Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Kwanini hakubadili sheria? mbona sheria za kubana wapinzani wake alikuwa anabadilisha kila leo?Wewe nae umelopoka tu.
Unajua hiyo ilianza lini?
JPM alikuwa nawaondoa hadi wanakonda balaa. ameingia tu mama akawa anawaacha waendelee kula pesa. Hadi watumishi hewa karudisha nao sasa wanalipwa.
Kimsingi Mwigulu anamsaidia tu kumkumbusha mambo ya JPM.
Muulize mama safari za kilama ulaya zinaghalimu shilingi ngapi?. Mbona maisha yanaendelea kuwa magumu?
Bora upande wa familia yakoItoshe kusema , Magufuli alikuwa raisi bora Baada ya Nyerere.
Kuchafuliwa kwa noti , hakuipunguzii thamani
Mwigulu kasema hilo lonafanywa kwa sababu lipo kisheria na Samia itabidi wabadili sheria kwanza....So kipindi cha Magufuli walikuwa bado wanalipwa sababu sheria hazikubadilishwa
Samia ana akili sanaKati ya vitu ambavyo Magufuli alikuwa akiimbwa navyo ni kubana matumizi ya Serikali
Ila leo baada ya kumsikiliza Mwigulu akiweka mikakati mipya ya kubana matumizi, nimeona kumbe Serikali ina matumizi ya hovyo ambayo hata huyo Magufuli aliendelea nayo hadi sasa Samia ndio anakuja kuyapunguza
Mojawapo ya lililonishtua ni kuwa Mkurugenzi au Katibu Mkuu akitumbuliwa bado anaendelea kulipwa mshahara uleule aliokuwa nao, akasema kuwa inawezekana hata ukakuta kuna wizara 15 tu lakini ukakuta kuna watu 50 wanalipwa mshahara wa katibu mkuu, ama kuna halmashauri 100 lakini wanaolipwa kama wakurugenzi ni 500.
Aisee
Lakini tusisahau kuwa katika kipindi cha korona baadhi ya taasisi zilifungwa ila Mishahara iliendelea kuingia kama kawaida, na kama kweli waliotumbuliwa kwa kukosa sifa waliendelea kulipwa kwa nini walikuwa wanaclaim sitahiki zao na kudai kuwa mtu ataendeshaje maisha wakati alishazoea kulipwa mshahara?? Jiwe walilolikataa waashi ndio jiwe kuu la pembeniKati ya vitu ambavyo Magufuli alikuwa akiimbwa navyo ni kubana matumizi ya Serikali
Ila leo baada ya kumsikiliza Mwigulu akiweka mikakati mipya ya kubana matumizi, nimeona kumbe Serikali ina matumizi ya hovyo ambayo hata huyo Magufuli aliendelea nayo hadi sasa Samia ndio anakuja kuyapunguza
Mojawapo ya lililonishtua ni kuwa Mkurugenzi au Katibu Mkuu akitumbuliwa bado anaendelea kulipwa mshahara uleule aliokuwa nao, akasema kuwa inawezekana hata ukakuta kuna wizara 15 tu lakini ukakuta kuna watu 50 wanalipwa mshahara wa katibu mkuu, ama kuna halmashauri 100 lakini wanaolipwa kama wakurugenzi ni 500.
Aisee
Sasa ni safari za mikopoMiradi ya mikopo
Hakuna mtu anayelipwa mshahara bila kufanya kazi
Hata Rais huyu tuliyenae hawezi kuondosha hii Kwani italeta mgogoro mkubwaKati ya vitu ambavyo Magufuli alikuwa akiimbwa navyo ni kubana matumizi ya Serikali
Ila leo baada ya kumsikiliza Mwigulu akiweka mikakati mipya ya kubana matumizi, nimeona kumbe Serikali ina matumizi ya hovyo ambayo hata huyo Magufuli aliendelea nayo hadi sasa Samia ndio anakuja kuyapunguza
Mojawapo ya lililonishtua ni kuwa Mkurugenzi au Katibu Mkuu akitumbuliwa bado anaendelea kulipwa mshahara uleule aliokuwa nao, akasema kuwa inawezekana hata ukakuta kuna wizara 15 tu lakini ukakuta kuna watu 50 wanalipwa mshahara wa katibu mkuu, ama kuna halmashauri 100 lakini wanaolipwa kama wakurugenzi ni 500.
Aisee
Hii ilikiwepo tangu kipindi cha nyerereNa ndiyo maana kwa miaka yote sita ya Magufuli, bajeti ya kulipa mishahara kila mwezi ilibakia kuwa juu, huku akiwa hajawahi kupandisha wafanyazi madaraja na pia kuongeza mishahara!
Hii ya kulipa mshahara ule ule waliotenguliwa ipo tangu wakati wa nyerere.Na ndiyo maana kwa miaka yote sita ya Magufuli, bajeti ya kulipa mishahara kila mwezi ilibakia kuwa juu, huku akiwa hajawahi kupandisha wafanyazi madaraja na pia kuongeza mishahara!
Ila we jamaa vp aliowatumbuwa wote wale unafikiri walishushiwa mishahara walimuwa wanaendelea kulipwa mishahara ya vyeo vyaoWizara 15 zipi hizo zililipwa mishahara ya Katibu Wakuu 50?
Huko nyuma haikuwepo kwa mfano jk alikuwa anahamisha kutoka sehemu moja kwenda nyingine ndii maana watu walilalamika sana kipindi cha jk kuwa mtu anahsribu huku anamuhamishia huku alikuwa anajua kuwa akiteuwa mtu mwingine ataweka mlundikano wa maofisa wengi.magu ndio aliharibu sanaIli jambo la kuwalipa kulingana na vyeo ata ukitolewa kazini lilikuwapo kabla ata ya serikali ya awamu ya tano.
Sema ni jambo jema maana mtu anakaa nyumbani bila kufanya kazi huku anaendelea vuta mshahara mnene
Barabara gani zilijengwa nipe mfano mmojaLakini Barabara zilijengwa miradi iliyobadilosha taswira ya Tanzania ilijengwa hapakuwa na ziara za kijinga nje ya nchi miundombinu ya afya elimu bure n.k iliomekana!
Hili la kutumbia na aliyetumbuliwa kuendelea kulipwa, lilitokana na kumfukuza mtu kazi bila kufuata taratibu. Na matokeo yake nafasi moja inalpa mishahara miwili. Wakurugenzi wengi na watu mbalimbali hili limeshatokea sana tuKati ya vitu ambavyo Magufuli alikuwa akiimbwa navyo ni kubana matumizi ya Serikali
Ila leo baada ya kumsikiliza Mwigulu akiweka mikakati mipya ya kubana matumizi, nimeona kumbe Serikali ina matumizi ya hovyo ambayo hata huyo Magufuli aliendelea nayo hadi sasa Samia ndio anakuja kuyapunguza
Mojawapo ya lililonishtua ni kuwa Mkurugenzi au Katibu Mkuu akitumbuliwa bado anaendelea kulipwa mshahara uleule aliokuwa nao, akasema kuwa inawezekana hata ukakuta kuna wizara 15 tu lakini ukakuta kuna watu 50 wanalipwa mshahara wa katibu mkuu, ama kuna halmashauri 100 lakini wanaolipwa kama wakurugenzi ni 500.
Aisee
Alitutia hasara sana yule mzeeHili la kutumbia na aliyetumbuliwa kuendelea kulipwa, lilitokana na kumfukuza mtu kazi bila kufuata taratibu. Na matokeo yake nafasi moja inalpa mishahara miwili. Wakurugenzi wengi na watu mbalimbali hili limeshatokea sana tu
Nyingi sanaBarabara gani zilijengwa nipe mfano mmoja
Mbinga Mbambabay hii iliyozolewa na maji msimu uliopita wa mvua?Nyingi sana
Barabara ya Mbinga - Bambabay
Barabara ya Njombe - Ludewa
Barabara ya Chiwindi - Lituhi
N.k n.k n.k zipo nyingi sana