Kumbe siyo kila mwalimu atapewa kishkwambi kama alivyosema Waziri Mkuu!

Mlalamikaji daily

JF-Expert Member
Joined
May 19, 2014
Posts
744
Reaction score
1,621
Naomba sana Jamii forums Uzi huu ikiwezekana ufikishwe Kwa ofisi ya waziri mkuu,

Tar 4 mwezi November 2022 waziri mkuu akizindua zoezi la ugawaji vishikwambi namnukuu, "kila mwalimu apate kishikwambi, idadi ya walimu tunaijua na idadi ya vishikwambi tunaijua!"

Kumbe bhana ni kama Ile kauli ya "yupo ofisini anachapa kazi zake, anawasalimia sana!"

Sasa Leo hii unaambiwa vishikwambi havitoshi na imebidi utolewe muongozo ufuatao;

1. MAELEKEZO WA MGAWANYO NGAZI YA SHULE
Vishikwambi ngazi ya Shule vigawanywe kulingana na mgawanyo wa Majukumu kwenye Taasisi husika. Aidha magawanyo huu haumaanishi wanaopewa ndio watakuwa wamiliki wa kishikwambi, kishikwambi chochote kitatumiwa na mwalimu yoyote kutekeleza majukumu ya Taasisi husika.

1.2.1 .Vipaumbele vya mgawanyo Elimu Msingi
Mwalimu Mkuu
Mwalimu Mkuu Msaidizi
Mwalimu wa Taaluma
Mwalimu wa Takwimu
Mwalimu wa Darasa la kwanza na la pili
Mhasibu wa shule(Mwalimu wa Fedha)

Aidha mwalimu mwenye majukumu yanayoingiliana atapewa kishikwambi kimoja kwa majukumu yote.

1.2.2 Vipaumbele vya Mgawanyo Elimu Sekondari
Vishikwambi Elimu Sekodari vigawanywe kwa kuzingatia mtiririko ufuatao:-
Mkuu wa shule
Makamu Mkuu wa shule
Mwalimu wa Taaluma
Mwalimu wa Malezi na Nidhamu
Mwalimu wa Takwimu
Mwalimu wa Somo la ICS(kama shule inafundisha masomo hayo)
Mhasibu
Mwalimu wa Miradi/ujenzi
Aidha mwalimu mwenye majukumu yanayoingiliana atapewa kishikwambi kimoja kwa majukumu yote!

Na hivyo ndivyo ilivyo sasa.

Naomba tena Waziri Mkuu ajitokeze kukanusha kauli yake ya kishikwambi Kwa kila mwalimu na aseme sasa ni kishikwambi Kwa kila shule!!

Vinginevyo msiwafanye walimu kama vitoto!!
 
Naomba sana Jamii forums Uzi huu ikiwezekana ufikishwe Kwa ofisi ya waziri mkuu,

Tar 4 mwezi November 2022 waziri mkuu akizindua zoezi la ugawaji vishikwambi namnukuu..

'kila mwalimu apate kishikwambi, idadi ya walimu tunaijua na idadi ya vishikwambi tunaijua!"

Kumbe bhana ni kama Ile kauli ya "yupo ofisini anachapa kazi zake, anawasalimia sana!"

Sasa Leo hii unaambiwa vishikwambi havitoshi!! Na imebidi utolewe muongozo ufuatao...

1 MAELEKEZO WA MGAWANYO NGAZI YA SHULE
Vishikwambi ngazi ya Shule vigawanywe kulingana na mgawanyo wa Majukumu kwenye Taasisi husika.Aidha magawanyo huu haumaanishi wanaopewa ndio watakuwa wamiliki wa kishikwambi,kishikwambi chochote kitatumiwa na mwalimu yoyote kutekeleza majukumu ya Taasisi husika.
1.2.1 .Vipaumbele vya Mgawanyo Elimu Msingi
Mwalimu Mkuu
Mwalimu Mkuu Msaidizi
Mwalimu wa Taaluma
Mwalimu wa Takwimu
Mwalimu wa Darasa la kwanza na la pili
Mhasibu wa shule(Mwalimu wa Fedha)
Aidha mwalimu mwenye majukumu yanayoingiliana atapewa kishikwambi kimoja kwa majukumu yote.
1.2.2 Vipaumbele vya Mgawanyo Elimu Sekondari
Vishikwambi Elimu Sekodari vigawanywe kwa kuzingatia mtiririko ufuatao:-
Mkuu wa shule
Makamu Mkuu wa shule
Mwalimu wa Taaluma
Mwalimu wa Malezi na Nidhamu
Mwalimu wa Takwimu
Mwalimu wa Somo la ICS(kama shule inafundisha masomo hayo)
Mhasibu
Mwalimu wa Miradi/ujenzi
Aidha mwalimu mwenye majukumu yanayoingiliana atapewa kishikwambi kimoja kwa majukumu yote!

Na hivyo ndivyo ilivyo Sasa,
Naomba Tena waziri mkuu ajitokeze kukanusha kauli yake ya kishikwambi Kwa Kila mwalimu na aseme Sasa ni kishikwambi Kwa Kila shule!!

Vinginevyo msiwafanye walimu kama vitoto!!
Mi ni mwalimu ila sitaki kishkwambi.
Niboreshewe tu maslahi ikiwa ni pamoja na mshahara, rent allowance, transport allowance nk.
Wananipa ipad na umeme hakuna, likiishiwa chaji hadi kwa jirani. Wakiiharibu itakuwaje?

Halafu kuna mikoa walimu wakuu walipewaga vishkwambi, hivi bado vipo? Vinafanya kazi?
 
Utakuta walimu wanazitumia kuangalia porno, Bora kwanza wapewe viongozi
Mi ni mwalimu msubiri ajira na expert kwenye industry ya porn. Nikija kipata hicho kitakuwaga special for XXX
 
Ikumbukwe kuwa, Waziri Mkuu alisema kila Mwalimu atapata Kishkwambi, lakini taarifa zilizopo ni kwamba, si kila Mwalimu atapata Kishkwambi.

Hapo tayari wahuni wameshapiga kama ilivyo kawaida ya awamu hii kupigwa kila kona.
Kabisa
 
Vitawasaidia kuboresha ufanisi wa kazi zao!
 
Naomba sana Jamii forums Uzi huu ikiwezekana ufikishwe Kwa ofisi ya waziri mkuu,

Tar 4 mwezi November 2022 waziri mkuu akizindua zoezi la ugawaji vishikwambi namnukuu..

'kila mwalimu apate kishikwambi, idadi ya walimu tunaijua na idadi ya vishikwambi tunaijua!"

Kumbe bhana ni kama Ile kauli ya "yupo ofisini anachapa kazi zake, anawasalimia sana!"

Sasa Leo hii unaambiwa vishikwambi havitoshi!! Na imebidi utolewe muongozo ufuatao...

1 MAELEKEZO WA MGAWANYO NGAZI YA SHULE
Vishikwambi ngazi ya Shule vigawanywe kulingana na mgawanyo wa Majukumu kwenye Taasisi husika. Aidha magawanyo huu haumaanishi wanaopewa ndio watakuwa wamiliki wa kishikwambi, kishikwambi chochote kitatumiwa na mwalimu yoyote kutekeleza majukumu ya Taasisi husika.

1.2.1 .Vipaumbele vya Mgawanyo Elimu Msingi
Mwalimu Mkuu
Mwalimu Mkuu Msaidizi
Mwalimu wa Taaluma
Mwalimu wa Takwimu
Mwalimu wa Darasa la kwanza na la pili
Mhasibu wa shule(Mwalimu wa Fedha)
Aidha mwalimu mwenye majukumu yanayoingiliana atapewa kishikwambi kimoja kwa majukumu yote.

1.2.2 Vipaumbele vya Mgawanyo Elimu Sekondari
Vishikwambi Elimu Sekodari vigawanywe kwa kuzingatia mtiririko ufuatao:-
Mkuu wa shule
Makamu Mkuu wa shule
Mwalimu wa Taaluma
Mwalimu wa Malezi na Nidhamu
Mwalimu wa Takwimu
Mwalimu wa Somo la ICS(kama shule inafundisha masomo hayo)
Mhasibu
Mwalimu wa Miradi/ujenzi
Aidha mwalimu mwenye majukumu yanayoingiliana atapewa kishikwambi kimoja kwa majukumu yote!

Na hivyo ndivyo ilivyo Sasa,
Naomba Tena waziri mkuu ajitokeze kukanusha kauli yake ya kishikwambi Kwa Kila mwalimu na aseme Sasa ni kishikwambi Kwa Kila shule!!

Vinginevyo msiwafanye walimu kama vitoto!!
Walimu hebu kuweni na akili basi seriously mlikua mnasubiri hizo takataka? Hii nchi ina walimu wa hovyo sana.
 
Back
Top Bottom