Tetesi: Kumbe TRA bado wanamfuatilia Askofu Kakobe

Tetesi: Kumbe TRA bado wanamfuatilia Askofu Kakobe

Kuna taarifa kuwa jamaa wanatafuta taarifa za kifedha za Mch. Zakary Kakobe.

Nadhani serikali na TRA wangejikita kwenye issues za maana wakaacha visa na mikasa.

img-20180104-wa0009-jpg.668434
Usipende kudharau vitu vidogo kwani huwa vinaevolve na kureplace vacuum
 
Wako Sawa, fahamu kuna drug dealer wamejificha kwenye kichaka cha uchungaji, acha wafanyie kazi kauri yake, kama hana hatia maisha yataendelea na TRA wataachana nae, meantime tuwaache, sheria ipo na inamlinda kakobe
Sina uhakika kama kakuelewa
 
Si alikuwa anatafuta sifa mbele ya waumini wake ndio atambue serikali haitaniwi ..eti nilikuwa namaanisha utajiri wa imani wakati alisikika akisema nina pesa kuliko....

Wewe nani mpaka uwe na pesa kuliko serikali ,Dangote na pesa ,utajiri wote hajawahi kuidharau serikali yake

Ndio atakoma na heshima itakuwepo ..
bora ukutane na FFU na sio hawa TRA huku kwetu wenye maduka wakiwaona Maofisa wa TRA wote huambizana kufunga maduka
Unajua ni kwa nini hufunga maduka???
 
Kuna taarifa kuwa jamaa wanatafuta taarifa za kifedha za Mch. Zakary Kakobe.

Nadhani serikali na TRA wangejikita kwenye issues za maana wakaacha visa na mikasa.

img-20180104-wa0009-jpg.668434
Baada ya hapo watampima mkojo,sjui sosonje kala maharage ya chato!!!!!!!yatakuwa aibu kama ya accacia na 700b
 
Na bado maana nchi hii kuna watu wana sifa saa kwani hao wachungaji nchi zngn hawapo na kuna matatzo ila wanadeal na mambo yao ila uko kwetu uswahili had chooni.Anthon lusekera yule mzee ana mkwaja sana ila yupo kmy kmy utadhan ayupo na anapga kaz km nn ila hawa wengn had tunawachoka
 
Kakobe Kakobe nilijua kukaa kimya ulikuwa ushausoma kwamba utawala huu sio kama ule wa mchezo mchezo.

TRA wamemwandikia barua ya kumtega akiongopa hana akaunti tu, ndio tutamsikia amerudi kakonko anafuga ngombe
 
Mkuu ng'ombe afugie wap mapori yote walishachukua wnyw yaliobak n ya uyo mama(serkali) wanaemtukana kila cku
 
Si alikuwa anatafuta sifa mbele ya waumini wake ndio atambue serikali haitaniwi ..eti nilikuwa namaanisha utajiri wa imani wakati alisikika akisema nina pesa kuliko....

Wewe nani mpaka uwe na pesa kuliko serikali ,Dangote na pesa ,utajiri wote hajawahi kuidharau serikali yake

Ndio atakoma na heshima itakuwepo ..
bora ukutane na FFU na sio hawa TRA huku kwetu wenye maduka wakiwaona Maofisa wa TRA wote huambizana kufunga maduka
Sasa unafikiri Kakobe ni muuza duka anawaogopa..... wacha waendelee kumfatilia afu yawakute no bila bila hiko....[emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
lkn jamaa alishasema utajiri aliomaanisha ni wa kiroho bhana
 
baada ya zoezi hili TRA ituambie kama ni kweli KAKOBE ana fedha kuliko serikali yetu.
Kama ni kweli watuambie kama amelipakodi stahiki na zilielekezwa sekta ipi.

Kama ni uongo ashitakiwe!
 
Back
Top Bottom