makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 37,696
- 109,218
Mie nikajua kimwili cha kuukalia ub00h kumbe cha kukalia mgongoni 😂🤣
Anyway ungeoata bahati ya kusafiri na mimi, tukakaa siti moja ungejiuliza huyu vipi, sishobokeagi wanawake kabisa safarini, kama nimekukuta nakupa salamu halafu "kabi-nyau" labda ulete stori kama huna ni mikausho mikali.
Kama we ndio umenikuta ukinisalimia nakujibu, usipotoa salam ndio imetoka hiyo...