Tetesi: Kumbe TRA bado wanamfuatilia Askofu Kakobe

Tetesi: Kumbe TRA bado wanamfuatilia Askofu Kakobe

Ndiyo maana watu hawaweki hela zao kwenye mabenki ya tanzania. Halafu tunashangaa na kuharisha kuwa wametorosha hela nje. Tanzania, cure yourself.
 
Wacha apande alicho kitafuta
Dharau zake haziwezi vumilika
ni mpuuzi sana huyu
kipindi cha Nyerere kulitokea mpuuzi kama huyu Alicho fanyiwa alikijua mwenyewe.
Huwezi dharau serikali wakati serikali ndio kila kitu ktk maisha yako
 
Ukatubu
 
Kuna taarifa kuwa jamaa wanatafuta taarifa za kifedha za Mch. Zakary Kakobe.

Nadhani serikali na TRA wangejikita kwenye issues za maana wakaacha visa na mikasa.

Mods, naomba msiutoe huu uzi!! Ni taarifa sahihi kabisa
Wako Sawa, fahamu kuna drug dealer wamejificha kwenye kichaka cha uchungaji, acha wafanyie kazi kauri yake, kama hana hatia maisha yataendelea na TRA wataachana nae, meantime tuwaache, sheria ipo na inamlinda kakobe
 
Back
Top Bottom