Anae kwambia umsikilize akisemacho usifuate matendo yake huyo nifeki.... yena umeliwa weweee......... unadhani Kakobe anfundisha hivyo...... tatizo unakurupuka ila kufanya utafiti juu ya mtu husika..... kipindi anarusha vipindi vyake (2006)...... aliwahikuonesha mali zake kwenye tv.... sasa mwambie magu afanye hivyo na wamchimbe kama wanavyofanya kwa Kakobe uone kama atasalimika.....How sure are kama uyo kakobe anaweza kwenda mbinguni au unafkr kutoa neno na kuombea watu inamansha yy n msafi cku zote. Hebu kuwa unawaza bac had hili!!! na kisa siku wanakwambiaga nisikilze nachokufundisha mm ila c kutazama maisha yangu maana yake unaijua ww
Hapo alipo anavimeo kibao uuzaji wa nyumba za serikali......
We tuliza chini kalio usubiri mwisho wa move hii ya kipuuzi.... sio kushadadia vitu bila luwa na ufaham wa kutosha........... karagabahoooooo