Kumbe Sponsors bado wapo, nilidhani hali ngumu wametulia na wazee wenzao

Mariposa acha kutukatili, watoto wazuri ni kwa ajili yetu Me, huo unaofanya ni uhujumu mbususu.

Yaani sisi tutake mbususu na wewe pia uwe mawindoni, hiyo sio sawa.
Mimi kama Fisi siachi hata mfupašŸ¤£šŸ¤£šŸ™ŒšŸ»
 
Kabla sijawapa hii story nina lalamiko langu serikali iangalie hili suala, nasafiri sana na SGR Dar-Dom ila tangu nimeanza hizo safari sijawahi kukaa siti moja na mrembo yoyote

Yaan kwenye waiting room utawaona kama wote mkiingia kwenye train unakutana na mijibaba tu na yenyewe kwa kutongoza hayaachi, wale warembo hua wanaenda wapi? na kwanini sijawahi kubahatika kukaa hata na mmoja? ni hujuma???

Haya nimefuta machozi tuendelee sasa na hii story

Wiki kama mbili zilizopita nilitoka Dom narudi Dar, nikiwa nimekaa naperuzi peruzi mitandaoni akaja mbaba mtu mzima alikua kama kwenye 60s hivi, akanisalimia kwa kiingereza (wanakuaga na mbwembwe haooo)

Basi nikaitikia akakaa, akatoa laptop yake kila mtu alikua busy, kama dakika 30 tangu train iondoke akanisemesha, "samahani, nilikua busy kidogo kutuma ripoti za watu hata sijakusalimia rasmi, kwa majina naitwa Mr. deshi deshi, nimeoa na nimebarikiwa watoto watatu, mimi ni muhandisi kutoka kampuni desh desh, ni mmiliki wa hiyo kampuni, na zingine nyingi, je mwenzangu waitwa nani?"

Yaan muda wote alivyokua anajieleza moyoni nikasema eenh kumekucha, hawa watu hawawezi kusafiri kimya kimya kwa amani bila kuongeleshana ongeleshana, nikaweka tabasamu fake usoni.

Nikajitambulisha na mimi, "naitwa deshi deshi, sijaolewa wala sina mtoto, nimemaliza chuo mwaka jana sijapata ajira, bado naishi na wazazi wangu, yaan bado kigoli mbichiiiiiii kama kilomita basi 2 tu nimetembea"

Lengo langu lilikua ni kucheza tu na akili ya huyo mtu mzima kisheti umeoa una watoto, umri ushakutupa mkono si utulie ule vizuri, ufanye mazoezi, zunguka dunia usubiri kifo, mxxxuie

Aliangua kicheko kikali nikajua ilimkosha hiyo kigoli mbichii kama kilomita basi 2 tu nimetembea, na mwili wangu ulivyo mteke mteke lazima mtu uamini.

Yaani nina kamwili flan hivi ka kuwekwa kifuani na kudeka au kubebwa mgongoni na kurushwa rushwa, kimwili cha kupakatwa huku nasafishwa sikio, kimwili cha kukukalia mgongoni na kukufanyia massage ukitoka hapo mwepesiiiiii.

Ka english figure flani kila nguo inamkaa hehehehe, ila sasa sio kigoli mbichiii ni mshangazi uliopitia madhoruba kibaaao ya ulimwengu, daah!🤣

Yule mzee acha apagawe na kuanza kutiririka vile alivyowekeza kwenye miradi mbali mbali, pesa ipo ila kakosa mtu wa kufanya nae starehe. Nikamwambia mtu ushampata, wewe sema tunaanzia wapi hizo starehe.

Acha azidi kupagawa eti ooh nina nyumba goba nimeweka mpangaji itabidi nimtoe nikuhamishe huko utoke kwa wazazi wako mie tena "sawa dady limeisha hilooo," . Kumbe wizi naujua jamani sikujua kama nina hiki kipaji

Zikaanza simu kila akipata mtandao anapiga au kupigiwa habari zake ni za hela tu, mpe milioni 2, chukua milion 5, tuma milioni 7 yaan ni mazungumzo ya mamilioni tu.

Mkewe akampigia akaambiwa akatoe milioni 10 ampe fundi akaomba sijui na nini akasema sawa toa 13, hiyo 3 chukua wewe, alivyomaliza akanigeukia,

"Yaan ukiwa na mimi utaenjoy sana mimi sio bahili kikubwa wewe jiachie kwangu kua huru ufaidi matunda" nikaitikia kwa kichwa lakini nikajisemea moyoni hawa wazee hua hawasikii wenzao wanavyokufaga vifuani kwa mabinti na wao wakatuliza visukari na presha zao? mbona wako speed sana?

Basi, safari niliiona ndefu yule baba anaongea hachoki, nikaanza kuchat na babe wangu nikawa nampa mkanda mzima. Nikampiga picha sponsor kisiri siri nikamtumia acha tuanze kumzogoa mzee wa watu maskini hana hata habari yeye anatiririka tu, anajua kishaopoa kigoli kumbe amekaa na jambazi

Hatimae tukafika mwisho wa safari, akaniuliza kama anaweza kunipa lift nikamwambia hapana nimekuja kupokelewa, akasema okay ngoja nikusindikize tubadilishane pia na mawasiliano

Basi tumetoka nje anashangaa napokelewa na njemba flani hivi kama haeleweki yaani anakujaaa halafu anakataaa, tuka hug akanipokea kibegi changu, nikamwambia sponsor, "ilikua ni safari nzuri yenye mazungumzo murua ila nakutaka radhi sikua mkweli kwako, mimi nilishachukuliwa na huyu ndie soulmate mwenyewe"

Yule mzee alicheka sanaaa akasema "nimewapenda tafadhali naomba mnitafute nina mazungumzo ya kirafiki na nyie", akatoa business card yake akanipa na kibahasha cha kaki akasema "umekua rafiki wa ajabu, masaa manne tuliyokaa nimefurahi sana, pokea zawadi yangu ndogo na msisite kunitafuta nyie ni marafiki zangu" basi tukaagana na kuondoka,

Nilichokuta ndani ya bahasha ni kibunda ila siwaambii ni shilingi ngapi msije mkanikaba bureeeee, lolšŸ˜„

Sponsors kumbe wapo jamani.
Tchaooo
Hadithi hiyo kakufundisha Nani?
 
Babu inabidi muwe mnakumbushana mkikutana kwenye clinics za presha na sukari waambie wakubali wakati ushapita watakufa kwa aibu buree
Nitafanya hivyo Mjukuu

Japo useme ulipokuwa unatoa sifa za huyo mwali na jinsi alivyo portable nikasema Mzee mwenzangu alikuwa sahihi kutaka kukukabidhi password ya pension zake

Tutafanyaje, nyama tunapenda kula lakini ndiyo hatuna meno sasa šŸ¤—šŸƒšŸƒ
 
Eeh mkuu šŸ™ŒšŸ™Œumenifanya nimecheka Leo kwa mara ya kwanzašŸ¤­šŸ¤£šŸ˜†
šŸ˜…šŸ˜… hao mabinti ni hatari

Kama hujatembea na dawa zako za Presha unaweza kujikuta katikati ya shoo unaaga pambano

Bora tumezeeka sasa šŸ¤—
 
Mimi kama Fisi siachi hata mfupašŸ¤£šŸ¤£šŸ™ŒšŸ»
Siku hizi mpo wengi kweli, ila washauri wenzio waache tabia ya kujitia ununda na uhuni uhuni.

Kwani ni lazima kuvaa na kuact kama mwanaume kwenye hiyo kada yenu??
 
HUu ni uji sio chai umeanza unazungumzia Wadada nikajua mwanangu uko ns mkia huko chini ukankchanganya zaid pale kwenye 2Km nikaishia hapo
 
Kabla sijawapa hii story nina lalamiko langu serikali iangalie hili suala, nasafiri sana na SGR Dar-Dom ila tangu nimeanza hizo safari sijawahi kukaa siti moja na mrembo yoyote

Yaan kwenye waiting room utawaona kama wote mkiingia kwenye train unakutana na mijibaba tu na yenyewe kwa kutongoza hayaachi, wale warembo hua wanaenda wapi? na kwanini sijawahi kubahatika kukaa hata na mmoja? ni hujuma???

Haya nimefuta machozi tuendelee sasa na hii story

Wiki kama mbili zilizopita nilitoka Dom narudi Dar, nikiwa nimekaa naperuzi peruzi mitandaoni akaja mbaba mtu mzima alikua kama kwenye 60s hivi, akanisalimia kwa kiingereza (wanakuaga na mbwembwe haooo)

Basi nikaitikia akakaa, akatoa laptop yake kila mtu alikua busy, kama dakika 30 tangu train iondoke akanisemesha, "samahani, nilikua busy kidogo kutuma ripoti za watu hata sijakusalimia rasmi, kwa majina naitwa Mr. deshi deshi, nimeoa na nimebarikiwa watoto watatu, mimi ni muhandisi kutoka kampuni desh desh, ni mmiliki wa hiyo kampuni, na zingine nyingi, je mwenzangu waitwa nani?"

Yaan muda wote alivyokua anajieleza moyoni nikasema eenh kumekucha, hawa watu hawawezi kusafiri kimya kimya kwa amani bila kuongeleshana ongeleshana, nikaweka tabasamu fake usoni.

Nikajitambulisha na mimi, "naitwa deshi deshi, sijaolewa wala sina mtoto, nimemaliza chuo mwaka jana sijapata ajira, bado naishi na wazazi wangu, yaan bado kigoli mbichiiiiiii kama kilomita basi 2 tu nimetembea"

Lengo langu lilikua ni kucheza tu na akili ya huyo mtu mzima kisheti umeoa una watoto, umri ushakutupa mkono si utulie ule vizuri, ufanye mazoezi, zunguka dunia usubiri kifo, mxxxuie

Aliangua kicheko kikali nikajua ilimkosha hiyo kigoli mbichii kama kilomita basi 2 tu nimetembea, na mwili wangu ulivyo mteke mteke lazima mtu uamini.

Yaani nina kamwili flan hivi ka kuwekwa kifuani na kudeka au kubebwa mgongoni na kurushwa rushwa, kimwili cha kupakatwa huku nasafishwa sikio, kimwili cha kukukalia mgongoni na kukufanyia massage ukitoka hapo mwepesiiiiii.

Ka english figure flani kila nguo inamkaa hehehehe, ila sasa sio kigoli mbichiii ni mshangazi uliopitia madhoruba kibaaao ya ulimwengu, daah!🤣

Yule mzee acha apagawe na kuanza kutiririka vile alivyowekeza kwenye miradi mbali mbali, pesa ipo ila kakosa mtu wa kufanya nae starehe. Nikamwambia mtu ushampata, wewe sema tunaanzia wapi hizo starehe.

Acha azidi kupagawa eti ooh nina nyumba goba nimeweka mpangaji itabidi nimtoe nikuhamishe huko utoke kwa wazazi wako mie tena "sawa dady limeisha hilooo," . Kumbe wizi naujua jamani sikujua kama nina hiki kipaji

Zikaanza simu kila akipata mtandao anapiga au kupigiwa habari zake ni za hela tu, mpe milioni 2, chukua milion 5, tuma milioni 7 yaan ni mazungumzo ya mamilioni tu.

Mkewe akampigia akaambiwa akatoe milioni 10 ampe fundi akaomba sijui na nini akasema sawa toa 13, hiyo 3 chukua wewe, alivyomaliza akanigeukia,

"Yaan ukiwa na mimi utaenjoy sana mimi sio bahili kikubwa wewe jiachie kwangu kua huru ufaidi matunda" nikaitikia kwa kichwa lakini nikajisemea moyoni hawa wazee hua hawasikii wenzao wanavyokufaga vifuani kwa mabinti na wao wakatuliza visukari na presha zao? mbona wako speed sana?

Basi, safari niliiona ndefu yule baba anaongea hachoki, nikaanza kuchat na babe wangu nikawa nampa mkanda mzima. Nikampiga picha sponsor kisiri siri nikamtumia acha tuanze kumzogoa mzee wa watu maskini hana hata habari yeye anatiririka tu, anajua kishaopoa kigoli kumbe amekaa na jambazi

Hatimae tukafika mwisho wa safari, akaniuliza kama anaweza kunipa lift nikamwambia hapana nimekuja kupokelewa, akasema okay ngoja nikusindikize tubadilishane pia na mawasiliano

Basi tumetoka nje anashangaa napokelewa na njemba flani hivi kama haeleweki yaani anakujaaa halafu anakataaa, tuka hug akanipokea kibegi changu, nikamwambia sponsor, "ilikua ni safari nzuri yenye mazungumzo murua ila nakutaka radhi sikua mkweli kwako, mimi nilishachukuliwa na huyu ndie soulmate mwenyewe"

Yule mzee alicheka sanaaa akasema "nimewapenda tafadhali naomba mnitafute nina mazungumzo ya kirafiki na nyie", akatoa business card yake akanipa na kibahasha cha kaki akasema "umekua rafiki wa ajabu, masaa manne tuliyokaa nimefurahi sana, pokea zawadi yangu ndogo na msisite kunitafuta nyie ni marafiki zangu" basi tukaagana na kuondoka,

Nilichokuta ndani ya bahasha ni kibunda ila siwaambii ni shilingi ngapi msije mkanikaba bureeeee, lolšŸ˜„

Sponsors kumbe wapo jamani.
Tchaooo
Hii chai ni tamu sana, unatuona makalio yako
 
wazee hatukomi,nimedata na haya maneno

Aliangua kicheko kikali nikajua ilimkosha hiyo kigoli mbichii kama kilomita basi 2 tu nimetembea, na mwili wangu ulivyo mteke mteke lazima mtu uamini, yaani nina kamwili flan hivi ka kuwekwa kifuani na kudeka au kubebwa mgongoni na kurushwa rushwa, kimwili cha kupakatwa huku nasafishwa sikio, kimwili cha kukukalia mgongoni na kukufanyia massage ukitoka hapo mwepesiiiiii, ka english figure flani kila nguo inamkaa hehehehe
Eeeennh teh teh Dadier two short please inakuhusu
 
Back
Top Bottom