Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
- Thread starter
- #61
Nawatakia kumbukumbu njema ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar yaliyovikomboa visiwa hivi.
P
P
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nawatakia Karume Day Njema.
P
Huku bwana yule alikua akisubiri kujiongezea urais from 2025 to milele.Kama lisu anavyosubiri kuapishwa kuwa Rais.
Yaani lisu hapo alipo anajiona Rais tayari atasubiri sana.Huku bwana yule alikua akisubiri kujiongezea urais from 2025 to milele.
Mungu fundi aisee.
Huku bwana yule akiwa anaongoza malaika kama alivyosema mwenyewe.Yaani lisu hapo alipo anajiona Rais tayari atasubiri sana.
Lisu hata apewe miHuku bwana yule akiwa anaongoza malaika kama alivyosema mwenyewe.
Lisu alitegemea sana uwepo wa Magufuli kujipatia umaarufu, kwa kua hayupo Lisu is no longer relevant,Huku bwana yule akiwa anaongoza malaika kama alivyosema mwenyewe.
Wewe deal na mtakatifu wako aliyepewa umalaika mkuu kwa sasa,sisi tunadunda tu na maisha yetu kama kawa.Lisu hata apewe mi
Lisu alitegemea sana uwepo wa Magufuli kujipatia umaarufu, kwa kua hayupo Lisu is no longer relevant,
Hata sasa anavyoendelea kumshambulia watu wanamwona kama mental case tu.
Your guy is no longer relevant deal with it.
Wanabodi,
Kwanza tazama na kusikiliza mahojiano haya kwa kituo!.
Utangulizi: Somo la Historia ni somo la mambo ya kale kwa lengo la kujua yaliyotokea nyuma, kulinganisha na yanayotokea sasa, ili kujua kujua yale yatakayokuja kutokea siku za usoni!.
Hivyo katika kuperusi baadhi ya video za Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, nimekutana na video nyingi zenye urongo wa kupikwa kwa kuuchanganya na ukweli kidogo tuu ili ku make believe kuwa kila kitu ni kweli tupu!.
Lakini miongoni mwa video hizo za urongo, nimekutana video hii ambayo ni ya kweli,
inaonyesha mahojiano ya Sultani wa mwisho aliyepinduliwa Zanzibar katika yale Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, ya 1964, na kukimbilia uhamishoni!, huyu ni Sultan Jamshid!.
Baada ya mauaji ya Muasisi na Shujaa wa Mapinduzi yale Sheikh Abedi Amani Karume, mwaka 1972, BBC ilifanya mahojiano na Sultan huyu mkimbizi, jiji London. Sultan Jamshid alitamka wazi kufurahia mauaji yale na akawa anasubiria kwa matumaini kuitwa kurejea Zanzibar kuendelea kuwa Sultan!.
Jee hivi kweli kuna binadamu anayefurahia kifo cha binadamu mwingine?!. Mimi ni pro life, siungi mkono kifo cha aina nyingine yoyote zaidi ya kazi ya Mungu!, hata adhabu ya kifo, na sifurahii kifo chochote au kumwagika kwa damu yoyote kwa sababu yoyote ndio maana ni miongoni mwa tuliomlilia Osama, Saadam na Ghadafi!.
Siku ya Kupinga Adhabu ya Kifo
Adhabu ya Kifo: Jee kweli bado inahitajika? |
Wana JF tuungane kusema NO hukumu ya kifo
Mauaji ya Mzee Karume: Acha sasa tuhoji yasiyohojika ..
Karume Aliuwawa Na Utawala Dhalimu wa Sultan
[URL='https://www.jamiiforums.com/threads/iwapo-ccm-itashindwa-zanzibar-nini-majaaliwa-ya-muungano.838604/']Iwapo CCM itashindwa Zanzibar, Nini Majaaliwa ya Muungano .
Miaka 50 Ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, Bado Kuna Maswali Bila .
Mapinduzi ya Zanzibar: Ukweli ni Upi?
Wananchi wakitaka kujua nani alimuua nani?[/URL]
Sasa jee wajua msingi wa furaha ya Sultan Jamshid kwa kifo cha Karume?!. Sikiliza kwa makini, ameeleza mwenyewe!.
Ila jee wajua baada ya kifo cha Karume, ni nini kilimkwamisha Sultan Jamshid asiitwe tena Zanzibar kuurejelea Usultani wake?!, ukikijua, naamini utajua kwa nini kuna mtu kila siku anashinda uchaguzi wa Zanzibar lakini hatangazwi!.
Sii wengi humu wanaojua kuwa miongoni mwa inteligensia kubwa zaidi duniani, ni intelijensia ya vinasaba!. Wanaintelijensia wamemaliza kazi yao zamani na kubaki kuangalia senema za siasa!.
Endeleeni kusubiria 2020 kujaribu tena, wenzenu wanaoijua historia hii na sababu zilizomo ndani ya mahojiano haya, wanawaangalia tuu jinsi watu wanavyoruhusiwa kujifurahisha kwa maigizo la uchaguzi hadi uchaguzi!.
Ukiujua ukweli utakuweka huru, ushauri wa bure, kwa 2020 badilisheni mgombea kuepuka visingizio vya taarifa za kinteligensia vya uhusiano wa vinasaba ya kuwa kumpa fulani ni kumrejelesha Sultan aliyepinduliwa kwa mlango wa nyuma!.
Pamoja na madhila yote ya Muungano yanayolalamikiwa na upande wa pili, ila kiukweli kuna maeneo fulani fulani, Muungano umesaidia!, maana just imagine, usingekuwepo Muungano huu adhimu, hali ingekuwaje?!.
Mapinduzi Daima!.
Muungano Milele.
Pasco
Kero zote za Muungano zinakwenda kutatuliwa na kumalizika rasmi.Wanabodi,
Pamoja na madhila yote ya Muungano yanayolalamikiwa na upande wa pili, ila kiukweli kuna maeneo fulani fulani, Muungano umesaidia!, maana just imagine, usingekuwepo Muungano huu adhimu, hali ingekuwaje?!.
Mapinduzi Daima!.
Muungano Milele.
Pasco
Huyu jamaa ambaye akishinda hatangazwi hayupo tena...huenda Sasa Wazenji wakatangaziwa mshindi halali kwenye chaguzi zijazo?Ila jee wajua baada ya kifo cha Karume, ni nini kilimkwamisha Sultan Jamshid asiitwe tena Zanzibar kuurejelea Usultani wake?!, ukikijua, naamini utajua kwa nini kuna mtu kila siku anashinda uchaguzi wa Z
True, mfano wakimsimamisha huyu jamaaHuyu jamaa ambaye akishinda hatangazwi hayupo tena...huenda Sasa Wazenji wakatangaziwa mshindi halali kwenye chaguzi zijazo?
Una uhakika au ni hisia zako tuu.......kwani tatizo alikuwa ni mwenye vinasaba au chama tawala hawataki kuachia madaraka?...True, mfano wakimsimamisha huyu jamaa
Dkt. Shein Mfute Kazi Haraka, Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar Kabla Hajamwaga Sumu Hii
Wanabodi, Baada ya kupitishwa kwa katiba mpya tuipendayo ya serikali mbili, watu wote wenye hoja za serikali tatu, ni watu wa hatari sana kwa mustakabali wa taifa hili. Mmoja wa watu hawa ni Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar, huyu ni mtu hatari sana kwa mustakabali na majaaliwa ya kupitishwa kwa...www.jamiiforums.com
Na jamaa huyu akaacha tabia yake ya kuuchokoa huu Muungano wetu adhimu kama hapa
Kuhusu Muungano, Makamo wa Kwanza wa Zanzibar, Adai ni Zanzibar Pekee iliyopoteza Sovereignty, Je Yuko Sahihi?
Wanabodi, Wale wenye access na Plus TV, watch now kipindi cha Uso kwa Uso, Makamo wa Kwanza wa Zanzibar, Mhe. Othman Masoud Othman asema uongo wa wazi wa mchana kweupe kuhusu muungano wetu. Mhe. Masoud anadanganya u kuwa Tanganyika na Zanzibar tulipoungana, ile 1964, ni nchi moja tuu ya...www.jamiiforums.com
Akisimamishwa, akishinda, anapewa!.
P
Siasa za Zanzibar ni ngumu sana!, vinasaba ni tatizo kubwa asije kuingia mtu wa kuonekana kama ni kumrejeleza Sultani. Hivyo ukimsimamisha Mbantu, hoja ya vinasaba inakufa.Una uhakika au ni hisia zako tuu.......kwani tatizo alikuwa ni mwenye vinasaba au chama tawala hawataki kuachia madaraka?...
...hata utawala wa Ccm ni wa kisultani tu....sema unatumia koti la chama cha siasa kuuficha huo usultani.Siasa za Zanzibar ni ngumu sana!, vinasaba ni tatizo kubwa asije kuingia mtu wa kuonekana kama ni kumrejeleza Sultani. Hivyo ukimsimamisha Mbantu, hoja ya vinasaba inakufa.
Katiba mpya ni muhimuDeterminant ya mshindi wa urais wa Zanzibar ni mtu atakayedumisha Muungano wetu adhimu, hivyo huyu jamaa akiacha kuuchokoa Muungano, atapewa. Na ikitokea tayari ikiishapewa, kisha ndio akauchokoa muungano, tunamuita Dodoma, kule anakuja na msafara, baada ya kikao, anaondoka na gari moja, akisindikizwa nyumbani kwake na kamwe hutamsikia tena akizungumza lolote in public!.