Kumbe siyo kila mwalimu atapewa kishkwambi kama alivyosema Waziri Mkuu!

Ndio maana naendelea kusisitiza walimu kupewa uongozi wa juu Serikalini iwe mwisho.
 
Kwa hiyo wanaingiza ntimanyongo kwenye kugawa vishikwambi? bora vikae kwa afisa elimu atakuwa anatoa zawadi kwa walimu ambao watafaulisha vizuri watoto kwenye masomo yao.
 
Hii italeta manung'uniko makubwa.
vishikwambi vigawiwe kwanza
1. Kwa walimu na watumishi wa shule wenye nyadhifa kama zilivyoorozeshwa hapo juu.
2.Wengine wagawiwe in alphabetical order. Majina yatakapoishia ndio hapo hapo.
Shule zote ziende halmashauri kuchukua muongozo wa alphabet. Yani wachague kwenye box. Baadhi ya shule zitachagua kuanza na Z na nyingine zitachagua kuanza na A.
Kwenye maisha, kukosa kupo tu...
 
Kama ni vile vya sensa hakuna tablet pale, zile zina ubora hafifu sana ni za watoto kuchezea Game
 
Ww ndio unajua leo,ss tunajua toka siku nyingi kwamba kinacho ongelewa kuhusu vishkwambi ni chenga tu. Hiyo kitu haipo mzee.
 
Una akili angalau
 
Mnapowananga walimu kwanza mjifikirie! Hakuna mwalimu amesema kishikwambi ni mbadala wa nyongeza ya mshahara na nyumba na maslahi mengine..
Halafu tukienda mbele zaidi hakuna mwalimu ALIOMBA apewe kishikwambi! Ni wao wenyewe waliahidi mbele ya kamera na uzinduzi kufanyika...
Ahadi ni Deni,
Walete Kwa Kila mwalimu kama walivyosema waache kudanganya
 
Sema nchi hii Ina MIJITU MIJUA kinoma hadi walimu. Hata kufikiria tu haiwezi.

Kwanza hivyo vishkwambi haukuwa Mpango Wala mkakati wa wizara ya elimu kuhusu elimu.

Vishkwambi vyote kazi yake ilikuwa ni SENSA na vingi vilotolewa kwa msaada na serikali ya Korea kusini.

Baada ya zoezi la sensa kuisha, vimebaki tu havina kazi.

Kwahiyo, ili visikae tu na kuharinika ndio NNS wameamua kufanya DUMPING kwa WALIMU. Hizo sababu nyingine wanazotoa ni za kichoko tu.

Na ndio maana hata havitoshi kwasabu havikuketwa kwaajili ya walimu.

Kwenye sensa kulikuwa na karani mmoja kila kitongoji, Sasa imagine kitongoji kina shule ngapi primary na secondary na walimu wangapi???

Walimu was Sasa hivi akili HAKUNA kabisa, na ndio maana mmeanza ujuja went kwenye hivyo vishkwambi USED.
 
Jinsi unavyotoa hoja yako tu unadhihilisha ujinga ulionao.Ulimsikia mwalimu nani ameomba apewe kishkwambi?Au ulimsikia mwenyekiti CWT AU CHAKUWAHATA amesema walimu wanahitaji vishkwambi?Kusema aseme waziri mkuu,wewe unatukana walimu!
 
Wewe ni boya Tu! Ulisikia wapi walimu waliomba wapewe? Si ni waziri mkuu ndio alisema !?
Acha wivu
 
Umemsikia huyu
mpwayungu village

Ova
 
Jinsi unavyotoa hoja yako tu unadhihilisha ujinga ulionao.Ulimsikia mwalimu nani ameomba apewe kishkwambi?Au ulimsikia mwenyekiti CWT AU CHAKUWAHATA amesema walimu wanahitaji vishkwambi?Kusema aseme waziri mkuu,wewe unatukana walimu!
Juha, unaonekana Mwalimu wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…