyewe, hata baba yako ndani ukimtukana tu unapata laana
 
ingekuwa ina muhusu bwana ako muuza bisi makumbusho isinge kuwa story lakini kwa kuwa inamuhusu star lazima iwe story. style up biatch. dont be an icehall
Kiongozi unatakiwa ujue kuwa kwenye wengi Pana mengi.......ungempuuzia tu uendelee na wachangiaji wengine waliovutiwa na Uzi wako.....
 
Nilishangaa majina ya kina shabani kanda ya ziwa ila hakuna mwenye imani kutoka saudi arabia
Kipindi uislam unafika Kanda ya ziwa ....Misikiti mingi ilikuwa inagawa vyakula vya bure vijijini huko kwenye njaa ili kuwavuta watu....Sasa Watu walikuwa wanajiita/kuitwa hayo majina ili wakale ubwabwa wa bure misikitini
 
mbona amekaa kama mzanzibari halafu sio kwa ajili ya mbususu tu , kapombe aliwahi kupigwa kitu kizito sana kikamuweka kitandani ( na asinge weza kabisa kucheza mpira) akapelekwa morogoro kwa yule mmama mlokole anae tibu kwa dawa za mimea yeye masharti yake ni kwamba ili akutibu maradhi ya kipepo ni lazima kwanza umpokee Yesu kama bwana na mwokozi wa maisha yako, so kapombe hakuwa na jinsi zaidi ya kufanya hivyo na hakuamini yule mama alimtibu kapombe akapona kabisa na kurejea kwenye mpira mpaka sasa unamuona. kapombe baada ya kupata uponyaji hakuwa na jinsi zaidi ya kuamua kuwa mlokole kabisa maana alisha hangaika sana na alishajua ndio mwisho wake
Kwa Kapombe angekufa bila huyo mama mlokole?
 
Kuna watu wakisikia hili wanajambajamba hao huku wakitaka kujinyonga🤣🤣😂😂😂😂
 
Looo hii nayo ni mada ya kujadiliwa, ndio maana nchi hii hatuendi mbele, Imani ya kiroho ya Mr.Shomari Kapombe humu JF inatuhusu nini?,inakera sana hichi kizazi cha dot.com
Lazima tuiongelee coz kuna watu wakisikia hivi hufikia hatua ya kujinyonga 🤣🤣😂😂😂😂 watoto wa mudy
 
Back
Top Bottom