Kumbe Sponsors bado wapo, nilidhani hali ngumu wametulia na wazee wenzao

wazee hatukomi,nimedata na haya maneno

Aliangua kicheko kikali nikajua ilimkosha hiyo kigoli mbichii kama kilomita basi 2 tu nimetembea, na mwili wangu ulivyo mteke mteke lazima mtu uamini, yaani nina kamwili flan hivi ka kuwekwa kifuani na kudeka au kubebwa mgongoni na kurushwa rushwa, kimwili cha kupakatwa huku nasafishwa sikio, kimwili cha kukukalia mgongoni na kukufanyia massage ukitoka hapo mwepesiiiiii, ka english figure flani kila nguo inamkaa hehehehe
 
Nani ukamfie kifuani, akuuuuuu
 
Sponsors wapoo sana, ila wenye bahati nao wanaula sanaa.
Sasa dear nigawie hicho kibunda, nipate baraka za sponsaa.
😂😂😂😂😂
Nikajua unataka business card ya sponsa dear na wewe jaman
 
Demi wenye kelele wapoooo, huyo babu hela anayo sio uongo
Tuseme wenye kelele wapo. Umejuaje kama hela anayo na hizo simu za maongezi ya pesa ni za kweli? Inawezekana anayopesa za kawaida tu na mwanzoni anatumia trick kukupata ili akukule akuache.

Yaani mimi mtu wa hivyo ningemuona tapeli tangu mwanzo, ndo maana huwa naishia kuangukia kwa wasio na hela siku zote😏
 
Kumbe kuna watu wanauziwa! mbona mie nimezipata bureeeeee,
Sema madogo wanajua, khe🙌🏻
 
Kunikula isingekua rahisi, maana nilikua nacheza na akili yake pia,

Sema sifa nyingi Muhaya yule.
 
Babu inabidi muwe mnakumbushana mkikutana kwenye clinics za presha na sukari waambie wakubali wakati ushapita watakufa kwa aibu buree
 
Bila shaka hii ni ndoto, Binti wa kitanzania akatae hela?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…