Kumbe Sponsors bado wapo, nilidhani hali ngumu wametulia na wazee wenzao

Unaujua ule wimbo wa nakupenda wewe na huyo demu wako🀣 kuwa makini tu.
 
Eeh mkuu πŸ™ŒπŸ™Œumenifanya nimecheka Leo kwa mara ya kwanzaπŸ€­πŸ€£πŸ˜†
 
Wewe ni mgeni JF?
Dr. Mariposa alikwisha declare yeye anapendelewa na aamekuwa kwenye mapenzi ya jinsia moja (lesbian).
Ameweka na thread kabisa kuhusu hilo.
Nadhani ww ni mgeni zaidi kwangu, sema tofauti yetu. Ni kujipa umuhimu kwa watu.
Mimi sifatilii mtu humu mpaka kufahamu aliwahi kuandika nini, nakuja humu kujunua mawili matatu ya siku.
Hivo sifahamu kama yeye ni homosexual au ww labda nikutane na thread zenu. Ila haihalalishi mimi kuwa mgeni au mwenyeji.
 
Mariposa acha kutukatili, watoto wazuri ni kwa ajili yetu Me, huo unaofanya ni uhujumu mbususu.

Yaani sisi tutake mbususu na wewe pia uwe mawindoni, hiyo sio sawa.
 
Kabura sijamariza kusoma huzi nahomba namba ya Siponsa mahana nahona hearly ananihonga vihazi tu na magimbi
 
Nje ya mada.. Yale mambo ujastaafu mkuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…