Awamu ni kipindi alichohudumu rais sio miaka kwahiyo awamu ya Magufuli iliisha pale alipofariki hivyo Rais Samia hamalizii awamu ya yeyote bali ni yake.No. Amechukuwa awamu ya Magufuli anamalizia japo ni rais kamili. Tulifanya ''uchaguzi'' wa kutafuta serikali ya awamu ya tano, na ndiyo iliyoko bado madarakani. Awamu nyingine inaanza 2025.
Hakuna cha kumalizia wala nini, Magufuli amefariki na awamu yake imeisha mnateseka bure kwa kulazimisha kitu ambacho hamuwezi kukibadilisha.Mimi nafikiri hivi,
Rais na makamu wa Rais ni pacha, ndio maana wanagombea pamoja.
Katiba inampa mamlaka makubwa Pacha wa kwanza na mamlaka madogo pacha wa pili,
Mathalani akifa makamu wa Rais, makamu atakayemrith hawezi kuwa Makamu wa Awamu ya sita atakuwa chini ya Rais wa Awamu ya tano,
Sasa amekufa Rais wa awamu ya Tano maana yake Makamu wa awamu ya Tano ndio anakuwa Rais wa awamu hiyo, kumalizia muda uliobakia, Japo kwa namba anakuwa Rais wa Sita.
Kwanza hata hiyo kuita awamu siyo hitaji la kisheria wala kikatiba. Kisheria na kikatiba, neno linalotambulika ni muhula. Huu ni muhula wa kwanza wa Rais Samia.Imeandikwa wapi tuna-refer Jima la Raisi? Na serikali za kikoloni mbona hatuzihesabu na ziiongoza hii nchi?Nadhani mpaka hapa utakuwa umeona umuhimu au logic ya hizi awamu kuwa defined tena baada ya nchi yetu kuwa huru vinginevyo hata awamu ya Nyerere sio awamu ya kwanza bali tutasema serikali ya kikoloni ndio awamu ya kwanza.
MAGUFULI AMEFARIKI LAKINI AWAMU YA URAIS ILIKUWA HAIJAISHA NDIO MAANA MAKAMU WAKE AMEPOKEA BILA UCHAGUZI.Hakuna cha kumalizia wala nini, Magufuli amefariki na awamu yake imeisha mnateseka bure kwa kulazimisha kitu ambacho hamuwezi kukibadilisha.
Ni facts pia hilo neno "awamu" hata kwenye katiba na sheria halitajwi wala kutafsiriwa na matokeo ndio huu mkanganyiko.MAGUFULI AMEFARIKI LAKINI AWAMU YA URAIS ILIKUWA HAIJAISHA NDIO MAANA MAKAMU WAKE AMEPOKEA BILA UCHAGUZI.
SUALA SIO KUANGAIKA ILA NI FACTS.
Nafikiri tatizo hasa linalowasumbua baadhi ya watu ni mapenzi yao binafsi kwa Magufuli hivyo ni kama wanaona sifa zake anaenda kupewa mtu mwingine maana wakikumbuka hata huyo mpendwa wao alifanya hivyo hivyo kwani miradi yote pamoja na ile aliyoikuta taratibu zote zimekamilika na pesa tayari imepatikana lakini utekelezaji wake umeanza Magufuli akiwa rais basi sifa zote alizibeba yeye.Kwanza hata hiyo kuita awamu siyo hitaji la kisheria wala kikatiba. Kisheria na kikatiba, neno linalotambulika ni muhula. Huu ni muhula wa kwanza wa Rais Samia.
Neno awamu kwa mara ya kwanza lilianza kutumika wakati wa Mwinyi ili kutofautisha uongozi wa Mwalimu Nyerere na Mwinyi.
Katika matumizi, awamu haiangalii idadi ya miaka au mihula. Mwalimu aliongoza kwa miaka 24, ni awamu moja. Waliofuatia miaka 10 kila mmoja, ni awamu kamili. Magufuli miaka 5 na kidogo, ndipo awamu yake ilipoishia.
Kwa nini tusihesabu viongozi kabla ya uhuru - kabla ya uhuru hakukuwa na nchi, lilikuwa koloni la Mwingereza, na mkuu wa makoloni yote ya Uingereza alikuwa malkia. Kabla ya ukoloni, hakukuwa na nchi bali chiefdoms.
... at least it makes sense! Kama Mwalimu alihudumu kwa miaka 24 na ni awamu moja; basi hata Magufuli aliyehudumu kwa miaka 5+ ni awamu kamili hence hata Samia atakayehudumu kwa miaka 5- ni awamu iliyokamilika.Kwanza hata hiyo kuita awamu siyo hitaji la kisheria wala kikatiba. Kisheria na kikatiba, neno linalotambulika ni muhula. Huu ni muhula wa kwanza wa Rais Samia.
Neno awamu kwa mara ya kwanza lilianza kutumika wakati wa Mwinyi ili kutofautisha uongozi wa Mwalimu Nyerere na Mwinyi.
Katika matumizi, awamu haiangalii idadi ya miaka au mihula. Mwalimu aliongoza kwa miaka 24, ni awamu moja. Waliofuatia miaka 10 kila mmoja, ni awamu kamili. Magufuli miaka 5 na kidogo, ndipo awamu yake ilipoishia.
Kwa nini tusihesabu viongozi kabla ya uhuru - kabla ya uhuru hakukuwa na nchi, lilikuwa koloni la Mwingereza, na mkuu wa makoloni yote ya Uingereza alikuwa malkia. Kabla ya ukoloni, hakukuwa na nchi bali chiefdoms.
Kwani awamu kwako tafsiri yake ni nini?MAGUFULI AMEFARIKI LAKINI AWAMU YA URAIS ILIKUWA HAIJAISHA NDIO MAANA MAKAMU WAKE AMEPOKEA BILA UCHAGUZI.
SUALA SIO KUANGAIKA ILA NI FACTS.
Hili ni jambo dogo sana lakini limedhihirisha Tanzania ni nchi isiyo na watu makini hata kidogo. Hata mimi niliposikia wanasema ni awamu ya sita nilibaki mdomo wazi. Itawaje awamu ya sita wakati yeye amekuwa rais wa muda mpaka uchaguzi utakapofanyika 2025?
No. Amechukuwa awamu ya Magufuli anamalizia japo ni rais kamili. Tulifanya ''uchaguzi'' wa kutafuta serikali ya awamu ya tano, na ndiyo iliyoko bado madarakani. Awamu nyingine inaanza 2025.
Tatizo wote mmekalili na hasomi katiba mkaielewa.Akuna cha awamu ya 6 hapa, ungeitishwa uchaguzi alafu atangaze serazake tuzipimei tuchague.
Katiba haijatafsiri neno AWAMU lakini imeelezea AWAMU za utawala wa raisi ziweje ambapo imeeleza raisi anaweza tawala kwa kipindi cha awamu mbili tu, kila moja ikiwa na miaka tano.... with due respect; fafanua maana ya neno AWAMU; neno muhimu sana kwenye mnakasha huu! Awamu ndio nini? Vigezo vya ku-determine AWAMU ndio vipi?
Ibara ya 40(2) ya Katiba Mkuu isome pamoja na Ibara ya 42(2)Walau umekuja na hoja.Lakini katiba inaongelea kipindi/vipindi au inaongelea awamu?
Neno awamu hata kwenye katiba sijui kama limo.
AWAMU ni miaka tano ya utawala wa raisi baada ya uchaguzi Mkuu. Na kwa Tz raisi anaruhusiwa kutawala kwa awamu mbili tu. Ibara ya 40(2) na 42(2) za Katiba... tena kwa ilani tofauti; Cabinets tofauti, Bunge tofauti, etc. Shida iko kwenye neno moja tu la msingi - AWAMU! What is awamu? Vigezo vyake ndio vipi? Hapo ndio tunafeli!
... mkanganyiko zaidi! Kwamba Rais (mmoja) anaweza kutawala kwa awamu mbili? Basi tuna awamu nyingi sana aisee! Kuondoa utata, Samia ni Rais wa 6 wa JMT; upuuzi wa awamu tupa kuleee! Wahuni wa CCM wanautumia kumyumbisha Rais!Katiba haijatafsiri neno AWAMU lakini imeelezea AWAMU za utawala wa raisi ziweje ambapo imeeleza raisi anaweza tawala kwa kipindi cha awamu mbili tu, kila moja ikiwa na miaka tano.
Ibara ya 40(2), pia soma Ibara ya 42(2) zote za Katiba
Hayo uliyosema sio kweli, Rais anaweza kulivunja baraza la mawaziri wakati wowote na wala hailazimiki ufanyike uchaguzi upya ili rais kuunda upya, Rais anaweza kulivunja na kuliunda upya baraza la mawaziri wakati wowote akiona kuna haja kufanya hivyo.Naomba nigusie kidogo swala la serikali kuundwa kwa mujibu wa katiba yetu raisi huunda(huunda sio hubadili) baraza la.mawaziri kwa kuanza na waziri mkuu na hii hutokea baada ya uchaguzi mkuu na ikitokea Raisi akalivunja baraza la mawaziri italazimu kuitishwa kwa uchaguzi ......