Kumbe tulimsifu Hayati Magufuli kwa kubana matumizi huku Serikali ikiwa na matumizi ya ovyo hivi?

Wewe nae umelopoka tu.

Unajua hiyo ilianza lini?

JPM alikuwa nawaondoa hadi wanakonda balaa. ameingia tu mama akawa anawaacha waendelee kula pesa. Hadi watumishi hewa karudisha nao sasa wanalipwa.

Kimsingi Mwigulu anamsaidia tu kumkumbusha mambo ya JPM.

Muulize mama safari za kilama ulaya zinaghalimu shilingi ngapi?. Mbona maisha yanaendelea kuwa magumu?
Kwanini hakubadili sheria? mbona sheria za kubana wapinzani wake alikuwa anabadilisha kila leo?
 
Mwigulu kasema hilo lonafanywa kwa sababu lipo kisheria na Samia itabidi wabadili sheria kwanza....So kipindi cha Magufuli walikuwa bado wanalipwa sababu sheria hazikubadilishwa

Sina hakika na ulisemalo. Wait and See.
 
Kati ya vitu ambavyo Magufuli alikuwa akiimbwa navyo ni kubana matumizi ya Serikali

Ila leo baada ya kumsikiliza Mwigulu akiweka mikakati mipya ya kubana matumizi, nimeona kumbe Serikali ina matumizi ya hovyo ambayo hata huyo Magufuli aliendelea nayo hadi sasa Samia ndio anakuja kuyapunguza

Mojawapo ya lililonishtua ni kuwa Mkurugenzi au Katibu Mkuu akitumbuliwa bado anaendelea kulipwa mshahara uleule aliokuwa nao, akasema kuwa inawezekana hata ukakuta kuna wizara 15 tu lakini ukakuta kuna watu 50 wanalipwa mshahara wa katibu mkuu, ama kuna halmashauri 100 lakini wanaolipwa kama wakurugenzi ni 500.

Aisee
Samia ana akili sana
 
Lakini tusisahau kuwa katika kipindi cha korona baadhi ya taasisi zilifungwa ila Mishahara iliendelea kuingia kama kawaida, na kama kweli waliotumbuliwa kwa kukosa sifa waliendelea kulipwa kwa nini walikuwa wanaclaim sitahiki zao na kudai kuwa mtu ataendeshaje maisha wakati alishazoea kulipwa mshahara?? Jiwe walilolikataa waashi ndio jiwe kuu la pembeni
 
Hicho kidogo alichobadilisha mlimpa marina yote mabaya, angefanya na hilo si mngemuita mnyama kabisa. Austerity measures zinaenda step kwa step, ulitaka abadilishe kila kitu kwa miaka mitano-kumi?

Nyie ndio mlisafa meno kwa wafanyakazi hewa..Leo mlitaka na hiyo mishahara aweke sheria, watz bwana!!
 
Kati ya vitu ambavyo Magufuli alikuwa akiimbwa navyo ni kubana matumizi ya Serikali

Ila leo baada ya kumsikiliza Mwigulu akiweka mikakati mipya ya kubana matumizi, nimeona kumbe Serikali ina matumizi ya hovyo ambayo hata huyo Magufuli aliendelea nayo hadi sasa Samia ndio anakuja kuyapunguza

Mojawapo ya lililonishtua ni kuwa Mkurugenzi au Katibu Mkuu akitumbuliwa bado anaendelea kulipwa mshahara uleule aliokuwa nao, akasema kuwa inawezekana hata ukakuta kuna wizara 15 tu lakini ukakuta kuna watu 50 wanalipwa mshahara wa katibu mkuu, ama kuna halmashauri 100 lakini wanaolipwa kama wakurugenzi ni 500.

Aisee
Hata Rais huyu tuliyenae hawezi kuondosha hii Kwani italeta mgogoro mkubwa

Sent from my TECNO PR651H using JamiiForums mobile app
 
Wizara 15 zipi hizo zililipwa mishahara ya Katibu Wakuu 50?
Ila we jamaa vp aliowatumbuwa wote wale unafikiri walishushiwa mishahara walimuwa wanaendelea kulipwa mishahara ya vyeo vyao
 
Ili jambo la kuwalipa kulingana na vyeo ata ukitolewa kazini lilikuwapo kabla ata ya serikali ya awamu ya tano.

Sema ni jambo jema maana mtu anakaa nyumbani bila kufanya kazi huku anaendelea vuta mshahara mnene
Huko nyuma haikuwepo kwa mfano jk alikuwa anahamisha kutoka sehemu moja kwenda nyingine ndii maana watu walilalamika sana kipindi cha jk kuwa mtu anahsribu huku anamuhamishia huku alikuwa anajua kuwa akiteuwa mtu mwingine ataweka mlundikano wa maofisa wengi.magu ndio aliharibu sana
 
Lakini Barabara zilijengwa miradi iliyobadilosha taswira ya Tanzania ilijengwa hapakuwa na ziara za kijinga nje ya nchi miundombinu ya afya elimu bure n.k iliomekana!
Barabara gani zilijengwa nipe mfano mmoja
 
You're late to the party Hilo Kila mtu alikua anajua na JPM mwenyewe alisema he didn't care alisema anaweza badilisha watu Kila siku Hadi apate anayemudu.

Sasa mtalipa Kodi ya vichwa na ving'amuzi.
 
Kati ya vitu ambavyo Magufuli alikuwa akiimbwa navyo ni kubana matumizi ya Serikali

Ila leo baada ya kumsikiliza Mwigulu akiweka mikakati mipya ya kubana matumizi, nimeona kumbe Serikali ina matumizi ya hovyo ambayo hata huyo Magufuli aliendelea nayo hadi sasa Samia ndio anakuja kuyapunguza

Mojawapo ya lililonishtua ni kuwa Mkurugenzi au Katibu Mkuu akitumbuliwa bado anaendelea kulipwa mshahara uleule aliokuwa nao, akasema kuwa inawezekana hata ukakuta kuna wizara 15 tu lakini ukakuta kuna watu 50 wanalipwa mshahara wa katibu mkuu, ama kuna halmashauri 100 lakini wanaolipwa kama wakurugenzi ni 500.

Aisee
Hili la kutumbia na aliyetumbuliwa kuendelea kulipwa, lilitokana na kumfukuza mtu kazi bila kufuata taratibu. Na matokeo yake nafasi moja inalpa mishahara miwili. Wakurugenzi wengi na watu mbalimbali hili limeshatokea sana tu
 
Alitutia hasara sana yule mzee
 
Back
Top Bottom