Kumbe Shomari Kapombe ni mkiristu?

Kumbe Shomari Kapombe ni mkiristu?

Hujui unachokiongea,,,Muislamu anaeujua uisilamu hawezi badili dini.

Ni rahisi sana kutoka kwenye ujinga na kuingia kwenye uisilamu.

Mchungaji akiri ukristo ni upagani👇🏽

Acha hizo wewe hujaona mashehe waliokimbia uislam wapo kibao tu
 
Katika muujiza mkuu, kuliko miujiza yote ni pale mtu anapokuja kwa Kristo. Wokovu ni mpango wa Mungu kwa wanadamu. WOKOVU NI WETU SOTE.

YESU NI BWANA NA MWOKOZI
 
Hawa jamaa wanaburuzwa Sana.
Wanaamini kuna maisha baada ya kufa.lakini wanashangaa waislam kuahidiwa wanawake.
Sasa wao MBINGUNI WATAINGIA WANAUME WATUPU?
SI ndo ushoga wenyewe huo?
Sio "unadhani ukristoni dinifeki"
[emoji1428]ukristo sio dini sheikh.

Mchungaji akiri ukristo ni UPAGANI.[emoji1426]
 
Hawa jamaa wanaburuzwa Sana.
Wanaamini kuna maisha baada ya kufa.lakini wanashangaa waislam kuahidiwa wanawake.
Sasa wao MBINGUNI WATAINGIA WANAUME WATUPU?
SI ndo ushoga wenyewe huo?

Wanatia huruma sana,,,kwenye midahalo empty kabisa hawa mpaka wanatia huruma,,kama umeisikiliza mpaka mwisho wanakanyagana wenyewe kwa wenyewe 😁
 
Ni bora maana kukaririshwa mambo ambayo hata huelewi nani anataka.
Mara sijui ukifa unapewa wanawake vigori 72. Uongo mtupu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3]
 
Hao si wana act una uhakika gani ni waislam kweli tatizo mnatumia nguvu nyingi kuwaaminisha watu kuwa wanakimbilia hyo dini inayofungisha ndoa jinsia moja kwenye nyumba takatifu na nyi mnakubali kama wanavyowadanganya kuwaombea vilema na kutembea wangekuwa wameisha mtaani.
Hivi hamuwezi kujadili dini bila kuingiza mapenzi ya jinsia 1?
Km hakun hoja achaneni na mada husika.
 
Kapombe mtu poa saana.anaishi kinyerezi

Huwa anatembea kwa miguu jioni just low key person. Kuna kisaluni flani hv pale kituo cha msikitini kinyerez huwa anakujaga kunyoa saluni ya kawaida saana

Ameoa mwanamke mmoja hivi ambaye alikuwa ana mtoto mkubwa tuu form three now huyo mtoto na mama wanasali kinyerez kkkt so probably nayeye pia

Mungu ambariki Kapombe just a very humble person
Mama Esther,
 
Surat Al-'imran
3_19.gif

19. Bila ya shaka Dini mbele ya Mwenyezi Mungu ni Uislamu. Na walio pewa Kitabu hawakukhitalifiana ila baada ya kuwajia ujuzi, kwa sababu ya uhasidi ulio kuwa baina yao. Na anaye zikataa Ishara za Mwenyezi Mungu basi hakika Mwenyezi Mungu ni Mwepesi wa kuhisabu. 19

3_20.gif

20. Na pindi wakikuhoji, basi sema: Mimi nimeusalimisha uso wangu kumwelekea Mwenyezi Mungu, na kadhaalika walio nifuata. Na waambie walio pewa Kitabu na wasio na kisomo: Je! Mmesilimu? Wakisilimu basi wameongoka. Na wakikengeuka basi juu yako ni kufikisha ujumbe tu. Na Mwenyezi Mungu ni Mwenye kuwaona waja wake. 20

3_21.gif

21. Hakika wanao zikataa Ishara za Mwenyezi Mungu, na wakawauwa Manabii pasipo haki, na wakawauwa watu waamrishao Haki wabashirie adhabu kali. 21

3_22.gif

22. Hao ndio ambao vitendo vyao vimeharibika duniani na Akhera. Nao hawatapata wa kuwanusuru. 22

3_23.gif

23. Huwaoni wale walio pewa sehemu ya Kitabu? Wanaitwa kukiendea Kitabu cha Mwenyezi Mungu ili kiwahukumu baina yao; kisha baadhi yao wanageuka wanakikataa. 23

3_24.gif

24. Hayo ni kwa sababu walisema: Hautatugusa Moto isipo kuwa kwa siku chache tu. Na yakawadanganya katika dini yao yale ambayo wenyewe waliyo kuwa wakiyazua. 24
 
Ila nyie ni mazwazwa sana.
Mara muambiwe ukifa baada ya muda unaoza, alafu tena mara mnaambiwa mtapewa wanawake 72
Kina nani wamesema kuwa straight .
Come on! I need you to show me where you found these
 
Ndio lakini kwanini siku hizi waislam wengi wanaikimbia hiyo din tena tz inaongoza kila leo kanisani watu zaidi ya kumi wanabatizwa jiulize kimetokea nini😂😂😂😀😀
Globally is islam is fastest growing religion....kitu ambacho unatakiwa ukielewe kila dini inakuwa kwa namna yake kila siku watu wanatoka islam waneenda ukiristo , ukiristo wanaenda islam hata wahindu na Buddha dini zao zinakuwa kila siku ,lakini pia hata atheist jamii yako inazidi kupokea wageni kutoka kwenye dini zote kila uchao .
Don't be too excited
 
Watu wa kanda ya ziwa sijui wapoje wanatumia majina yetu ya kiislamu halafu ni wakristo,wala nguruwe wakubwa.[emoji57]
toka juzi hapa nilipo biashara ya nguruwe inakimbia balaa

kama mwezi nyuma ilibidi nifunge biashara
 
Surat Al-'imran
3_19.gif

19. Bila ya shaka Dini mbele ya Mwenyezi Mungu ni Uislamu. Na walio pewa Kitabu hawakukhitalifiana ila baada ya kuwajia ujuzi, kwa sababu ya uhasidi ulio kuwa baina yao. Na anaye zikataa Ishara za Mwenyezi Mungu basi hakika Mwenyezi Mungu ni Mwepesi wa kuhisabu. 19

3_20.gif

20. Na pindi wakikuhoji, basi sema: Mimi nimeusalimisha uso wangu kumwelekea Mwenyezi Mungu, na kadhaalika walio nifuata. Na waambie walio pewa Kitabu na wasio na kisomo: Je! Mmesilimu? Wakisilimu basi wameongoka. Na wakikengeuka basi juu yako ni kufikisha ujumbe tu. Na Mwenyezi Mungu ni Mwenye kuwaona waja wake. 20

3_21.gif

21. Hakika wanao zikataa Ishara za Mwenyezi Mungu, na wakawauwa Manabii pasipo haki, na wakawauwa watu waamrishao Haki wabashirie adhabu kali. 21

3_22.gif

22. Hao ndio ambao vitendo vyao vimeharibika duniani na Akhera. Nao hawatapata wa kuwanusuru. 22

3_23.gif

23. Huwaoni wale walio pewa sehemu ya Kitabu? Wanaitwa kukiendea Kitabu cha Mwenyezi Mungu ili kiwahukumu baina yao; kisha baadhi yao wanageuka wanakikataa. 23

3_24.gif

24. Hayo ni kwa sababu walisema: Hautatugusa Moto isipo kuwa kwa siku chache tu. Na yakawadanganya katika dini yao yale ambayo wenyewe waliyo kuwa wakiyazua. 24
Yule mfanyabiashara bwana Mudi aliwatia upofu sana!
 
Yule mfanyabiashara bwana Mudi aliwatia upofu sana!

Yule mchungaji aliwaingiza mjini huko moshi mkaishia kufa kwenye mafuta ya upako anaitwa nani?😁 alaf jamaa akasepa zake daslam huku watu wake wakiangamia.
 
Back
Top Bottom