Kumbe Shomari Kapombe ni mkiristu?

Hatukatai ndivyo ilivyo but din ya kwanza kuwa na wafuasi wengi duniani ni christians 2.7bilion na muslim ni1.4bilion sasa nadhani jibu unalo
 
Wallah duniani Kuna mitihani...hii ndio unaitwa mitihani Sasa.
 
Hata Mimi nilishaangaa Ile clip aliosemea goli hili ni zawadi ya Mama Esther kwa nilichomkosea....ila mwanamke nae akikushika mahala
 
Mimi nimejua jana usiku kwenye mechi ya Simba na Yanga nilikaa jirani na mtu anae sali nae kanisa moja KKKT. Alibadilisha dini baada ya kuoa

Kwahiyo ameritadi kwa sababu ya mwanamke?
 
Moro sehem gan tafadhali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…