Tetesi: Kumbe TRA bado wanamfuatilia Askofu Kakobe

Tetesi: Kumbe TRA bado wanamfuatilia Askofu Kakobe

Yani hata majina wa watoto wa kakobe hawayajui halafu wanataka fanya uchunguzi,
 
Tena wamkwide huyo Kakobe mpaka akome kuropoka hovyo hovyo.
Kwataarifa yako ndio wanamjengea credibility katika jamii ya tanzania.... hivi unadhani hayo wanayofanya ni mapya kipindi cha JK walitumia akili zaidi ya mihemko walifanya kimya kimya na walipokuta hola wakala mute.... sasa Magu mtaka misifa ngoja aumbuke kama makinikia yalivyomsinda....
 
Kwa Afrika ukificha Mali kwa jina la mtoto tena yanafatana kama ya kakobe andika umeumia
 
[emoji16][emoji16][emoji16], nachekea tumboni, tuone walio mtuma kama watamuokoa
Kwahilo sina mashaka nalo...... ikiwa Daniel au wakina Meshaki, shadrak na Abednego walikuwa kinyume na Mfalme na Mungu akawaokoa.... Sembuse Askofu Kakobe aliemhubiri Magu na kumwambia atubu........

Kwanza hata sioni la kutakiwa kuokolewa..... hao waliotumwa ndio watmtafute
 
Sasa unadhani kumfatilia ndio wataondoa au kubadili imani yake kuwa yeye ni tajiri kuliko serikali yeyote hapa duniani.......

Mwambie Magu akate tiketi ya kwenda mbiguni na hizo pesa za serikali kama atafanikiwa thubutuuu unachezea utajiri wa wokovu alionao Kakobe..... hahhahaaaaaaaaa...... ngoma nzito kisa kutubu atubu tu na kubadilika.... hahahaaaaaa
Kaka tuwaache TRA wafanye kazi yao, hata kakobe hiyo pesa inayoizidi serikali hata kwenda nayo mbinguni, ni amari njema pekee ndizo atakwenda nazo
 
Kakobe Kakobe nilijua kukaa kimya ulikuwa ushausoma kwamba utawala huu sio kama ule wa mchezo mchezo.

TRA wamemwandikia barua ya kumtega akiongopa hana akaunti tu, ndio tutamsikia amerudi kakonko anafuga ngombe
Kumbe nawewe huajelewa hiyo barua imeelekezwa kwenye mabenki..... ndio shida ya manaoambiwa kutubu afu mnapotezea..... au ngeli imepita kushoto..... unashadadia tuuu....hahahhaaaaa ndio maana Lowasa alisema elimu elimu elimu
 
Sasa unadhani kumfatilia ndio wataondoa au kubadili imani yake kuwa yeye ni tajiri kuliko serikali yeyote hapa duniani.......

Mwambie Magu akate tiketi ya kwenda mbiguni na hizo pesa za serikali kama atafanikiwa thubutuuu unachezea utajiri wa wokovu alionao Kakobe..... hahhahaaaaaaaaa...... ngoma nzito kisa kutubu atubu tu na kubadilika.... hahahaaaaaa
How sure are kama uyo kakobe anaweza kwenda mbinguni au unafkr kutoa neno na kuombea watu inamansha yy n msafi cku zote. Hebu kuwa unawaza bac had hili!!! na kisa siku wanakwambiaga nisikilze nachokufundisha mm ila c kutazama maisha yangu maana yake unaijua ww
 
Wameona ndio njia pekee ya kukabiliana na Kakobe, wameoshiwa hoja kabisa na wakikuta hana shida kwenye kodi watamvamia na kusema anauza madawa.
Sio rahisi hivo huyo sio wa sports sports, wataangukia za uso, kwa vita vya kimwili na kiroho hawamuwezi.
 
Labda ukatubu ww unahc mie nna akili kama yako kumwamn kakobe wako kuliko mungu mwnyw.

Kuna unaelew mfano wa nchi moja c ktu kutolea mfano tunaangalia majority huo upuuz haupo mtu kuongea upuuz kisa yy nan hii nchi n yetu sote acha kudanganywa.

Huo uhuru unaousemea wapi unahc upo mbona marekan kila cku maandamano na sometys hawafui dafu kwa serkali.
Si mmezui mikutano ya kisiasa mnadhani mtaxiba watu midomo.... sasa Mungu anawaumbua kupitia vinywa vya watumishi wake...... ukatubu jombaaa..... unatetea upuuuzi wa Magu..... kutubu nilazima nyie pigeni sarakasi kiasi gani bt akizo la kutubu halibadilishwi....... hahahahaaaaaa
 
Hivi kusema ninapesa kuliko serikali alimaanisha serikali gani? Kitongoji, kijiji nk au? Hapo kakobe akiwa na akili na akapata wakili mwerevu sioni kosa
 
Tunashukuru kwa hili .Baada ya zoezi hili heshima kwa seikali itakuwepo.
Wasisahau kutupa mrejesho baada ya zoezi maana mengi uutwa press conference kwa mbwembwe,then uingia mitini atupewi mirejesho
 
Si mmezui mikutano ya kisiasa mnadhani mtaxiba watu midomo.... sasa Mungu anawaumbua kupitia vinywa vya watumishi wake...... ukatubu jombaaa..... unatetea upuuuzi wa Magu..... kutubu nilazima nyie pigeni sarakasi kiasi gani bt akizo la kutubu halibadilishwi....... hahahahaaaaaa
Beta ukojoe ulala mkuu maana naona una ubishi ule wa wavuta unga wetu mtaani. Au unaumwa ukapime choo kubwa
 
Mambo ya kipuuzi sana. Hivi ACACIA walitulipa yale mabilioni yetu as per TRA's invoice?
 
Kakobe Kakobe nilijua kukaa kimya ulikuwa ushausoma kwamba utawala huu sio kama ule wa mchezo mchezo.

TRA wamemwandikia barua ya kumtega akiongopa hana akaunti tu, ndio tutamsikia amerudi kakonko anafuga ngombe
Na Kweli anatakiwa arudi kakonko akachunge ngombe, hana adabu hata kidogo na pia iwe lesson for others
 
Back
Top Bottom