Adverse Effect
JF-Expert Member
- Oct 8, 2017
- 2,049
- 5,449
Hakuna cha serikali ni genge tu fulani kwa maslahi ya mtu fulani.Si alikuwa anatafuta sifa mbele ya waumini wake ndio atambue serikali haitaniwi ..eti nilikuwa namaanisha utajiri wa imani wakati alisikika akisema nina pesa kuliko....
Wewe nani mpaka uwe na pesa kuliko serikali ,Dangote na pesa ,utajiri wote hajawahi kuidharau serikali yake
Ndio atakoma na heshima itakuwepo ..
bora ukutane na FFU na sio hawa TRA huku kwetu wenye maduka wakiwaona Maofisa wa TRA wote huambizana kufunga maduka
Kuna mambo ya msingi TRA wanatakiwa wafanye, waache kutumika