Tetesi: Kumbe TRA bado wanamfuatilia Askofu Kakobe

Tetesi: Kumbe TRA bado wanamfuatilia Askofu Kakobe

Kuna taarifa kuwa jamaa wanatafuta taarifa za kifedha za Mch. Zakary Kakobe.

Nadhani serikali na TRA wangejikita kwenye issues za maana wakaacha visa na mikasa.

img-20180104-wa0009-jpg.668434
Tunatafuta laana zisizo la msingi
 
Si alikuwa anatafuta sifa mbele ya waumini wake ndio atambue serikali haitaniwi ..eti nilikuwa namaanisha utajiri wa imani wakati alisikika akisema nina pesa kuliko....

Wewe nani mpaka uwe na pesa kuliko serikali ,Dangote na pesa ,utajiri wote hajawahi kuidharau serikali yake

Ndio atakoma na heshima itakuwepo ..
bora ukutane na FFU na sio hawa TRA huku kwetu wenye maduka wakiwaona Maofisa wa TRA wote huambizana kufunga maduka

Kwaiyo unafurahia huu ujinga??

Siku zote TRA walikuwa wapi wasiombe hizo documents??

Aisee kuishi taifa moja ni mizombi kama ninyi ni shida sana
 
hata Yesu aliandikiwa mashitaka na watesi wake akiwa ametundikwa msalabani.
hawakujua kuwa kumbe ndiye mwokozi wao.

Baba Askofu Kakobe - hao watesi wako waombee tu msamaha kwa Mungu kwani hawajui walitendalo!
 
Taifa linaangamia,haya yote ni matatizo ya nyama vyingi vya siasa
 
Si alikuwa anatafuta sifa mbele ya waumini wake ndio atambue serikali haitaniwi ..eti nilikuwa namaanisha utajiri wa imani wakati alisikika akisema nina pesa kuliko....

Wewe nani mpaka uwe na pesa kuliko serikali ,Dangote na pesa ,utajiri wote hajawahi kuidharau serikali yake

Ndio atakoma na heshima itakuwepo ..
bora ukutane na FFU na sio hawa TRA huku kwetu wenye maduka wakiwaona Maofisa wa TRA wote huambizana kufunga maduka
Hata watapetape vipi, hawatamuweza kakobe, mungu ni mkubwa kuliko serikali yyte ile,...TRA wanajifanya mambumbu kuwa hawakuelewa askofu anamaanisha utajiri gani sasa kwanza mungu awaibishe mchana kweupe,wasilete ujinga mbele za watumishi wa mungu wanahisi ni akina lissu
 
Kwaiyo unafurahia huu ujinga??

Siku zote TRA walikuwa wapi wasiombe hizo documents??

Aisee kuishi taifa moja ni mizombi kama ninyi ni shida sana
Alikuwa anajificha saizi kajitanabaisha wazi kajiweka wazi ..kila taarifa kwetu sisi TRA ni muhimu na tunafanyia kazi
 
Mkuu ng'ombe afugie wap mapori yote walishachukua wnyw yaliobak n ya uyo mama(serkali) wanaemtukana kila cku
[emoji1] [emoji2] duh!! Kazi kweli kweli mkuu.

Namuonea huruma sana Kakobe kaingia kichwa kichwa mkuu.
 
Yeye sikajifanya kapiga utra sound na kusema kuna watu wanamiliki hirizi na Serikali imeshamfanyia utra sound pesa kazigawanyisha kwenye akaunti za watoto wake na mkewe.
 
Kuna taarifa kuwa jamaa wanatafuta taarifa za kifedha za Mch. Zakary Kakobe.

Nadhani serikali na TRA wangejikita kwenye issues za maana wakaacha visa na mikasa.

img-20180104-wa0009-jpg.668434
sijawahi kuona taifa la watu wap.umbavu kama Tz..kwanza huyu aliyeleta hii karatasi hana akili, hana kazi ya kufanya kufake barua km inatoka TRA na wajinga wanaona km ni genuine sijui anafaidika na nini kufanya ujinga huu, namkumbusha Mungu hafanyiwi mizaha Askofu Kakobe ni Mtumishi wa Mungu, acha mizaha ya kijinga jinga peleka mizaha yako kwingine!
 
Kumbe nawewe huajelewa hiyo barua imeelekezwa kwenye mabenki..... ndio shida ya manaoambiwa kutubu afu mnapotezea..... au ngeli imepita kushoto..... unashadadia tuuu....hahahhaaaaa ndio maana Lowasa alisema elimu elimu elimu
Mkuu iwe barua inaenda wapi sijui wapi ila jua mlengwa ni Kakobe na familia yake.
 
Acha uchizi wewe!
Hiyo serikali kama inajua wajibu ilikuwa wapi tangu Jan, 2014? TRA walikuwa wapi muda wote huo??Kama huwa unaskiaga umbeya na unafiki ndo huu.......!!!!

Rais wa Ufaransa wa Zamani Jack Shirak aliwahi kushtakiwa kwa kesi ya Kodi ya zaid ya Miaka 15

Mayor wa Zamani wa Jerusalem the same case

Kesi za ukwepaji Kodi hazina deadline
 
sijawahi kuona taifa la watu wap.umbavu kama Tz..kwanza huyu aliyeleta hii karatasi hana akili, hana kazi ya kufanya kufake barua km inatoka TRA na wajinga wanaona km ni genuine sijui anafaidika na nini kufanya ujinga huu, namkumbusha Mungu hafanyiwi mizaha Askofu Kakobe ni Mtumishi wa Mungu, acha mizaha ya kijinga jinga peleka mizaha yako kwingine!
Kosa langu nikuleta taarifa? Basi Nisamehe saaana Mimi
 
Wacha apande alicho kitafuta
Dharau zake haziwezi vumilika
ni mpuuzi sana huyu
kipindi cha Nyerere kulitokea mpuuzi kama huyu Alicho fanyiwa alikijua mwenyewe.
Huwezi dharau serikali wakati serikali ndio kila kitu ktk maisha yako
Alisema serikali yote ya Tanzania kaiweka mfukoni mwake, mwisho wa siku akajikuta kawekwa mfukoni yeye na familia yake.
 
Mkuu iwe barua inaenda wapi sijui wapi ila jua mlengwa ni Kakobe na familia yake.
Ndio uwe unanyoosha maelezo usidhani humu vilaza kama mnaoambiwa kutubu mnapiga chenga bhana.... kwani vipppp...... si mtubu tu bhana.....
 
Kuna taarifa kuwa jamaa wanatafuta taarifa za kifedha za Mch. Zakary Kakobe.

Nadhani serikali na TRA wangejikita kwenye issues za maana wakaacha visa na mikasa.

img-20180104-wa0009-jpg.668434
Habari ya Kakobe ni mbichi kabisa ulitegemea aje wawe wameachana naye. Mkuu wao anasubiri kwa hamu aone nini atakachofanywa.
Aasisi za Tz zinapoteza maana ya uwepo wake kwa kushadadia siasa.
 
Back
Top Bottom